Noe_Wenc πŸ’Š Profile picture
Veterinary Physician & Surgeon |Writer|Part-time Poet| |Award winner -Kalahari International Short-Stories Competition 2020|Coffee addict|
EBUKA OLUSOLA Profile picture SULTAN MNYALUπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Profile picture KEISHA ESSAY HELP | HOMEWORK HELP | ESSAY WRITER Profile picture Mwemezi Profile picture 4 subscribed
Nov 9, 2021 β€’ 22 tweets β€’ 4 min read
THOUGH IT WAS SHORT BUT I'LL NEVER FORGET πŸ’”

Kuna wakati naona kama nilikua character wa hadithi nzuri ya mapenzi iliyoishia njiani, nawaza pengine Mwandishi wa ile hadithi yangu aliishiwa wino na hakuona haja ya kununua kalamu nyingine kumalizia story
#Thread Kwa kawaida ikifika mwisho wa wiki hasa nyakati za jioni ni mida ya watu kutoka kwenda kuupa mwili pole baada ya heka heka za week ndio maana wengine huita FurahiDay japo kama hauna pesa unaweza kuamua tuu kubaki ndani kama Bulb, inaruhusiwa pia.
Nov 3, 2020 β€’ 18 tweets β€’ 4 min read
AN OPEN LETTER TO YOU BROTHER πŸ“œ

Habari za siku kaka , imekua muda mrefu sana bila mawasiliano nadhani ni vile changamoto za maisha zinatuweka mbali lakini kwa kuwa tupo chini ya anga moja natumai ni suala la muda mimi na wewe kukutana
#Thread Matumaini yangu umzima sana hasa kiafya na harakati zako za kila siku ,ningeweza kukutumia ujumbe mfupi wa maandishi ( sms) au kukupigia simu lakini nikaona kama barua kidogo ingebeba ujumbe na hisia zote zaidi ingekupa muda wa kuitafakari tofauti na ilivo meseji ambapo ingefutwa
Oct 15, 2020 β€’ 25 tweets β€’ 5 min read
HAKUSTAHILI KUPITA NJIA NGUMU KIASI KILE
Wakati mwingine dunia inatuweka darasani kujifunza masomo ambayo hatukuwahi kuwaza kujifunza. Pengine hata mitihani ya hayo masomo hatujui itakuja lini
Tabasamu na uchangamfu wake vilificha mengi lakini hakustahili yale #Thread Unaweza kuchagua marafiki lakini sio jirani maana wewe utajenga hapa ila atakaekuja kujenga pembeni yako hauwezi kumjua ,hivohivo kwenye kupanga chumba. Nilijikuta nimepanga chumba ambapo nyumba ya jirani waliishi familia nzuri na sisiti kusema nilivutiwa nayo kiukweli
Jun 16, 2020 β€’ 9 tweets β€’ 4 min read
LET MY MIND SPEAK
So, hakuna kizazi bora kama kizazi chenye wingi wa maarifa na vijana wenye kuchangamkia fursa kila inapotokea.
SHORT THREADπŸ‘‡ My brother @veggiesfarmer once said " We are in knowledge economy,what you know is what will differentiate you and accelerate your growth, your growth will highlight your value and your value will elevate your worth.
Jun 8, 2020 β€’ 12 tweets β€’ 3 min read
WE CAN'T BE THE SAME!!

Yawezakua nyuma yako ikawa mbele yangu, au mbele yako ikawa nyuma yangu. Hii haipingiki na ni ngumu kuikataa.
Safari ni moja ya wote tunapotaka kufika ijapokua tunatofautiana maana ya mafanikio na njia ya kuyafikia
T H R E A D πŸ‘‡πŸΌ Tusichukuliane poa kabla hatujaijua kesho yako na yangu pia.

