SANUKAnaCHAPO Profile picture
| Storyteller | Owner @usedpointtz | SON OF BONGO FLEVA | THE WALKING MEDIA | Binamu wa BARAKA MAVIATU |
SULTAN MNYALU🇹🇿🇹🇿 Profile picture KEISHA ESSAY HELP | HOMEWORK HELP | ESSAY WRITER Profile picture PestKiller Enterprises Profile picture John Profile picture 4 subscribed
Sep 7, 2023 7 tweets 3 min read
NJIA 10 ZITAKAZO KUKUSAIDIA KUIBA PESA NYINGI, KUTAKATISHA PESA NA KUTOROKA USIKAMATWE.

1. Pesa iwe inakulipa kweli
Hakikisha pesa unayotaka kupiga hata likibumbuluka ina kuwa na thamani ya kuharibu kweli maisha yako hata ukienda jela nafsi haikuumi ila pia unaweza kuhonga na kuendesha kesi?
Image 2. Nani atatakatisha pesa?
Huwezi kupiga mabilioni ya pesa then ukataka uyabebe uondoke nayo kama fala 😂
Utakamatwa mchana kweupe .

Unatakiwa upate mtu wakuziweka pesa kwenye mzungungo… hapo ndipo nahitaji watu wa aina 2 kwanza mbongo ambaye ataziingiza pesa kwenye 👇 Image
Nov 5, 2022 7 tweets 3 min read
Nimefanikiwa kunyaka copies za mkataba wa wasanii hawa na Konde Gang unaonyesha kuwa wote kwa pamoja walikubaliana kutofata masharti ya mkataba wao hasa kifungu namba 15(a)(b)(c) cha mkataba wao wa tarehe 31/08/2020.

🧵shuka nao👇 Image Stori kamili iko hivi…
Kumbuka wasanii hawa waliingia mkataba wa miaka 10 na lebo hiyo tajwa hapo juu
na endapo Kama Konde Gang wangevunja mkataba na moja ya wasanii hao basi walipaswa kumlipa kiasi cha milioni 10 kama fidia.

Ikumbukwe Konde Gang ndiyo iliomba kusitisha mkataba Image
Nov 4, 2022 4 tweets 3 min read
ZUCHU ALIVYOMPA CONNECTION DIAMOND KWA MPOMPO.

Mwezi wa 4 mwaka huu ilirekodiwa ngoma ya Zuchu ft. Adenkule Gold, Love, hii ngoma ishatoka na tukaizungumzia kidogo hapa ila hilo si swala, nachotaka kukusanua ni kwamba 👇

🧵 Image Namna wimbo wa Sona wa Diamond Platnumz ft Adekule ulizaliwa, yani bila Zuchu kufanya hii kolabo ya Lobe na Adenkule basi Diamond asingefakisha Sona kwa urahisi Sona.

Kabla sijaendelea nakukumbusha kupitia @usedpointTz kuna laptop na simu za bei nafuu sana.

Shuka nayoo👇 Image
Jan 8, 2022 8 tweets 3 min read
KWANINI COUNTRY BOY AMEONDOKA KONDE GANG?

Tetesi ni kuwa DSM Boy, Chido na Killer hawapo sawa na management yao ya Konda Gang inayoongozwa na Chinga.

Kwanini? Nimeweka uzi mfupi kukufafanulia ili usibaki na maswali.

@usedpointTz @Chapo_Porkpoint

#UZI 👇 Image Kama nilivyoeleza hapo juu hizi ni tetesi si habari ya uhakika hadi pale wenyewe watakapo thibitisha, naomba kwasasa ichukulie kama tetesi.

Za ndaaaaani kabisa zinadai kuwa kabla DSM Boy hajaingia Kondi Gang alipata bahati ya kufanya ngoma na msanii mkubwa Tanzania👇
Aug 20, 2021 5 tweets 3 min read
MSANII WA HIPHOP ‘CLASS’ ALIEKATAA DILI LA MILIONI 300.

Wakati msanii wa Hiphop “class” anaachia ngoma yake pendwa alikuwa on top kiasi cha kukataa show kibao kutokana na ufinyu wa muda yani jamaa ilifika kipindi anafanya show leo na kesho ana show 👇#UZI Image Sehemu nyengine yani back to back, kwa mujibu wa meneja wake anadai jamaa aliwai kataa show ya milioni 16 😳.

Ikafika kipindi kampuni ya simu ya TigoU katika nchi ya Stanza ilimtaka jamaa awe balozi wa kampuni yao na dau lao lilikiwa milioni 300 kwa mwaka 😋.

Japo jamaa 👇 Image
Aug 18, 2021 4 tweets 2 min read
SARAPHINA WA BSS

Nimemsikiliza mikwaju yake mipya kadhaa, itoshe kusema ni msanii wa kumuangalia sana 2022 ana hela zake nyingi.

