1/Kuna VITENDO vyenye HISTORICAL SIGNIFICANCE kwenye nyoyo na fikra za NCHI. Hakuna MTZ aliyekuwa hai tarehe 7/9/2017 atasahau alipukuwepo alivyosikia Tundu kapigwa risasi MCHANA Dodoma kwenye NYUMBA za SERIKALI zinazoLINDWA na POLISI. Mimi nilikuwa OFISINI na nililia sana!
2/Hakuna MTZ atayesahau ile picha ya Dereva ya Tundu akikamata nguo za Tundu zimeroa DAMU iliyemwagwa kwa UNYAMA wakupindulia akiwa mwana CCM, CDM, CUF au ACT au asiye na chama. Na INTERNET haitosahau. Mtu yeyote akiigoogle ataipata kama nilivyoipata mie leo.
3/Hakuna MTZ atayesahau ile picha ya Gari nyeusi ya Tundu iliyejaa mashimo ya RISASI akiwa mwana CCM, CDM, CUF au ACT au asiye na chama. Na INTERNET haitosahau. Mtu yeyote akiigoogle ataipata kama nilivyoipata mie leo.
4/Hakuna MTZ atayesahau kwamba SIRRO KASHINDWA kukamilisha UPELELEZI na KASHINDWA kumkamata mhalifu wa one of the most HEINOUS POLITICAL CRIMES in #Tanzania MODERN HISTORY na kanukuliwa kusema “MJADALA UFUNGWE”. Na Internet haitosahau
5/ Kwenye maisha ya kuna SIGNIFICANT moments unapewa MTIHANI wa kuTEST CHARACTER yako. Unavyotenda kwenye nyakati hizo ndio itakuwa LEGACY yako. Hakuna MTZ atayesahau kwamba SIRRO ndiye aliyekuwa IGP wa #Tanzania Tundu alivyopigwa RISASI na KASHINDWA kumkamata mhalifu. SITOSAHAU!
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Kwa hivyo Tulia anasema Katiba imewakataza Mawaziri na Manaibu kuwa SPIKA. 🧐
Kwa hivyo maadam Naibu Spika hajatajwa yeye anaweza kugombania USPIKA.
Hii ni novel INTERPRETATION ya “Tumbocracy”
Swali:
Rais, DG wa TISS, Majaji, IGP, Rais wa ZNZ, wanaweza kugombania USPIKA?
Katiba inasema mtu yeyote aliyekuwa mshika ofisi iliyowekwa kwa mujib wa SHERIA iliyotungwa na Bunge hawezi kugombania USPIKA. Tulia anasema, ofisi yangu haijatajwa kwenye ib.84(2).
Kama interpretation yake ni sahihi, basi namuomba Rais agombanie USPIKA maana yeye hajatajwa pia.
Kwa interpretation ya Tulia ya in. 84 ya Katiba ya 1977, RAIS hajakatazwa kuwa SPIKA maana hajatajwa. Wallahi viroja.
Juzi alivyosema Rais ni juu ya kila kitu, angemwambia Rais achukuwe Fomu ya USPIKA, ili Tulia aendelee kumtumikia Rais na Spika mpya kama Naibu Spika.
I am going to tweet in English on this complicated subject of the relationship between the Speaker of Parliament and the President in #Tanzania.
The issue was in my view is as follows: 1. The Speaker was sponsored and voted to his position by CCM.
2. The Speaker remains a CCM member and also a representative of his constituency 3. A CCM Speaker by virtue of the CCM Constitution is a member of the Central Committee of CCM 4. Parliament passed a deficit budget which Job KNEW needed support of loans in excess of TZS 9 tril.
5. For Job to claim the government is run negligently because of these loans is disingenuous because he was one of the people who passed a budget with a TZS 9 tril deficit reliant on loans. Why didn’t he ask the Government to cut costs during the budget debate?
Kuna mambo tunachukulia POA sana #Tanzania.
Hukumu ya Mahakama ya Katiba ya 🇿🇦 dhidi ya Zuma imesema:
“Rais ana WAJIB kusimamia, kutetea na kuheshimu Katiba…. Na Rais anatakiwa kufanya anachoweza kuhakikisha DEMOKRASIA ya Kikatiba inadumu”
#Tanzania ni Nchi ya Kidemokrasia Kikatiba. Rais ana wajib kulinda na kutetea DEMOKRASIA yetu. Jana siku 100 tu baada ya Rais kuapa kutetea na kulinda Katiba yetu, kasema hakuna mikutano ya siasa ya HADHARA isipokuwa wabunge kwenye majimbo yao?
Kwa kweli hatuko SERIOUS kabisa.
Rais anaua DEMOKRASIA ya KIKATIBA, halafu kuna watu wanasema “Mpeni muda”……..
Tukishakumpa muda, tunategemea kuwa na DEMOKRASIA iliyewekwa na Katiba yetu?
Tujitafakari.
1/Kwenye VITA kuna sera inayoitwa SCORCHED EARTH POLICY. Ukishinda unaCHOMA MOTO KILA KITU, ili kuhakikisha huachii assets za kumsaidia adui wako.
Baada ya 2015 Mbowe •alichomewa MOTO shamba lake:
•alivunjiwa Bilicanas
•akafungiwa accounts zake
SCORCHED EARTH POLICY
2/Kwenye VITA kuna sera ya kuwinda na kukamata Jeshi la Adui na kulifunga ili wasiweze rudi kupingana na we:
Baada ya 2015 hawa watu wamewindwa na kukamatwa:
•Mbowe
•Lissu
•Mdee
•Lema
•Sugu
•Zitto
•Matiko
•Bulayo
•Heche
•Msigwa
•Kubenea
Na wengine wengi
3/Kwenye VITA Jeshi lina COURT MARTIAL na kuuwa SPIES wanaoletwa na maadui. Baada 2015 tumeshuhudia disappearances:
•Ben Sanane
•Azory Gwanda
•Daniel John
•Godfrey Luena
Na wengine wengi.