Si jambo la kushangaa kumkuta graduates ana degree katika Business administration lakini hata genge tu la nyanya hawezi kufungua! Tuwe wazi kuwa mfumo
Najua wapo watakao nipinga ila ukweli mchungu ndio huo! Tunafundishwa kuajiriwa
kijana ambaye uko chuo still unayo chance ya kufanya mabadiliko
Usitengeneze urafiki na marafiki wasiofaa wanaowaza pombe, madawa sigara na mademu, marafiki wa hivyo hawatakufikisha popote sababu mtaishia tu kulewa na kupata mateso na majuto baadae maishani
3: Ukipata nafasi ya kuwa karibu na watu wenye connection kwenye makampuni na serikalini basi
4: Jijengee tabia njema, good character na kuwa mwaminifu! Hata uwe na connection vipi kam sio mwaminifu kijana ni kazi bure! Linda uaminifu watu wanaokupa
5: Jifunze skills mbali mbali ili hata ukipewa kazi usishindwe! Jifunze computer, program mbali mbali ili uuzike! Kwa ulimwengu wa sasa kijana lazima ujue bila kuwana something extra
6: Kumbuka kujiweka kiheshima! Sio unavaa vaa tu km shetani katoroka kuzimu! Create first impression on the way you look! Ni ngumu mtu kukuamini km style yako ya kuvaa tu inasaliti sifa za mtu mwenye tabia njema
Mwisho kabisa uhalisia wa elimu ya bongo
Na pia nafahamu kujiari ni bora kuliko kuajiriwa ila kama mfumo unakuforce utafanya nini!?
Vijana tugutuke, tujitume pale tunapopewa nafasi ili tuaminiwe zaid