SANUKAnaCHAPO Profile picture
Apr 4, 2020 16 tweets 7 min read Read on X
NANI MMILIKI WA ZOOM PRODUCTION?

Ikiwa imetimia miezi kadhaa tangu Harmonize kuondoka WCB

kumekuwa na maswali mengi juu ya umiliki wa zoom production hasa baada ya jina la kampuni kubadilishwa kutoka zoom production na kuwa zoom extra huku mtayarishaji wa video Image
Akibaki yule yule Director Kenny?

Nikukumbushe tu kuwa upo kwenye page ya #Sanukanachapo hivyo upo sehemu salama kabisa utakwenda kupata majibu ya maswali yako yote bila ukakasi.

Awali ya yote kabla ya kujua mmiliki halali ni vyema kujua zoom production iilikuwaje ikaanzishwa. Image
WAZO

Zoom production ni idea ya Harmonize ambayo ililetwa kwa mara ya kwanza na Jose wa mipango rafiki mkubwa wa Harmonize sababu ni kutokana na wimbi la wasanii kwenda kufanya video South Africa.

Harmonize alilichukua wazo hilo kama changamoto na kuamua kumshirikisha Image
Mtayarishaji maharufu wa video Tanzania director “khalfani” ama “khalimandro” amabae hakulichukulia hilo swala serious na kukubali kishingo upande.

Harmonize alikuwa anaenda kushoot video yake nchini Afrika kusini alimchukua Director Khalifani ili aende kupata uzoefu ImageImage
Ili akirudi Tanzania kampuni yao iwe na video za quality sawasawa na South Africa. bahati mbaya wakiwa airport kurudi Tanzania Director Khalfani alipoteza camera wakati wa kufanya ukaguzi ambayo ni mali ya kampuni ya zoom.

Ikabidi Director Khalfani amweleze Harmonize ukweli Image
Kuwa camera imepoteza jambo ambalo lilimuuzi Harmonize na kuchukulia kama uzembe na kumuamulu Khalfani aifate camera alipoiacha.

Bahati mbaya au nzuri baada ya Khalfani kuitafuta camera bila mafanikio pale airport akaja kukuta camera anayo askari wa Image
Uhamiaji wa South Africa, ambaye aligoma kutoa hiyo camera na kutaka kupata uthibitisho kutoka kwa Khalfani kwa kueleze kwenye camera kuna nini kama kithibitisho kuwa ile camera ni yake .

Khalfani alifanikiwa kuelezea vizuri na kweli baada ya askari kukagua materials Image
Akakuta kuwa maelezo yanafanana na kilichomo. ila baada ya kumkabidhi camera askari alidai rushwa ya zaidi ya landi 2000 ili ampe camera lakini Khalfani alisisitiza kuwa hana pesa na ni camera ya boss ambae anamsubiri chumba wasafiri cha kusubiri ndege. Image
Katika mvutano wa takribani dakika 20 mwisho askari akatoa camera kwa Khalfani ila bahati mbaya zaidi ndege ilikuwa imewaacha hivyo ilizidisha hasira kwa Harmonize kutokana na uzembe huo wa Khalfani

Ila sababu camera ilipatikana kidogo ilipunguza hasira kwa Konde boy. Image
Baada ya kurudi Tanzania wakawa na project ya kwanza kama zoom production ambapo ilibidi Harmonize asafiri na Khalfani mpaka Zimbabwe wakaenda kufanya kichupa cha ‘Ndonda’ pamoja na Jay Prayzah msanii maarufu Zimbabwe.

Kichupa kikafanyika na kumalizika fresh na kurudii zao Bongo ImageImage
Project ya pili ikawa video ya Harmonize ‘Sina’ ambayo kwenye video muhusika mkuu alikuwa Mr. Nice ambaye ilikuwa shida kumshawishi afanye kichupa hicho kutokana story ya video ilimzungumzia maisha yake kwa asilimia 90.
Kipindi chote hicho Khalfani alikuwa anafanya kazi kwa kujilazimisha na alikuwa ahamini kwenye kufungua kampuni ya pamoja ‘zoom production’. Badala yake waliendelea kufanya kwa makubaliano tu ndio maana video zote hizo zilikuwa na jina la Khalfani. ImageImage
KUKUTANA NA KENNY

Harmonize alizidi kuumizwa na hali ya Khalfani kutoamini kwenye kufungua zoom pamoja na kusababisha baada ya kutoka zimbwambwe kuanza kusaka director mwengine atakaye amini kwenye ndoto zake.

