My Authors
Read all threads
UZI: Michael Jackson hakuwahi kubadilisha ngozi yake bali alisumbuliwa na maradhi ya Vitiligo yaliyodhoofisha ngozi yake
Ngozi ya Jackson ilikuwa rangi ya kahawia (au sana huita maji ya kunde) katika hali ya ujana wake, ila, kuanzia katikati mwa miaka ya 1980, hatua kwa hatua ngozi yake ikaanza kudhoofika mno kwa kile kilichofikiriwa kujichubua ngozi na kujibadilisha mwonekano wake kuwa Mzungu.
Mabadiliko haya yalienea katika kila chombo cha habari.Kwa mujibu wa wasifu wa J. Randy Taraborrelli, mnamo 1986, Jackson alifanyiwa tiba ya vitiligo na lupus; vitiligo yenyewe tu tayari ishafanya ngozi iwe nyeupe, na lupus ilikuwa inaishia; magonjwa yote mawili yalikuwa ...
yanamfanya akimbie mwanga wa jua, kitendo ambacho kilisababisha hali ya ugonjwa wake wa lupus kurudi upya.
Kutibu hali hizi, Jackson akatumia Solaquin, Tretinoin (dawa ya kutibu utangoutango mixa vipele) na Benoquin. Vilevile alikuwa na kawaida ya kutumia hydroxychloroquine kwa kujichoma moja kwa moja katika jelaha lake la kichwani.
Tiba alizokuwa anatumia kwa ajili ya hali yake ilikuwa inaongeza zaidi kupausha ngozi yake, na kamchezo kake cha kujipaka madawa ya kuoanisha weupe wa ngozi yake imezidi kumfanya aonekane kituko.
Mnamo mwezi wa Februari ya mwaka wa 1993, Jackson ametoa uwazi usio wa kawaida katika mahojiano yake ya dakika tisini na Oprah Winfrey, mahojiano yake ya kwanza televisheni tangu mwaka wa 1979. Wakati wa mahojiano haya, amelikataa swali la kwamba anajichubua,
katangaza kinagaubaga ya kwamba alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa vitiligo na kwa maana hiyo ametumia dawa kadhaa wa kadhaa kuhakikisha hiyo hali inamuondoka.Mahojiano hayo yalitazamwa na watu milioni 62 kutoka Marekani.Hoja ya vitiligo imezua gumzo katika jamii,
hali ambayo ilikuwa haijulikani hapo awali. Uchunguzi wa maiti ya Jackson ulithibitisha kuwa alikuwa na vitiligo.
Ukitazama video hii ambayo Michael Jackson alieleza ukweli kuhusu tuhuma alizopewa za kubalidisha ngozi huzuni ilimjaa sana machoni pake.
Napenda kuwasilisha uzi, Asanteni tu'like na ku'retweet @KennedyMmari @abdulazackabdul @mpambazi_ @Joki_Aaron @MiriamMkanaka
@threadreaderapp unroll this please
Ukitazama video hii ambayo Michael Jackson alieleza ukweli kuhusu ngozi yake unaweza kuona huzuni baada ya kurushiwa mawe juu ya kukana ngozi yake nyeusi.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with MSAFIRI

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!