Dr Njole Julian Profile picture
C. O, MBchB. Not for a patient and doctor interaction. it's good day to save life. #AfyaKwaWote
Dr Njole Julian Profile picture 1 subscribed
Jun 26, 2019 8 tweets 3 min read
UGONJWA WA KISUKARI NA MAAMBUKIZI.

Thread

Mtu mwenye ugonjwa wa kisukari huwa katika hatari ya kupata maambukizi kuliko yule asiye na ugonjwa wa kisukari.
Uhusiano huo ulielezewa zaidi ya miaka 100 iliyopita na bado unajadiliwa mpaka leo.
#Afyakwawote. Maambukizi yanayohusishwa sana na mtu mwenyewe kisukari ni kama

1. Maambukizi ya ngozi na tissue mbali mbali.

2. Maambukizi ya mfumo wa mkojo na uzazi

3. Maambukizi ya mfumo wa upumuaji.

4. Maambukizi ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
#Afyakwawote.
Apr 18, 2019 27 tweets 12 min read
UKUAJI NA MAENDELEO YA MTOTO.

UKUAJI ni hali ya kuongezeka kwa ukubwa(size) ya mwili wa mtoto
 
Maendeleo ni hali ya mtoto kuweza kufanya jambo fulani kwa wakati fulani unaotarajiwa.

Mfano kutoka kutambaa hadi kutembea. 
#afyakwawote. Image Ukuaji wa mtoto huanza baada ya mimba kutungwa.

Ukuaji na maendeleo ya mtoto huenda sambamba ila kwa kasi tofauti tofauti. 

#afyakwawote.