Imagine unafanya kazi kujinufaisha wewe peke ako lakini mimi napambana natafuta maisha kwa ajili yangu ya familia yangu pia kwahiyo ukiona sipigi hatua ya maendeleo usishangae HATUWEZI KUWA SAWA.
May 28, 2020 β€’ 14 tweets β€’ 4 min read
AN OPEN LETTER TO MY CRUSH πŸ’Œ

Dear crush,
Nimetuma meseji lakini nachoambulia ni Bluetick lakini najipa moyo pengine unakuaga bize, nikipiga simu mara kadhaa nikikuta inatumika basi najipa moyo utakua unaongea na ndugu yako
Nimeona ni bora leo nikuandikie barua
T H R E A D πŸ‘‡ Image I hope uko salama
Umekua furaha yangu kila nikikuona ukipita mwenyewe au na wenzio, umekua my mood changer maana nawezakua naskiliza reggae lakini ukipita tuu nahisi nachosikiliza ni blues.
Unaniweza sana dear crush maana simu yangu imejaa screenshots nyingi za picha zako
May 18, 2020 β€’ 30 tweets β€’ 6 min read
I ONCE EXPERIENCED THE POWER OF LOVE ❀

Nilidhani nguvu ya treni kuvuta behewa ndio nguvu kubwa kuwahi kutokea nikapingana na fikra hizo pale nilipowaza nguvu ya maji kunyanyua meli
Nlipingana na hayo pale nilipokumbana na nguvu iliyopo katika fikra za walopendana
T H R E A DπŸ‘‡ Binafsi sijizuii kupenda inapobidi japo haimaanishi siwezi kuishi bila mpenzi, naamanisha kisu changu kina kata vyoote lakini hakikati tamaa tuu
Nikimuhitaji mtu akaona siendani nae, naachana nae najiandaa kwa "come back " kubwa πŸ˜„
Ndio kilichotokea bana enzi hizo nasoma
May 10, 2020 β€’ 14 tweets β€’ 4 min read
AN OPEN LETTER TO MY FUTURE DAUGHTER πŸ’Œ

Dear daughter,
Angekuepo bibi yako ambae pia ni mama yangu leo hii siku ya MAMA duniani basi ingemuhusu yeye zaidi, lakini binafsi nimeona niitumie siku hii kukuandikia barua ili siku ukizaliwa uikute
T H R E A D πŸ‘‡ Nuru ya asubuhi haitofaa kitu bila kuona uso wako. Kifungua kinywa hakitakua na maana bila kupata kumbatio lako pindi unapoamka.

Lile tabasamu lako ukinikaribia ni ishara halisi ya binti shupavu aliyebeba urithi wa asili ya mtu mkarimu wa Afrika.
My daughter wewe ni MAMA AFRICA
Apr 30, 2020 β€’ 17 tweets β€’ 4 min read
AN OPEN LETTER πŸ’Œ TO MY LOVE

Sweetheart ,
Natumai uko salama, kuandika barua ni utaratibu wa zamani maana ningeweza kukupigia simu au kutuma meseji lakini nimeona vyote hivo visingebeba hisia zangu zote kama ambavyo barua imeweza

T H R E A D πŸ‘‡ Dear love, we ni binadamu wa maana sana kwangu maana umefanyika nuru katika ulimwengu wangu wangu wa huba.
Nilifikiri mwangaza wa jua la asubuhi unaumiza sana macho mpaka nilivokutana na tabasamu lako kutoka kwenye kinywa chenye meno yalopangika vizuri naam ulinivutia❀
Apr 22, 2020 β€’ 14 tweets β€’ 4 min read
AN OPEN LETTER πŸ’Œ TO MY FUTURE SON.

Dear son,
Najua bado upo umening'inia katikati ya mapaja yangu na ndani ya nyonga ya mama yako mtarajiwa. Sijui ntakuleta lini duniani lakini natamani siku utakapokuja basi uikute hii barua yako.
T H R E A D πŸ‘‡ Dear son, natamani nikupate kama mtoto wangu wa kwanza kwenye familia ili ukomavu wako kama mwanaume uwe nuru kwa wadogo zako.
Natamani pia uwe wa pili kuzaliwa baada ya dada yako ili kutokana na yeye kuwa mkubwa wako basi utajifunza kumheshimu kila mwanamke utakae kutana naye
Apr 17, 2020 β€’ 29 tweets β€’ 6 min read
THEY BOTH FELL IN LOVE WITH A VET β€πŸ’Š
So
kila mtu hujikuta katika mahusiano kwa namna ya tofauti.Usishangae sana ukiona mtu anatoka jela na mpenzi wa maisha yake. Au hata muharifu akatoka rumande na mpenzi wa maisha yake ambae mwanzo alikua askari wa hiko kituo