Wakati huo Harmonize alikuwa amefanya video ya ‘Happy birthday’ kwa Image
Hanscana ikafika wakati wa kuchukua video yake, Harmonize akamcheki Hanscana ili akachukue video hiyo ila Kwa bahati mbaya Hanscana alikuwa na hudhuru hivyo akamjulisha Harmonize apitie ofisini tu atamkuta Director Kenny

Ambae alikuwa kama msaidizi wa Hanscana kwa wakati huo.
Basi Harmonize kufika ofisi hizo akamkuta director Kenny ambae...

ITAENDELEA PART2 ... USIKOSE

#sanukanachapo

Tafadhari like,retweet na follow ili familia iongezeke na kuwafikia watu wengi zaidi.

🙏🙏🙏🙏 ImageImage

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with SANUKAnaCHAPO

SANUKAnaCHAPO Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @chapo255

Sep 7, 2023
NJIA 10 ZITAKAZO KUKUSAIDIA KUIBA PESA NYINGI, KUTAKATISHA PESA NA KUTOROKA USIKAMATWE.

1. Pesa iwe inakulipa kweli
Hakikisha pesa unayotaka kupiga hata likibumbuluka ina kuwa na thamani ya kuharibu kweli maisha yako hata ukienda jela nafsi haikuumi ila pia unaweza kuhonga na kuendesha kesi?
Image
2. Nani atatakatisha pesa?
Huwezi kupiga mabilioni ya pesa then ukataka uyabebe uondoke nayo kama fala 😂
Utakamatwa mchana kweupe .

Unatakiwa upate mtu wakuziweka pesa kwenye mzungungo… hapo ndipo nahitaji watu wa aina 2 kwanza mbongo ambaye ataziingiza pesa kwenye 👇 Image
Mzunguko ili ionekane ni pesa halali hapo ndipo unahitaji watu wanaitwa “Mapapaa” mafundi wakuingiza pesa kwenye mzunguko hata uwe na kiasi gani cha pesa wao wanataka chao mezani tu ndio muhimu.
Kama unataka pesa zako zote ziende nje ya nchi hapo utahitaji mtu anaitwa👇
Read 7 tweets
Nov 5, 2022
Nimefanikiwa kunyaka copies za mkataba wa wasanii hawa na Konde Gang unaonyesha kuwa wote kwa pamoja walikubaliana kutofata masharti ya mkataba wao hasa kifungu namba 15(a)(b)(c) cha mkataba wao wa tarehe 31/08/2020.

🧵shuka nao👇 Image
Stori kamili iko hivi…
Kumbuka wasanii hawa waliingia mkataba wa miaka 10 na lebo hiyo tajwa hapo juu
na endapo Kama Konde Gang wangevunja mkataba na moja ya wasanii hao basi walipaswa kumlipa kiasi cha milioni 10 kama fidia.

Ikumbukwe Konde Gang ndiyo iliomba kusitisha mkataba Image
na wasanii hao, waliwaita chini na kukubaliana kuwa mkataba uvunjwe kwani lebo hiyo haikuwa na haja ya kuendelea na wasanii hao, wasanii waliomba kama mkataba ungevunjwa basi vipengele muhimu vizingatiwe ikiwemo fidia ya pesa.

Wasanii wao kupitia mwanasheria wao walitinga Image
Read 7 tweets
Nov 4, 2022
ZUCHU ALIVYOMPA CONNECTION DIAMOND KWA MPOMPO.

Mwezi wa 4 mwaka huu ilirekodiwa ngoma ya Zuchu ft. Adenkule Gold, Love, hii ngoma ishatoka na tukaizungumzia kidogo hapa ila hilo si swala, nachotaka kukusanua ni kwamba 👇

🧵 Image
Namna wimbo wa Sona wa Diamond Platnumz ft Adekule ulizaliwa, yani bila Zuchu kufanya hii kolabo ya Lobe na Adenkule basi Diamond asingefakisha Sona kwa urahisi Sona.

