My Authors
Read all threads
NUKUU ZA WANAFALSAFA MAARUFU KUHUSU SIASA

1."Napenda kuwaambia wale wanaodhani siasa haiwahusu, Moja ya madhara ya kukataa kujihusisha na siasa ni kwamba utaongozwa na watu uliowazidi akili. Na kwa upungufu wao wa akili watafanya maamuzi ya kila kitu katika maisha yako. Plato
2. "Moto mkali zaidi wa jehanam wameandaliwa wale wanaojifanya wapo neutral mahali ambapo wanyonge wanaonewa"- Martin Luther King, Jr.

3. "Binadamu kwa asili ni mnyama wa kisiasa. Kumtenganisha na siasa ni sawa na kumzuia kuishi"- Aristotle.
4. "Kama hatuamini uhuru wa maoni kwa wapinzani wetu, basi hatuamini katika uhuru wa maoni kabisa. Kwa sababu wafuasi wetu hawahitaji uhuru wa kusema, bali wapinzani wetu"-Noam Chomsky.

5. "Mpumbavu akipewa nyundo hudhani kila tatizo anaweza kulitatua kwa nyundo" Nelson Mandela
6. "Unajisi wa sheria hutokea pale ambapo mahakimu/majaji, hujiweka mikononi mwa watawala na kuamini watawala wana nguvu kuliko sheria"- Lamar_Smith.

7. "Kuliko kuwapa wanasiasa ufunguo wa maisha yako, ni bora ubadili kitasa"- Doug_Larson.
8. "Rais ni mtu wa kushutumiwa kila mara. Ukiona hataki kushutumiwa, ujue hajui sababu ya kuwa hapo." Harry_Truman.

9. "Tofauti kati ya akili na ujinga ni kuwa, akili ina kikomo, ujinga hauna kikomo."- Albert_Einstein.
10. "Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili."- Benjamin_Franklin
11. "Changamoto kubwa ya ulimwengu kwa sasa ni kwamba wenye akili hawataki kujihusisha na siasa, na hivyo wajinga wamepewa mamlaka ya kuwatawala wenye akili na wasio na akili"- Donald Trump.
12. "Siasa ni sanaa ya kuibua matatizo ya jamii, kuonesha unaumizwa nayo, kisha kujifanya unayatatua kumbe unayaongeza. Maana bila matatizo ya jamii hakuna wanasiasa"- Groucho Max.
13. "Sipendi vichekesho (comedy), lakini napotaka kucheka hufuatilia namna serikali inavyofanya mambo yake"- Will Rogers.

14. "Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo."- Napoleon_Bonaparte
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Dr.Socy²³ (HS)

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!