Dolphin flow Profile picture
Animation for the soul😊🥀
Jun 14, 2021 6 tweets 3 min read
#UZII

Kuna vitu ukivifanya vinapelekea mtu mwingine apoteze HISIA na wewe kabisa.

Mara nyingi tumepoteza watu bila kujua kwa sababu ya kufanya vitu ambavyo vimepelekea kuwafukuza kwenye maisha yetu.

Cha Kwanza ni KULAUMU:
Hakuna anayependa kulaumiwa kila wakati. Ukiwa mtu ambaye unalaumu sana, tena wakati mwingine bila hata kumsikiliza mwingine ama kumpa nafasi ya kujieleza, utapoteza watu wengi sana.

Kuna watu wakipiga simu tu wanaanza na kulaumu, wakiandika meseji wanaanza na kulaumu n.k