My Authors
Read all threads
#UZI
💨 TEKNOLOJIA YA KOREA KASKAZINI.

✴ Filamu iliyowaponza Sony, vifaa vyao vikaharibiwa na wadukuzi wa North Korea.

✴ China,Iran,Syria pia North Korea hamna Facebook, Twitter n.k kwanini?

✴ FBI wasema inatumia samaki [ElectricFish] kuhack
#FLowMaTaTa shuka nayo 👇
✴ Haya twende chap chap

✴ Wiki iliyopita Marekani na media zake walisema Kiduku amekufa au anapumulia mashine.

✴ Leo chuma kipo town 😂 kinazindua kiwanda cha mbolea mkalime muache umbea maisha yake hayawahusu.

✴ Ukiacha na nyuklia wanazomiliki hawa Jamaa wananini cha...
✴ zaidi kufanya dunia nzima iwe inawatazama kila sasa.

✴ Kwanza ni lazima ukubali kwamba raia wa Nchi nyingi za Bara la Asia ndio wanaoongoza kuwa na akili nyingi duniani kwenye teknolojia.

✴ Tazama Nchi kama Japan, China,South Korea, Singapore n.k
✴ Vitu kama Risasi Fingerprints vimeanzia kwao. Tatizo elimu ya mkoloni ndio imetuponza tukaamini kwamba wagenious wote wa kale wanapatikana Ulaya na America.

✴ Tuyaache hayo tuje kwenye lengo letu.

✴ Mwaka 2001 duniani tulikua tunatumia teknolojia ya mawasiliano ya 3G, kule
✴ kule kwa kiduku walikua wanatumia 2G mpaka mwaka 2008 ndo walikuja kuwekewa 3G na kampuni kutoka Misri ya Orascomfram wakiungana na North Korea Telecommunication.

✴ Leo hii dunia ipo kwenye 5G wao bado wapo na 3G yao. Ila mziki wao sio wa kitoto
✴ North Korea ni moja wapo ya Nchi ambazo hazina Global internet kwa raia wake kama Cuba na Myanmar.

✴ Serikali za hizo nchi wanafanya hivyo kwa sababu ya udukuzi wa siri za nchi na kuwaminyia raia wao uhuru wa habari.

✴ Kila Nchi duniani inapata Huduma za mawasiliano yaliyo
✴ yaliyounganishwa kwa kutumia nyaya za fiber zilizopita habarini na kuunganisha Nchi zote kwenye mtandao mmoja.

✴ Pale kwa Kim Jong un hizo nyaya zimefika ila ni Mali ya jeshi na familia ya kiduku.

✴ Wananchi wametengenezewa mawasiliano yao ya ndani ya nchi tena...
✴ tena kule hamnaga vocha, Serikali imewapatia wananchi wake Huduma ya kupiga simu bure raha iliyoje 😂😂 ila Facebook, Instagram, Twitter, YouTube n.k wanazisikilizia kwenye bomba.

✴ North Korea ilizi-banned hizi social media na internet ya dunia kwa sababu ya Usalama wa nchi
✴ Kuna nchi kama China, Iran na Syria hii mtandao ya kijamii kutoka Marekani iliondolewa kwa sababu za kisiasa,Biashara na ugaidi.

✴ NORTH KOREA NA WADUKUZI
• Hii Nchi ina watu wanaoijua komputa zaidi ya wewe unavyofikiria.
• Mchawi hawezi loga mbali nakuambia.....
✴ Kutesa kwa zamu (walisema man u).

✴ Ukitaka kudukua taarifa za mtu ni lazima utafute ukaribu nae. Kule Korea huo ukaribu haupo global communication imeishia pale Pyongyang kwenye ofisi za wakulungwa na baadhi ya vyuo.

✴ Wewe ukienda Korea uwezi hutoweza kuwasiliana na sisi
✴ kienyeji mpaka uende huko foreigner. Koyolink 3G ni mawasiliano ya ndani ya nchi ambayo taarifa zake haiwezi fika nje kwa sababu Hakuna link yoyote ya kufanya connection nayo.

✴ Mwaka 2013 pale London yalipo makao makuu ya redio Duniani (WRN) World Radio network walifanikiwa
✴... walifanikiwa kurekodi kipindi cha Voice of Korea kwa tabu sana audio waliyoipata ilikua na sauti mbovu, wakasikia taarifa ya habari na baadhi ya muziki.

✴ Muda huo huo wakichokiona walinyamaza mpaka leo hawajazungumza.

✴ website yao ilifanywa hivi 👇
✴ Mwaka 2014 alijitokeza hacker mmoja kutoka (The international hacking group Anonymous) hapa Twitter akaja na mafile ya kutosha. Akasema amedukua taarifa za wananchi wote wa North Korea pamoja na kusepa na siri za jeshi la North Korea.

✴ Akaanza kuzivujisha baadhi
✴ Jeshi la North Korea likasema "Wamehack kwa kutumia server ya DPRK kwa kutumia program dhaifu na hawana siri yoyote, sisi tupo bize na big technology yetu.

✴ Kumbuka Korea wame-configure internet kwa link mbili, moja ina link China na nyingine via satellite.
✴ Mwaka 2016 Bank ya Ufilipino ilidukuliwa na kuchukuliwa kiasi za dollar million 81 IP address ya hacker ikaonyesha ipo North Korea.

✴ Mwaka 2019 Microsoft walibaini kuna wadukuzi 50 wanaowachezea trick wasepe na kijiji 😂 IP address inasoma ni kule kule.

✴ FBI kama kawaida
✴ FBI wakaanza kuchunguza ni malware gani inayotumiwa na hawa wadukuzi. Wakachanganya zote wakajua this is family.

✴ Maana mwaka 2009 hizo malware zilikua zina-attack S.Korea,Serikali ya Marekani na benki

✴ Kumbe wadukuzi walikua wanatumia malware kinachoitwa Electrial Fish
✴ Kwa Leo tuishie hapo wadau. Korea kaskazini anatua 3G Nchi nyingine 4G anatumia akili gani?

✴ Kesho nitawaletea UZI wa Movie ya (The interview) "Mbinu ya siri ya kumuua Kim Jong Un" ilivyo iponza SONY ika-dukuliwa na simu zake zikaaribia vibaya sana.

Naomba RT yako man
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Njiwa FLow

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!