1. Nahreel anatokea familia yakishua jina lake halisi ni Emanuel mkono na inasemekana baba yake ni Nimrod Mkono Mbunge wa CCM jimbo la Musoma vijijini ambae pia ni mmiliki 👇
-Mwisho
Asante kwa kuwa mwanafamilia wa uzi za chapo pls usisahau kulike na kuretweet ili iwafikie wengi tuongeze familia 🙏🙏
#sanukanachapo #5zachapo