Ni full package ya msanii, anajua kuimba,kucheza na kutawala jukwaa na kingereza kimelala, hata siku akifanikiwa kwenda kimataifa haitaji👇#UZI RASI SIMBA wakumfundisha kinge.

Bongo fleva ina uhaba wa wasanii wakali wa kike yaani wanahesabika kabisa na hawazidi hata 10 hivyo ujio wake Saraphina itoshe kusema sio tu anaongeza namba ya wasanii wa kike kwenye kiwanda bali anaongeza ushindani na list ya wasanii wa kali.👇
Jul 29, 2021 8 tweets 4 min read
“NILIPEWA GARI ILI NISITOE STORY ZA WASAFI”

Kuna kauli wasanii wanapenda kuitumia kuwa “Wasanii wenyewe hatupendani” hii kauli wala si utani ni ukweli kabisa kuwa muziki wa Bongo Fleva licha ya kukuwa na kuanza kuwanufaisha wasanii ila vita imekuwa kubwa kila mtu anataka👇UZI Keki kubwa zaidi ya mwengine kupelekea chuki,uongo,fitna na kurogana ila bahati nzuri bado hawajafikia kuuwana 😂.

Nataka leo nikusimulie kisa cha msanii wa Bongo Fleva kutaka kuwekeza kwenye online Tv kwa sharti moja tu wasitangaze habari za wasafi😳👇
Jul 27, 2021 9 tweets 4 min read
MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEPEWA KESI YA KUBAKA.

Mwaka 2004/2005 kama kumbukumbu zangu ziko sawa(kipindi hujaja mjini 😂) msanii wa Bongo Fleva aliachia ngoma iliyogeuka kuwa ngoma ya Taifa kila mtaa uliimba hiyo nyimbo, hata leo ikipigwa hiyo ngoma lazima uinuke ucheze.👇 UZI Image Jamaa aliamua kuacha kazi na ku deal na muziki kama full time job(mchizi alianza kutumia unga zamani sana) akiwa Club Moja iliyochangamka inayowakutanisha watoto wa Masaki,Kinondoni,Mikocheni,Upanga na Msasani binti mmoja kwa jina la Vero(sio jina lake halisi) alizimika na 👇 Image
Aug 10, 2020 10 tweets 2 min read
Kuna mshikaji alioa binti ambae alikutana nae chuo.

wakiwa wanachukua kozi ya uhasibu(chuo kapuni) baadae wakakubaliana waoane na ndoa ilifana sana sababu wakati wanaoana jamaa alikuwa ameshapata kazi kampuni ya simu nchini(jina kapuni)

Baada ya ndoa binti nae akapata kazi👇 Taasisi ya serikali(jina kapuni).

MATUKIO•

Ndoa yao ghafla ikaingia pepo, jamaa ndani ya miezi 6 tangu wafunge ndoa hakuwai kupewa unyumba(kwichikwichi).

Kisheria hasa kwenye dini ya kikristo siku ya harusi mkitoka pale inabidi mkakwichi kwichi bila hivyo ndoa bado👇
Aug 3, 2020 4 tweets 3 min read
Lulu Diva ameachia video yake mpya aliyomshirikisha mzee mbuzi Fid Q kutoka kwenye EP yake ya three some inayoenda kwa jina la ‘Gugugaga’

Ila usichojua ni kuwa ilimchukua ugumu sana Fid Q kukubali kufanya ngoma na Lulu Diva, alikataa ngoma zaido ya tatu alizowai kutumiwa ila Baada ya kutumiwa Gugugaga mzee mbuzi alikubali kiulaini sababu alizimika na mdundo na idea ya ngoma.

Uzuri wa kichupa hiki Fid katokea kibishow sana na my favourite scene ni ile waliyovaa nguo nyeupe waliwaka sana, japo Ngosha ni ngosha tu alikuwa...
Apr 13, 2020 8 tweets 4 min read
BURNA BOY Part2.

Msanii wa Nigeria Burna Boy amebaniwa kuingia nchini UK kwa miaka 15 hii ni kutoka na kuhusika na kifo cha mtu ambae aliuwawa na moja ya watu wa genge la kihuni ambalo Burna Boy alikuwa akijihusisha nalo nchini uingereza

Tukio hilo likitokea 2013 Image December nakufanya kupigwa mvua ya miaka kadhaa ila baada ya miezi 11 aliachiwa na kupewa adhabu kifungo cha nje cha miezi 2 akitakiwa kufanya huduma za kijamii ila kurekebisha tabia ila jamaa akatoroka na kurudi Nigeria ambapo alisainiwa na record label ya Aristokrat Records . Image
Apr 12, 2020 6 tweets 3 min read
Hivi Harmonize kwenye kumtambulisha Ibrah alihitaji kuandika gazeti lote lile?

