My Authors
Read all threads
Hivi Harmonize kwenye kumtambulisha Ibrah alihitaji kuandika gazeti lote lile?

Harmonize anahitaji subra na uvumilivu kwenye hiki kipindi hawezi kufanya vingi kwa wakati mmoja kama anavyotaka

Niliandika miezi kadhaa nyuma kuwa kinacho mcost Harmonize ni watu waliokuwa
Nyuma yake nikiwa na maana kwamba ukiachana na Jembe ni Jembe ambae ni mfanya biashara zaidi hakuna manager menye uzoefu na mwenye sauti juu ya Harmonize

Hii pia iko kwa KIBA hakuna mtu mwenye sauti juu yake so mara nyingi msanii anakuwa jeshi la mtu mmoja wale wanyuma yake
Kazi yao inakuwa kumsupport badala ya kumshauri.

Inasemekena kuwa WCB Sallam SK anaweza kuzinguana na Diamond hata wiki mbili wasiongee sababu tu Manager ameshikilia msimamo juu ya jambo fulani na Diamond hataki mpaka mwisho wanapata solution

Mjerumani anaweza? Chopa anaweza?u
Harmonize kwa sasa anapaswa kujikita n ku push album zaidi na kuhakikish ana settle down badala ya kutaka kuonyesha ubabe kuwa anaweza kufanya kama management yake ya awali
Ibrah bakupaswa kutambulishwa sasa bali alipaswa kupewa muda wakujifua na ku record ngoma badala ya kumleta public hii itafanya watu wategemee makubwa kutoka kwake tofauti labda na uwezo atakao kuja kuuonyesha

Kila lakheri Ibrah na Konde Gang tunahitaji challenge ya muziki
Ambayo kwa muda sasa imekosekana kwenye game ya kiwanda cha bongo fleva. Na kitu kizuri ambacho Harmonize amefanikiwa ku win ni kutopiga kelele badala yake amekuwa akiachia kazi.

Written by: chapo255

#sanukanachapo
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with #SANUKAnaCHAPO

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!