Data Masoko Profile picture
Data Masoko, a one-stop channel for Digital Marketing, Advertisement, Brands Promotion, and Marketing Consultation. Email: datamasoko@gmail.com
Jun 23, 2020 14 tweets 5 min read
Watu wengi wamejikuta wanaanza biashara au ujasiriamali kama chaguzi la mwisho baada ya kukosa kazi, mtaji au kuajiriwa.
Hivyo wengi wanajikuta wapo katika kujiajiri wakikosa maarifa sahihi katika kufanya na kuendeleza Biashara. UZI Huu utakusaidia kufikiria katika KUPANGA BEI. Image KUPANGA BEI

1.Moja ya changamoto kubwa kwa wajasiriamali na wafanya biashara wengi ni katika kumiliki soko ni upangaji wa bei za bidhaa au huduma. #MpangoWaBei @Mkuruzenzi Image
Jun 13, 2020 21 tweets 13 min read
UZI- KAMPENI YA MAUZO
.
.
Usiuze kama hawa....... #UsiuzeKamaWao cc" @Mkuruzenzi @badrujumah @MasaluPaschal @ElimikaWikiendi #ElimikaWikiendi @selemanykitenge @JuliethSebbaMD @BintiSalha RT bure kabisa. Image Wafanya Biashara wengi wanaingia katika mazoea ya kufanya kampeni za mauzo hasa wakati wa SIKUKUU au matukio maalum kwa muda fulani.