T H R E A D πŸ‘‡ Ni katika pirika za kila siku ambapo mioyo miwili iliyoshibana huungana na kutengeneza kitu kimoja cha thamani sana (upendo).
Pirika za kila siku huleta watu pamoja na ule muingiliano wa baina ya watu ndio huongeza ukaribu na mwisho katika hayo mazingira watapatikana wapenzi ❀
Apr 9, 2020 β€’ 31 tweets β€’ 6 min read
SHE DESERVED LOVE BUT I DECIDED TO RESPECT HER,I WAS WRONG πŸ’”

So guys,heshima na upendo ni vitu viwili ambavyo vinashabihiana.Kuna wakati utadhani unapendwa kumbe una heshimiwa na kuna wakati utaheshimiwa we ukadhani unapedwa
Nilishindwa kujua tofauti yake

T H R E A D πŸ‘‡ This might be my first love story tangia nazaliwa, nilikua na umri mdogo sana lakini ilitosha kunifunza jinsi mapenzi yanavotawala kila rika. Ni zamani sana miaka ile shule ya msingi, shule zetu izi za kawaida so wale wa kupanda school bus inabidi mtuvumilie kidogo kuna vitu
Apr 6, 2020 β€’ 31 tweets β€’ 6 min read
MY THREE MONTHS EXPERIENCE OF DATING A SLAY QUEEN πŸ’” πŸ™ŒπŸΌ

So,siku zote uzuri wa mapenzi ni pale unapopendwa bila sababu, maana akikupenda kwa sababu fulani means sababu hiyo ikipotea hatokupenda tena,
Mpaka tunaachana sikuwahi kujua ni mtu wa aina gani.

T H R E A D πŸ‘‡πŸΌ Ni vizuri mtu kuwa real ili upendwe au mtu akupende vile ulivo pasipo kuvaa uhusika wa mtu mwingine. Your are beautiful /handsome the way you're.
Nlikua naskiaga tuu slay Queens mpaka yalonikuta.Miezi mitatu tuu ilitosha kuona kama mwaka mzima umepita sasa kwa zile mikiki πŸ™ŒπŸΌ
Apr 3, 2020 β€’ 24 tweets β€’ 5 min read
I WAS A REASON FOR SOMEONE'S SMILE ❀

Uzuri wa maisha siku zote ni kuishi kama vile ulikua na chaguo lakuamua unavotaka kuishi Furaha ni maana halisi ya kuishi
Inaleta faraja ukifurahi na inafurahisha zaidi ukiona mwenzako anafuraha na wewe ndo chanzo cha furaha
T H R E A DπŸ‘‡πŸΌ Kupitia story hii utaweza kujifunza maana halisi ya kupenda na kutamaniπŸ˜„.
Ilikua mida ya likizo baada ya masomo mengi ya semester ile nikawa nyumbani tuu nimechill coz ilikua likizo fupi ya wiki mbili sikuona haja ya kuumiza kichwa kutafuta mishe nkaona niupe mwili pole tuu
Mar 22, 2020 β€’ 31 tweets β€’ 6 min read
I WON LOVE TO A PASTOR'S DAUGHTER πŸ’” πŸ˜’

So guys, vile tunaishi kila siku kupenda,kupendwa na kupendana ni vitu visivyoepukika.Tunapenda watu wengi wenye haiba na asili tofauti tofauti
Nikajikuta nampenda mtoto wa Mchungaji πŸ™ŒπŸΌ
T H R E A D πŸ‘‡πŸΌ My story began one Sunday evening i was home alone and bored baada ya mikiki za wiki nzima mida kama ya saa kumi jioni nkiwa nje barazani nimechill sina jambo nakula upepo kijana wenu
Sidaiwi kodi,umeme upo maji nshalipa nipewe nini tena labda kidonda nifukuze nziπŸ˜‚