My Authors
Read all threads
JINSI YA KUIFANYA SIMU YAKO IWE NA NAFASI ( SPACE) YA KUTOSHA

Kwa watumiaji wa Android devices nimepata maswali mengi, simu zinajaa pasipo kuwa na vitu vingi kwenye simu

Leo tuangalie namna gani unaweza kuifanya simu yako iwe na nafasi ya kutosha

Twende na uzi
Wewe ni mtumiaji wa Android phone na umekuwa ukipata shida kwenye suala la storage, unaona kama una vitu vichache lakini storage imejaa

Basi jifunze vitu hivi ambavyo vimesaidia wengi katika kuifanya simu kuwa safi katika suala la storage
1: CLEAR CACHE

unapo-install application yoyote huwa zinatumia cache file ili kuweza kukupa urahisi wa kutumia app husika, lakini hili cache file haina umuhimu sana ukifuta vitu vilivyomo haiwezi kuleta madhara

Namna ya ku-clear cache

Kuna njia mbili za ku-clear cache
(a) Clear-cache ya apps zote kwa pamoja

Settings >> storage >> cache >> clear cache

(b) clear cache ya app moja moja

Settings >> Apps >> click on specific app >> clear cache

2: UNSTALL APPS
unstall apps ambazo umeacha kuzitumia au unaona hauna uhitaji nazo kipindi
hiki au wakati huo kwa kua kila app inakua inachukua nafas katika simu ilihali haina faida kwa wakati husika

Kuongezea hapo unstall apps zote ambazo hazirespond effectively, unaweza kuinstall apps lakini inarespond ovyo (stacking) unaweza kufuta hizo Apps kusave space
3: CLEAR APP DATA

Kila App unayo-install huwa inatengeneza independent storage yake mfano ukitumia browsers Kama Google Chrome, opera n.k huwa zinatunza browser history zako zote na kusababisha storage kujaa

Unaweza kufuta App data kusave storage ya simu yako
Unapaswa kufanya kwa uangalifu kwa kuwa unaweza kufuta mpaka account zako ukajikuta unaanza kulogin upya au kama ni Whatsapp ukaanza kujisajili upya, haishauriwi ku-clear data za built in apps ( Kama Google services n.k)

Settings >> apps >> app husika >> storage >> clear data
Au

Settings >> storage >> apps >> app husika >> clear data

Hapa unafuta data zote za App ambazo uliziingiza kwenye app mara baada ya ku-install app husika hivyo kama ni accounts basi zitatolewa na utakapoifungua app mara nyingine itakuwa kama ume-install mda huo
4: USE ANTIVIRUS

Inashauriwa kutumia antivirus kwenye kifaa chako kwa ajili ya kuscan na kutoa viruses pindi wanapoingia kwenye simu yako

Tunapotumia mitandao kuperuzi au Kudownload vitu mbalimbali basi unaweza Kudownload file lenye viruses na baadhi ya viruses husababisha
simu kuonekana imejaa ilihali hakuna vitu vingi kwenye simu

5: BACK UP MEDIA FILES

Fanya Back up vitu vyako kama photos, videos kwenye Google photos kisha delete media usizozihitaji kwa wakati huo

Unaweza kuipa simu yako uwezo wa kufanya back up automatically
Na kukupa uhuru wewe wa kuweza kupunguza picha au videos usizozihitaji kwa mda huo

Namna ya kuifanya simu yako ifanye back up automatic

Settings >> backup & sync

Chagua vitu vya kufanya backup

Au

Settings > accounts > google > Sync (put it on) kisha "Sync now"
6: USE microSD CARD

Unaweza kutumia Memory card kurahisisha utunzaji wa vitu vyako kwenye simu ili kuweza kusave storage na kuifanya simu yako iwe na nafasi ya kutosha

Unaweza ku-move applications kwenye kwenye SD card au files yoyote iliyo kwenye simu yako
Namna ya ku-move app kwenda SD card

Settings >> Application >> application manager

Kama app inaweza kwenda kwenye SD card utaona button inasema "Move to SD card" chagua hiyo button kuweza kumove app husika kwenda SD card

7: DELETE YOUR DOWNLOADS

Kwenye download folder
Kuna vitu ambavyo siyo vya muhimu kuwa navyo au kuvitumia kwa wakati huo maana ulisha-download na ukavitumia

Download folder linapatikana kwenye File manager

File manager >> all files >> download folder

Futa vitu ambavyo siyo vya muhimu kusave storage kwenye simu yako
Unaweza pia kutumia third party apps kama file Go etc

Next thread itakuwa kwa watumiaji wa iPhone

Cc: @WizaraUUM @ict_commission @renatuswilliam1 @Mkuruzenzi @razaqdm01 @njiwaflow @EmanuelYohana @BanzaBiashara @Niztz @VenanceLFC @Deewamainde @ITexpertTz @techtricks2019
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with #TOTTechs 🇹🇿

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!