Faraja Kotta Nyalandu Profile picture
Improving lives through learning opportunities @ShuleDirect (2020 report 👇🏽) @ndotohub | @WEF Young Global Leader | Member @entrepreneurorg #InnovationQueen
Apr 15, 2021 9 tweets 2 min read
#THREAD Umemaliza Chuo? Uko in between ajira/kujiajiri na kumaliza Chuo? Huna Cheti cha Elimu ya Chuo na umejiajiri au umeajiriwa? Cheti sio kila kitu. Uzi huu ni wa ujuzi mbalimbali utakaokutofautisha au kukuongezea ufanisi kufikia malengo yako. Elimu sio kigezo ingawa ni msingi 1. Jifunze ku-network. Usikae ndani. Jifunze kuongea na watu, kuwasikiliza na kuwa na maswali sahihi ya kuwauliza. Jitahidi kukuza ufahamu wako wa mambo mbalimbali ili uwe an interesting and interested person, ufahamu unakuzwa kwa content unazo-consume kila siku...
Jan 14, 2021 12 tweets 2 min read
THREAD: Makosa ya kuepuka unapoandika proposal, concept note au expression of interest. Wengi wetu wenye taasisi, asasi au kampuni inatulazimu kuandika proposal au concept note kuweza kupata fedha kama mtaji au kuendesha miradi au strategic partnerships; 1. Zingatia vigezo na masharti. Yes I know this is obvious, lakini huwa kuna dhana ya kupuuzia baadhi ya vigezo ukiamini vigezo vingine vitaziba hilo pengo. Kila kigezo kina sababu, they all count