Kiraka Profile picture
وانا عبدكى الضعف الذليل الحقير المسيكن المستكين.....😭
Oct 30, 2020 6 tweets 4 min read
#NewProfilePic Image vp ndugu zangu awali ya yote heshima yenu na aman ya mwenyezimungu iwe juu yenu me nikijana mwenzen mtoto wenu pia kak yenu nakuja mbelee yenu kwa kutanguliza shukurn kwa utuliv wenu nahitajia ushaur wen n cha kufany mpenz wangu analazimishwa kuolew na mt asie mpenda nimewaz sna