Harmonize anahitaji subra na uvumilivu kwenye hiki kipindi hawezi kufanya vingi kwa wakati mmoja kama anavyotaka

Niliandika miezi kadhaa nyuma kuwa kinacho mcost Harmonize ni watu waliokuwa Nyuma yake nikiwa na maana kwamba ukiachana na Jembe ni Jembe ambae ni mfanya biashara zaidi hakuna manager menye uzoefu na mwenye sauti juu ya Harmonize

Hii pia iko kwa KIBA hakuna mtu mwenye sauti juu yake so mara nyingi msanii anakuwa jeshi la mtu mmoja wale wanyuma yake
Apr 4, 2020 16 tweets 7 min read
NANI MMILIKI WA ZOOM PRODUCTION?

Ikiwa imetimia miezi kadhaa tangu Harmonize kuondoka WCB

kumekuwa na maswali mengi juu ya umiliki wa zoom production hasa baada ya jina la kampuni kubadilishwa kutoka zoom production na kuwa zoom extra huku mtayarishaji wa video Image Akibaki yule yule Director Kenny?

Nikukumbushe tu kuwa upo kwenye page ya #Sanukanachapo hivyo upo sehemu salama kabisa utakwenda kupata majibu ya maswali yako yote bila ukakasi.

Awali ya yote kabla ya kujua mmiliki halali ni vyema kujua zoom production iilikuwaje ikaanzishwa. Image
Feb 23, 2020 19 tweets 9 min read
#5zaChapo leo tupo na Nahreel producer na msanii kutoka kundi la Navy Kenzo karibu.

1. Nahreel anatokea familia yakishua jina lake halisi ni Emanuel mkono na inasemekana baba yake ni Nimrod Mkono Mbunge wa CCM jimbo la Musoma vijijini ambae pia ni mmiliki 👇 Wa kampuni kubwa ya mawakili Mkono & Co. Advocates ambayo iliwai kuwa washauri wa kampuni ya umeme ya Tanzania tangu mwaka 1995 na inakadiriwa kuwa ililipwa takribani bilioni 18. Japo inasemekana pia sio baba yake mzazi bali baba yake mkubwa.
Feb 20, 2020 58 tweets 22 min read
SABABU KWANINI HARMONIZE AMEONDOKA WCB

Ikiwa imepita miezi kadhaa tangu Harmonize aondoke WCB kumekuwa na sitofahamu nyingi kuhusu kwanini konde boy ameondoka WCB

Tuwekane sawa kidogo inekuwa ngumu sana kuujua ukweli kwasababu sio WCB wala Harmonize amekuwa tayari Kulizungumzia hili sababu zao binafsi huku WCB kama taasisi inalinda siri za kibiashara huku Harmonize akilinda heshima yake asije kuonekana mbaya kwa mashabiki lundo wa WCB(public sympath)

Swali linabaki kwanini aliondoka WCB?
Feb 3, 2020 4 tweets 2 min read
Barua ya wazi kwa Samatta

Habari yako Samatta natumaini unaendelea vyema uko Uingereza kwa Malikia

Lengo la barua hii ni kukumbusha kidogo kuwa hakuna anaekupenda wewe hapa Tanzania bali tunapenda unachokifanya

👇Nadhani hujanielewa tulia mdogo wangu utaelewa taratibu

#Uzi👇 Watanzania tunakupenda sababu unaiwakilisha Taifa nikiwa namaana kuwa hata @LusakoWaKwanza angekuwa anacheza Aston Villa leo kama wewe tungempa love yote tunayokupa wewe

Hatuipendi Aston-villa tunaipenda sababu imekusajili

Ndio maana hata mkifungwa hatuumii ili mradi ufunge
Jan 18, 2020 11 tweets 5 min read
BIFU LA GOODLUCK GOZBERT NA MO MUSIC

Nikiwa gheto mwaka 2014 niliona ngoma ya kijana mwenye sauti nzuri mithiri ya Marlaw kwa TV

Nikajiuliza huyu ni nani nikagundua ni mshikaji anaitwa Mo Music

Ile video ngoma iliitwa ‘basi nenda’ ikiwa

#THREAD
👇👇👇 Imefanyiwa kichupa na Adam Juma .

Ile ngoma ilitikisa sana radio na TV za bongo na Mo Music alijivunia mashabiki wengi naweza sema kwa lugha nyengine kuwa ‘basi nenda ‘ ilikuwa ngoma ya Taifa.

Kama show basi zilikuwa nyingi mno alizinguka mikoa mingi bongo

Ni mshikaji kutoka