Kingson Profile picture
#YouthInstructor || #YouthCounselor || Elevate Your Lifestyle... Follow Now @KingsonJnr, Where Inspiration Awaits..
Nov 12, 2023 19 tweets 2 min read
Usiwe Bubu Unapokutana Na Mwanamke Kwenye Outing Zenu!

Uliza Haya Maswali 16 Ili Kuendelea Kumvutia..

Kumbuka lugha ya mwili na sauti isiwe kama Afande anahoji Jambazi..

UZI AI Generated Image 1. Ni wakati au jambo gani unadhani ungependa kulifanya upya kama ungepata nafasi?
Dec 31, 2021 10 tweets 4 min read
Je Unajua Kuwa......

Masoko (Marketing) yanajikita zaidi katika kuwatambua Walengwa wa bidhaa/huduma yako?

Kwa utangulizi soma tweet zangu zilizotangilia ili kupata muendelezo mzuri.

UZIII TYM, YEEEAHH! Kama kawaida yetu, tuna show love and Support 😍

kwa ku tag marafiki zetu hapa kwa post, ku ❤️ kisha Retweet 🔁 ili watu wengi wafikiwe na madini au vipi?

Asante kwa kufanya hivyo!..

Twendezetu tukale madini ⤵️
Dec 28, 2021 13 tweets 4 min read
Baada ya kujua kwamba Wateja ndiyo bidhaa adimu Sokoni leo wacha nikupe ufunguo ambao watu na Makampuni mengi wanaudharau.....

Ufunguo huu utakuwezesha kunasa wateja kama Dan Bilzerian  na madem zake... @nyandaAmosi anamfahamu huyu kamanda

UZIII TYM, YEEEAHH Ngoja kwanza, unaweza ku ❤️ kisha Retweet 🔁 ku show support?... Eeh ndiyo hivyo, wengi watapata madini ukifanya hivyo...

Asante sana,

Twendezetu tukale
madini ⤵️
Dec 28, 2021 8 tweets 2 min read
Tatizo kubwa sana linalozikabiri biashara nyingi leo si ukosefu wa bidhaa bali ni....

Fuatana nami katika #UZI Huu makini

Fanya ku ❤️ kisha Retweet 🔁🔁 ku show love and Support

Tayari? Haya twendezetu tule madini⤵️ Naam...

Tatizo kubwa sana linalozikabiri biashara nyingi leo si ukosefu wa bidhaa bali ni....
ukosefu wa Wateja.....

Bidhaa unayouza/Kutengeneza unajua kabisa hauko peke yako sokoni ila una washindani kibao..