Umewai kuota Ndoto umerudi shuleni? Hizi hapa maana zake__👇🤗
Thread -🧵👇
Watu wengi wamekuwa wakiota hii ndoto, si mara moja. Lakini kwa bahati mbaya hawajapata kujua nini maana yake.
Jan 21, 2023 • 19 tweets • 3 min read
Sifa 15 za Mwanaume mwenye future na anayejitambua....☟😎
Thread -🧵👇
Hizi hapa ni sifa 15 ambazo mwanaume mwenye future na anayejitambua lazima awe nazo..☟
Jul 19, 2022 • 12 tweets • 3 min read
Biashara ya kuonesha mipira - Vibanda umiza..💰⚽
Nakusogezea Uzi huu ujue namna ya kuanzisha na kuendesha biashara hii kwa mafanikio✌
#Thread
Twende Chap..Kwa sasa; watanzania hufatilia kwa ukaribu sana ligi maarufu na hata hii ya bongo hivyo fursa hii haikulazi njaa. Ukipita uko mtaani story ni Simba, Yanga, Chelsea nk.
Jul 17, 2022 • 10 tweets • 2 min read
Kwa nini Mungu alimfyekelea mbali Onani alipomwaga nje..🙌☟
Thread📖
Alikuwapo mtu mmoja aitwae Yuda mwana wa Israel, huyo alioa mwanamke mkanaani na kuzaa wana watatu Eri, Onani na Shela Mwa 38:2-5