Mwendo wa kueleweshana
US Congress imeazimia mambo mazito lakini ni baada ya kujiridhisha matukio, uvunjaji wa haki za binadamu na mengine mengi.
Sasa ngoja tuone wale mahodari wakija kuonyesha uhodari wao 🙄 #TutaelewanaTu#ChangeTanzania
"Whereas the Govt of Tanzania’s denial of the existence of COVID19 ... and suppression of information related to the pandemic has not only placed citizens’ health at risk, but has also violated citizens’ freedom of speech and right of access to information" mkafungia @kwanza_tv
"Whereas, in September 2019, the Government of Tanzania amended both the Companies Act and Nongovernmental Organization Act, which have severely restricted the ability of civil society organizations working on democracy and human rights to receive foreign funds" Mahodari nyie!
Bunge la US inataka serikali yao IWAJIBISHE serikali ya #Tanzania kuheshimu haki za kikatiba
"calls on the United States Government to .. hold the Government of Tanzania accountable for respecting the rights of its citizens" #TutaelewanaTu
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Orodha - List of Shame inakamilika naanza kuweka katika thread na chini ya tweet kama unaona kuna mtu kasahaulika weka jina.
Tumewaweka katika makundi -kuna Executive, Judciary, Electoral Commissions, Govt, Police, nk. Haya fuatilia hapo chini (orodha itaendelea kuboreshwa) 👇🏽
NEC
Judge Rtd Semistocles Kaijage – Chair NEC
Judge Rtd Mbarouk Salim Mbarouk - NEC
Charles Wilson Mahera - Director NEC
Judge Rtd Mary H.C.S Long way - NEC
Asina A.Omari - NEC
Judge Rtd Thomas Bashite Mihayo - NEC
Omari Ramadhan Mapuri – NEC
Updates #Tanzania
Opposition presidential candidate @TunduALissu held a press conference in Arusha. He responded to reports that he was summoned by the Electoral Commission for ethical affairs, saying he has not received any summons in person and will continue with campaign
Also @TunduALissu explained that after their helicopter pilot was banned from flying, they are following the same schedule by car. He demands equal application of election rules and will continue making impromptu stops on the way like CCM candidate @MagufuliJP#Tanzania
Referring to previous by-election where the party polling agents were not allowed into the polling stations, @TunduALissu made it clear that this time around they will not accept such irregularities in the Oct 28th general #Election#Tanzania
THREAD: Nawaletea sights and sounds kutoka Nyamongo as received
Videos coming in from the scene in #Tanzania Nyamongo when today police teargassed citizens waiting to greet opposition candidate @TunduALissu who was passing on the way to Serengeti
This is how it started
Once the police had fired tear gas, @TunduALissu ‘s convoy continued through! Look at Lissu’s compassion as he is helping citizens wash their eyes with water to clear it from the gas! What leadership! Citizens are covering their faces to avoid inhaling tear gas #Tanzania
Tanzania: Uhuru hatarini kuelekea Uchaguzi hrw.org/sw/news/2020/0…
Hii hapa Kiswahili:
Mamlaka nchini #Tanzania zimeongeza ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani, taasisi zisizokuwa za kiserikali na vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo @hrw wapanue wigo!
"Tangu .. mwezi Juni, serikali imekamata takribani wanachama 17 wa vyama vya upinzani na wakosoaji wa serikali, kusimamisha kazi za kikundi cha watetezi wa haki za binadamu na kufuta leseni na kuzuia vikundi vingine vikubwa vya utetezi wa haki za binadamu kuwa waangalizi" @hrw
"Mamlaka pia zimeweka vikwazo vipya kwa vyombo vya habari, kufuta leseni ya gazeti lenye uhusiano na mwanachama wa upinzani na kuzuia vyombo vingine vya habari kutokana na kutoa taarifa juu ya Covid-19, ambayo Rais John Magufuli anasema haipo tena nchini" @hrw#Tanzania
Tanzania: Freedoms Threatened Ahead of Elections hrw.org/news/2020/09/0… #Tanzania authorities have stepped up repression of opposition parties, nongovernmental organizations, and the media ahead of the country’s general elections
This @hrw report is tip of the iceberg!
"Two editors of independent newspapers, .. said that officials had informally told them not to publish material that the government would not like... they had been “subtly warned” not to give prominent coverage to .. @TunduALissu and @BenMembe " @hrw #Tanzania
"The authorities have suspended organizations for perceived political activities and for work protecting the rights of LGBT people" hrw.org/news/2020/09/0…
Forget about even basic human rights! @hrw #Tanzania