Kabla sijaendelea nakukumbusha kupitia @usedpointTz kuna laptop na simu za bei nafuu sana.

Shuka nayoo👇 Image
Zuchu alikuwa na ushikaji na Adenkule, kuna kipindi Ade alikuwa ana comment kwenye posts za Zuchu kama celebs wengine wa Naija, mazoea yakaongeza ukaribu baina yao hao wawili

Kwahiyo huo ndio ukawa mwanzo wa kupatikana kwa wimbo wa Sona wa Diamond, sababu ni Zuchu ndiye alieye Image
Read 4 tweets
Jan 8, 2022
KWANINI COUNTRY BOY AMEONDOKA KONDE GANG?

Tetesi ni kuwa DSM Boy, Chido na Killer hawapo sawa na management yao ya Konda Gang inayoongozwa na Chinga.

Kwanini? Nimeweka uzi mfupi kukufafanulia ili usibaki na maswali.

@usedpointTz @Chapo_Porkpoint

#UZI 👇 Image
Kama nilivyoeleza hapo juu hizi ni tetesi si habari ya uhakika hadi pale wenyewe watakapo thibitisha, naomba kwasasa ichukulie kama tetesi.

Za ndaaaaani kabisa zinadai kuwa kabla DSM Boy hajaingia Kondi Gang alipata bahati ya kufanya ngoma na msanii mkubwa Tanzania👇
Sitomtaja jina ila nilishawai kuandika hapa msanii DSM Boy ndoto zake zilikuwa kufanya kazi na nani.

Alipoingia na kusaini mkataba na Kondi Gang aliambiwa apeleke mezani ngoma alizonazo na moja wapo ni hiyo collabo na msanii mkubwa Bongo.
Menejimenti wakaigomea ngoma kwamba👇
Read 8 tweets
Aug 20, 2021
MSANII WA HIPHOP ‘CLASS’ ALIEKATAA DILI LA MILIONI 300.

Wakati msanii wa Hiphop “class” anaachia ngoma yake pendwa alikuwa on top kiasi cha kukataa show kibao kutokana na ufinyu wa muda yani jamaa ilifika kipindi anafanya show leo na kesho ana show 👇#UZI Image
Sehemu nyengine yani back to back, kwa mujibu wa meneja wake anadai jamaa aliwai kataa show ya milioni 16 😳.

Ikafika kipindi kampuni ya simu ya TigoU katika nchi ya Stanza ilimtaka jamaa awe balozi wa kampuni yao na dau lao lilikiwa milioni 300 kwa mwaka 😋.

Japo jamaa 👇 Image
Alikubali ila baada ya kusikia kuwa mchekeshaji ambae ni balozi wa kampuni hiyo analipwa 300M kwenye mkataba wake jamaa akataka dau kubwa zaidi hapo ndipo waliposhindwana na kampuni ya simu ikaona single moja haiwezi kuwa na thamani ya zaidi ya 300M bora tu waachane nae, yaani👇 Image
Read 5 tweets
Aug 18, 2021
SARAPHINA WA BSS

Nimemsikiliza mikwaju yake mipya kadhaa, itoshe kusema ni msanii wa kumuangalia sana 2022 ana hela zake nyingi.

Ni full package ya msanii, anajua kuimba,kucheza na kutawala jukwaa na kingereza kimelala, hata siku akifanikiwa kwenda kimataifa haitaji👇#UZI
RASI SIMBA wakumfundisha kinge.

Bongo fleva ina uhaba wa wasanii wakali wa kike yaani wanahesabika kabisa na hawazidi hata 10 hivyo ujio wake Saraphina itoshe kusema sio tu anaongeza namba ya wasanii wa kike kwenye kiwanda bali anaongeza ushindani na list ya wasanii wa kali.👇
Nikisikia nyimbo zake kama SIO KITOTO,SINGO,IN LOVE na SITAKI TENA unamsikia Vanessa Mdee kwa mbali hii inanifanya masikio yangu yanayo miss ngoma za V-Money yapate tiba kutoka kwa Saraphina.

Kwasasa Saraphina yupo chini ya Maneja mwenye uzoefu na muziki wa bongo anaejulikana👇
Read 4 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us!

:(