khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 Profile picture
Writer and editor at @TheChanzo | Politics & Social Justice | Formerly at @TheCitizenTZ | Socialist | Rap | Anti-imperialist | Views are my own, not anyone’s.
Aug 19, 2023 • 6 tweets • 2 min read
maaskofu hawajasukumwa na chuki za kidini dhidi ya samia. aliyefanya makosa ni rais kwa kukubali kuingiza tanzania kwenye mkataba mbovu. nchi hii ina watu wa dini mbalimbali na wasiyo na dini. lakini wote ni watanzania na wana haki ya kujadili mwelekeo wa nchi yao! tamko la maaskofu limekuja muda muafaka. viongozi wetu hawa, wakiongozwa na busara na hekima, hawakukurupuka tu na kutoa tamko. walisubiri, wakisikia sauti za w’nchi, wakitegemea kwamba labda serikali itasikia na kufanya uamuzi sahihi, haikufanya. ilibidi waseme kitu.
Jul 21, 2021 • 4 tweets • 3 min read
by the time @ChademaTz announced that they were going to organize the #KatibaMpya conference today, after the useless @tanpol stopped them from doing so on July 17, other opposition parties and CSOs should have flown to Mwanza to show solidarity. they never did that. it is as if it is only CHADEMA that’s concerned about #KatibaMpya in this country. by being alone on the war front, CHADEMA becomes the weakest prey to the fascistic hyenas of CCM and it’s Nazi-styled security apparatuses.
Mar 18, 2021 • 11 tweets • 4 min read
.@SuluhuSamia has got the opportunity to redefine the politics of this country. We’re at the crisis moment, a rare opportunity to pursue fundamental changes on how the affairs of this country are being organized. She should have the will to do so, and she’ll succeed. Thread 👇🏿 the first task that @SuluhuSamia needs to take immediately after being sworn-in will be convening the National Dialogue where all important stakeholders - gov, political parties, CSOs, religious organizations, unions etc - will discus matters of national importance.
Nov 8, 2020 • 4 tweets • 1 min read
kulikuwa na wabunge wa upinzani 114 kwenye bunge la 11. chadema (70), cuf (42), act (1) na nccr (1). wote hao hawakuweza kuzuia kitu chochote ambacho serikali na ccm walitaka kupitisha. wabunge wa viti maalumu wa upinzani hawatakuwa na maana yoyote kwenye bunge la 12 labda kama ni kuwapeleka wapate pesa za kuchangia harakati za chama, lakini zaidi ya hapo hawatakuwa na msaada wa aina yoyote katika kuisimamia serikali na kuzuia upitishwaji wa masheria ya hovyo na mambo mengine ya kishenzi.
Nov 4, 2020 • 8 tweets • 4 min read
⁦@Sabatho7⁩ says if there’s “any flaws” in Tanzania’s “democratic process” then the solution “should be internal” and not inviting the West “to decide [Tanzanians’] future.” quite a good observation which ignored a number of considerations. a thread udadisi.org/2020/11/q-with… firstly, @Sabatho7 doesn’t say what if tanzanians aren’t allowed by their gov to fix the weaknesses in their democratic system/process. in a country like ours where all avenues of protesting have been closed, Sabatho should tell me how as a tanzanian can I fix my country?
Oct 26, 2020 • 8 tweets • 2 min read
hii nafasi hatutoipata tena mpaka miaka 5 mengine ijayo. hii ni nafasi adhimu ya kutuma ujumbe kwa ccm kwamba haingii akilini tulipe kodi lakini hapo hapo tulipie bili zetu za afya. tulipe kodi hapo hapo tulipe mkono wa elimu ya juu. tunapiga kura dhidi ya ccm kutuma huo ujumbe! oct 28 tunapiga kura dhidi ya ccm kwa sababu hatuwezi kuruhusu chama kimoja cha siasa kuwa na nguvu kuliko nchi. wanachama wa ccm kuwa bora kuliko wananchi wengine. piga kura dhidi ya ccm kwa sababu watu waliosababisha matatizo yetu hawawezi kuwa na akili ya kutatua!
May 13, 2020 • 4 tweets • 2 min read
My people, what has exactly happened to @ChademaMdude? Please tell me. I think I’m missing something out. Wtf?
May 9, 2020 • 8 tweets • 2 min read
People have every right to criticize and call out the irresponsibilities of the orgs that claim to work for them.

If you don’t want to be criticized as an NGO/CSO, stop fooling around by claiming that you work for the people.

Stop that nonsense once and for all. These petty and childish excuses that “the State is restricting the work of CSOs” is just bullshit and a cover for irresponsibility.

Where on earth has the gov guaranteed basic freedoms to its people w/out a fight? You expect the gov to give you the freedoms?

Come on y’all!