Kuna mambo tunachukulia POA sana #Tanzania.
Hukumu ya Mahakama ya Katiba ya 🇿🇦 dhidi ya Zuma imesema:
“Rais ana WAJIB kusimamia, kutetea na kuheshimu Katiba…. Na Rais anatakiwa kufanya anachoweza kuhakikisha DEMOKRASIA ya Kikatiba inadumu”
#Tanzania ni Nchi ya Kidemokrasia Kikatiba. Rais ana wajib kulinda na kutetea DEMOKRASIA yetu. Jana siku 100 tu baada ya Rais kuapa kutetea na kulinda Katiba yetu, kasema hakuna mikutano ya siasa ya HADHARA isipokuwa wabunge kwenye majimbo yao?
Kwa kweli hatuko SERIOUS kabisa.
Rais anaua DEMOKRASIA ya KIKATIBA, halafu kuna watu wanasema “Mpeni muda”……..
Tukishakumpa muda, tunategemea kuwa na DEMOKRASIA iliyewekwa na Katiba yetu?
Tujitafakari.
Speech ya Rais ya jana imeniDISTURB sana. Nataka kumkubusha Rais, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kila akitusalimia kwa jina la Jamhuri akumbuke ina KATIBA. Katiba inasema TZ ni Nchi ya kidemokrasia na hana mamlaka ya kupiga marufuku mikutano ya hadhara ya siasa.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with fatma karume aka Shangazi

fatma karume aka Shangazi Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @fatma_karume

24 Jun 20
1/Kuna VITENDO vyenye HISTORICAL SIGNIFICANCE kwenye nyoyo na fikra za NCHI. Hakuna MTZ aliyekuwa hai tarehe 7/9/2017 atasahau alipukuwepo alivyosikia Tundu kapigwa risasi MCHANA Dodoma kwenye NYUMBA za SERIKALI zinazoLINDWA na POLISI. Mimi nilikuwa OFISINI na nililia sana!
2/Hakuna MTZ atayesahau ile picha ya Dereva ya Tundu akikamata nguo za Tundu zimeroa DAMU iliyemwagwa kwa UNYAMA wakupindulia akiwa mwana CCM, CDM, CUF au ACT au asiye na chama. Na INTERNET haitosahau. Mtu yeyote akiigoogle ataipata kama nilivyoipata mie leo. Image
3/Hakuna MTZ atayesahau ile picha ya Gari nyeusi ya Tundu iliyejaa mashimo ya RISASI akiwa mwana CCM, CDM, CUF au ACT au asiye na chama. Na INTERNET haitosahau. Mtu yeyote akiigoogle ataipata kama nilivyoipata mie leo. Image
Read 5 tweets
10 Jun 20
1/Kwenye VITA kuna sera inayoitwa SCORCHED EARTH POLICY. Ukishinda unaCHOMA MOTO KILA KITU, ili kuhakikisha huachii assets za kumsaidia adui wako.
Baada ya 2015 Mbowe •alichomewa MOTO shamba lake:
•alivunjiwa Bilicanas
•akafungiwa accounts zake
SCORCHED EARTH POLICY
2/Kwenye VITA kuna sera ya kuwinda na kukamata Jeshi la Adui na kulifunga ili wasiweze rudi kupingana na we:
Baada ya 2015 hawa watu wamewindwa na kukamatwa:
•Mbowe
•Lissu
•Mdee
•Lema
•Sugu
•Zitto
•Matiko
•Bulayo
•Heche
•Msigwa
•Kubenea
Na wengine wengi
3/Kwenye VITA Jeshi lina COURT MARTIAL na kuuwa SPIES wanaoletwa na maadui. Baada 2015 tumeshuhudia disappearances:
•Ben Sanane
•Azory Gwanda
•Daniel John
•Godfrey Luena
Na wengine wengi.
Read 6 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(