Mgombea wa Kiti cha Urais, Tundu Lissu ametoa mapingamizi mawili ambayo la kwanza linawahusu wagombea wote wawili, na la pili ninamuhusu Rais JPM peke yake. Prof. Lipumba amewekewa pingamizi moja tu!👇👇
Kosa 1:
Rais JPM na Profesa Lipumba wote wamevunja Sheria ya Uchaguzi inayosema; "𝗕𝗮𝗮𝗱𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗲𝘄𝗮 𝗳𝗼𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗨𝘁𝗲𝘂𝘇𝗶 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗮𝗳𝘂𝘁𝗮 👇👇
Yaani, fomu zilitakiwa kupelekwa Ofisi ya Tume kwa UHAKIKI jana siku ya Uteuzi na siyo siku nyingine yoyote ile. 👇👇
"𝗠𝗴𝗼𝗺𝗯𝗲𝗮 ℍ𝔸𝕋𝕆𝕋𝔼𝕌𝕃𝕀𝕎𝔸 𝗲𝗻𝗱𝗮𝗽𝗼 𝗵𝗮𝗸𝘂𝗿𝘂𝗱𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗳𝗼𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗨𝘁𝗲𝘂𝘇𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝘂𝗷𝗶𝗯𝘂 𝘄𝗮 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝘁𝗶 𝘆𝗮𝗹𝗶𝘆𝗼𝘄𝗲𝗸𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝗦𝗵𝗲𝗿𝗶𝗮."
👇👇
"𝗞𝗶𝗹𝗮 𝗠𝗴𝗼𝗺𝗯𝗲𝗮 𝗮𝘁𝗮𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗳𝗼𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗨𝘁𝗲𝘂𝘇𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗻𝗮𝗺𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝕄𝔸ℍ𝔸𝕃𝕀 𝗸𝘄𝗮 𝗸𝗮𝗱𝗿𝗶 𝗶𝘁𝗮𝗸𝗮𝘃𝘆𝗼𝗲𝗹𝗲𝗸𝗲𝘇𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝗧𝘂𝗺𝗲 𝘀𝗶 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝘀𝗮𝗮 𝟭𝟬 𝗝𝗶𝗼𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝘆𝗮 𝕌𝕋𝔼𝕌ℤ𝕀."
👇👇
Rais JPM hakuambatanisha picha SAHIHI kwenye fomu za Uteuzi.
Sheria ya Uchaguzi Kifungu cha 𝟯𝟴(𝟰) b) inataka fomu zote za Uteuzi ziambatanishwe na na idadi ya picha 4 na ziwe za HATI YA KUSAFIRIA (Passport size). Rais JPM alipeleka picha ambazo amepiga KIUPANDE.👇
Kwa wale ambao hamjaelewa soma hapo chini kwa UFUPI. 👇
Tundu Lissu alilijua hilo ndiyo maana alitumia muda mwingi sana KUHAKIKI majina yote zaidi ya 2000. Lissu alifuata SHERIA.