๐‘ฉ๐’‚๐’ƒ๐’‚ ๐‘พ๐’‚ ๐‘ฝ๐’Š๐’‹๐’‚๐’๐’‚ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ|๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Profile picture
Son Of Jesus/ Entrepreneur/ Farmer/ Let Your Kingdom Come To Me๐Ÿ™๐Ÿพ/ Smile more than U cry/ Give more than U take/ Love more than U hate. ~|Psalms 128,46:1-3
Aug 2, 2023 โ€ข 15 tweets โ€ข 4 min read
Kwanini mapinduzi mengi ya kijeshi yanafanywa na Askari wa vyeo vya kati na chini na siyo Majenerali?

#UZI ๐Ÿงต

Kama umekuwa ukifuatilia habari za mapinduzi mengi ya kijeshi utakubaliana na mimi kuwa, huwa yanafanywa na askari wa vyeo vya kati kushuka chini?

Unajua kwanini? Image Basi zipo sababu kadhaa ambazo husababisha mapinduzi kufanywa na askari wa vyeo hivyo.

๐Ÿ”ฅUKARIBU NA ASKARI WA CHINI.

Askari wa vyeo vya kati na chini mara nyingi wanakuwa na ukaribu wa moja kwa moja katika maeneo ya chini ya jeshi na hata kwenye jamii.

Hii inamaanisha kuwa Image
Aug 1, 2023 โ€ข 25 tweets โ€ข 6 min read
Nini kinaendelea Africa magharibi?

Na kwanini mapinduzi ya kijeshi yametokea mfululizo tena yakiwa na uungwaji mkono mkubwa toka kwa raia?

Na nini maana ya mapinduzi haya na yanaleta picha gani?

#UZI ๐Ÿงต Image Kwanza mapinduzi yalianza Agosti 18 na 19 -2020 baada ya Kanali Assimi Goรฏta kumngโ€™oa Raisi wa Mali Ibrahim Keรฏta

Baada ya kuchukua madaraka Kanali Goรฏta alifukuza majeshi ya Ufaransa yaliyokuwa nchi hiyo kwa miaka 9

Pia alifungia vyombo vya habari ya Ufaransa kwenye nchi yake. Image
Aug 19, 2021 โ€ข 5 tweets โ€ข 2 min read
MSAMAHA NI MZURI, LAKINI KUTOKOSEA NI VIZURI ZAIDI

๐Ÿงต#UZI

~Kijana mmoja alikua mtu wa hasira sana na ugomvi hata kwa jambo dogo. Baba yake alijaribu kumwelimisha madhara ya ugomvi na majibu mabaya kwa watu lakini hakuelewa.

~Siku moja baba yake alimuita na kumkabidhi Nyundo.๐Ÿ‘‡๐Ÿพ Ubao na misumari. Akamwambia "ukigombana na mtu yoyote chukua msumari mmoja njoo gongelea hapa kwenye ubao."

~Siku ya kwanza yule kijana aligongelea misumari kumi, na baada ya mwezi mmoja ubao wote ulijaa misumari.

~Baba yake akamwambia, "fikiria huu ubao ni mioyo ya watu..๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Feb 22, 2020 โ€ข 6 tweets โ€ข 2 min read
Masikini Aliyehamisha mlima.

Siyo pesa tu inayohamisha milima bali hata wewe unaweza kuhamisha mlima kama ukiamua.
Jifunze kitu ktk uzi huu wa Kapuku aliyehamsha mlima na kuitwa "The Mountain Man"
Anaitwa Dashrath Manjhi ni mzaliwa wa kijiji cha Gehlaur nchini India. Kisa cha ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ yeye kuhamisha mlima kilizuka baada ya mkewe aliyekuwa anampelekea chakula Manjhi kuanguka mlimani na kufariki, walishindwa hata kumpeleka hospitali sababu kulikua ni mbali.
~Hali hii ilimuhuzunisha sana Manjhi akaona ipo haja ya kufanya kitu kwaajili ya jamii yake. Ndipo ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