My Authors
Read all threads
"THUBUTUU...🤧"

Sijui ilikuwaje hadi nkasahau kuandika kuhusu hiki kisa..🤭
Nadhani kwasababu mchizi hakua mtu wangu wa karibu sana..ilikua ni kuonana kwenye vigenge vya stori na kitaa.

Ila siku tulijikuta wawili tu kwenye kota za tanesco anapokaa,chobingo moja yetu pendwa..
Mchizi aliitwa Saleh..
Tulisalimiana kiwana tukiulizana mishe zinaendaje na vijistori vya hapa na pale vya kupoteza muda.
Mchizi alitoa sigara mbili huku akiniuliza kama natumia..nilimjibu situmii hvyo aliiwasha yake akavuta pafu mbili kubwa..alitoa moshi nje af akabaki kaduwaa
Ilibidi nimuite mara mbili,aliposhtuka ilibidi ajicheke..nikamuuliza vipi asee mbona umeniacha peke yangu..
Nakumbuka alinambia
"aahh kmmk,nna kipengele kimoja hicho na sijui itakuaje" nkamwambia "nipange"
Alisita kidogo akaangalia sigara yake kidgo kisha akaanza kunipa stori
Saleh asilimia kubwa ya maisha yake hakukaa kwao tangu mama ake alipofariki,ilikua ni shule na kwa ndugu maana kwao ilikua ni yeye na dingi yake so alikua anaboreka na kuamua kwenda kwa ndugu kipindi cha likizo..alipofika chuo alipangwa mkoani na mawasiliano baina yake na dingi
yalikua machache,wazungu wanasema "brief"..ilikua ni kuomba hela ya ada tu mengine alikua anamaliza mwenyewe..
Hakunieleza kwa kina kwanini uhusiano baina yao ulikua hivyo..zaid ya kunambia kua kipindi chote alipokua chuo alirudgi mara moja tu nyumbani,tena kwa wiki moja..
Wakati anakaribia kumaliza chuo..alisikia fununu kutoka kwa ndugu zake kwamba mzee wake ameoa mke mwingine baada ya kukaa muda mrefu sana...ila hakujali na wala haikumuumiza akili maana aliexpect hicho kitu kutokea na alikua anashangaaga kwanini hadi kipindi kile mzee alikua bado
Siku anagraduate mzee wake alifunga safari hadi chuo kitu ambcho kilimshangaza jamaa maana hakutegemea..baada ya mahafali dingi alimwomba arudi nyumbni atakapomalizana na mambo yote ya chuo..saleh alikubali.. baada ya wiki mbili akafunga safari kurudi home
Amefika kwao anakuta pisi moja inayoeleweka..inapiga deki..imejifunga khanga kizembe iliyoamua kupepea pale kati huku ikionesha hadi pande za juu za mapaja meupe..mlio wa komeo ndo uliomshtua. Alishtuka na kunyanyuka wakaangaliana..dada akiwa ana tweta kwa joto hili la Dar
Kijasho kilitelemka kutoka shingoni taratibu kikitokomea katikati ya kifua kama cha @butterflymweusi kilichofunikwa na top ya pink.
Saleh hakua na mzuka sana na wanawake ila imani yake ilitetemeshwa kidgo.
Walisalimiana na akajitambulisha,kwa aibu manzi alimpokea huku akikwepa 👀
Mwana nkacheka sikuwah kugundua kwamba yule manzi mpya pale kwao ni pisi ya mzee ake..

Basi mzee akamtambulishaga pale maisha yakaendelea...jamaa hakupanga kukaa sana ila kuna siku ndo ilimbadilisha mawazo..
Saleh hakuwa na mishe so muda mwingi alikua nyumbani kipindi hiko
Huyo manzi alikua anamletea chakula hadi chumbani kasoro usiku tu mzee akiwa yupo..alimsihi kwamba haikuwa na ulazima kwani alikua anaweza kwenda kujipakulia ila manzi hakuacha..
Saa nyingine alimgongea hadi bafuni kuulizia kama anaoga bila sababu ya msingi..
Mchezo wa khanga ulikua mgumu kuukwepa huku kila kukicha inapunguzwa urefu..sebuleni anajiachia..yani mwana alisema alikua anaishi kama ni demu wake vile kasoro tu hakuwah kumla yeye cz aliogopa pisi ishakua ya mzee..ila kuna siku asubuh kalala akashangaa anaamshwa..
Jamaa kakurupuka na kikaptula chake kifua wazi..akasema hapo ndo alipokosea..kufungua mlango pisi imejifunga khanga moko inadai bomba la mvua linazingua.. akacheki zigo lilivyosuswa na mwenye nalo kama limemuelemea af ni khanga tu ndo imeshuka inchi kadhaa kidgo..
Anasema mwana nikajikaza sana..kutomwangalia..kwnda bafuni anafungua maji yanatoka..alivyoona yanatoka akajua tayari lile ni changa la jicho..akaogopa kugeuka..akasikia mkono umeshika mgongo..kwa baridi lile la asubuh mwili ukasisimka..vinyweleo vikawamba..
Manzi akamuuliza "kwanini tunajizuia wakati tunajua nini kinaendelea kati yetu"
Jamaa chini kule haelewi..
Manzi akamkumbatia kwa nyuma..
Saleh akamjibu "we mke wa mtu ujue,mbaya zaidi we mke wa baba angu"..

Manzi akamjibu "ila uzuri sio mama ako" akashusha mkono hadi chini
"Mara moja tu leo,,na husipotaka tena sitakusumbua"
Jamaa kwa ugwadu wa kama miezi tisa na kiasubuh kile plus akipiga picha manzi iliyopo nyuma ake akaona mara moja tu haitakua mbaya..MARA MOJA TU..akapeleka mkono nyuma akakutana na paja..akapanda juu akakuta khanga..AKAIVUTA..
Mwana akasema kuanzia siku hiyo karibia kila siku mzee akienda zake kazini ilikua lazma amle..mida ya mzee ikikaribia anatoka nyumbani mpaka mzee arudi ili nae aonekane hakuwepo nyumbani..na hadi pale ananihadithia ametoka kumla..ila anaogopa wakiendelea vile siku watakamatwa
Washkaji wakawa wamefika na stori akaikatiza hapo..

Kwa ufupi, walikamatwa..saleh akafukuzwa akaambiwa hasirudi..manzi akapigwa talaka tatu akaenda kwao..huko walipoenda manzi akamtafuta saleh..wakawa wanaishi pamoja..mzee wake akaumwa sana corona na saleh alimuuguza mpaka kifo
Hakuwahi kumwambia kuhusu manzi..na leo nimetumiwa hii text ya mchango jamaa anamuoa mwezi wa kumi..na mimba kampa..
Leo sina cha kusema..
ila hapana acha niseme

"Saa nyingne MAPENZI USHENZI"

#fanani✍️ hapa

Plz turetweet,like kfollow pia.
Nafollow back watakao RT na follow
"NYUZI ZA FANANI" twitter.com/i/events/84646…
Nafollow watakaoretweet uzi huu..leo niko na mzuka wa kufollow
@Kingkidy kaka nibariki asee Rt moko ya kibabe
@sonnino123 ibariki pia basi kwa RT mwana
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Urs truly✍️

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!