Maria Sarungi Tsehai Profile picture
Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Mwalimu Marwa Profile picture 1 subscribed
Sep 22, 2022 7 tweets 2 min read
twitter.com/i/spaces/1yoKM… Hii kesi ya watu waliouwawa Serengeti inasikitisha 😭😭 @HecheJohn anatueleza tukio aisee
Poleni @CatherineRuge
Nov 3, 2020 36 tweets 5 min read
Orodha - List of Shame inakamilika naanza kuweka katika thread na chini ya tweet kama unaona kuna mtu kasahaulika weka jina.
Tumewaweka katika makundi -kuna Executive, Judciary, Electoral Commissions, Govt, Police, nk. Haya fuatilia hapo chini (orodha itaendelea kuboreshwa) 👇🏽 NEC
Judge Rtd Semistocles Kaijage – Chair NEC
Judge Rtd Mbarouk Salim Mbarouk - NEC
Charles Wilson Mahera - Director NEC
Judge Rtd Mary H.C.S Long way - NEC
Asina A.Omari - NEC
Judge Rtd Thomas Bashite Mihayo - NEC
Omari Ramadhan Mapuri – NEC
Sep 30, 2020 7 tweets 7 min read
Updates #Tanzania
Opposition presidential candidate @TunduALissu held a press conference in Arusha. He responded to reports that he was summoned by the Electoral Commission for ethical affairs, saying he has not received any summons in person and will continue with campaign Also @TunduALissu explained that after their helicopter pilot was banned from flying, they are following the same schedule by car. He demands equal application of election rules and will continue making impromptu stops on the way like CCM candidate @MagufuliJP #Tanzania
Sep 28, 2020 15 tweets 13 min read
THREAD: Nawaletea sights and sounds kutoka Nyamongo as received
Videos coming in from the scene in #Tanzania Nyamongo when today police teargassed citizens waiting to greet opposition candidate @TunduALissu who was passing on the way to Serengeti
This is how it started When the loud bangs started people started scuttling in Nyamongo #Tanzania #ElectionsTz2020 #HumanRights
Sep 21, 2020 7 tweets 5 min read
Tanzania: Uhuru hatarini kuelekea Uchaguzi hrw.org/sw/news/2020/0…
Hii hapa Kiswahili:
Mamlaka nchini #Tanzania zimeongeza ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani, taasisi zisizokuwa za kiserikali na vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo
@hrw wapanue wigo! "Tangu .. mwezi Juni, serikali imekamata takribani wanachama 17 wa vyama vya upinzani na wakosoaji wa serikali, kusimamisha kazi za kikundi cha watetezi wa haki za binadamu na kufuta leseni na kuzuia vikundi vingine vikubwa vya utetezi wa haki za binadamu kuwa waangalizi" @hrw
Sep 21, 2020 12 tweets 10 min read
Tanzania: Freedoms Threatened Ahead of Elections hrw.org/news/2020/09/0…
#Tanzania authorities have stepped up repression of opposition parties, nongovernmental organizations, and the media ahead of the country’s general elections
This @hrw report is tip of the iceberg! "Two editors of independent newspapers, .. said that officials had informally told them not to publish material that the government would not like... they had been “subtly warned” not to give prominent coverage to .. @TunduALissu and @BenMembe "
@hrw
#Tanzania
Sep 18, 2020 4 tweets 2 min read
Mwendo wa kueleweshana
US Congress imeazimia mambo mazito lakini ni baada ya kujiridhisha matukio, uvunjaji wa haki za binadamu na mengine mengi.
Sasa ngoja tuone wale mahodari wakija kuonyesha uhodari wao 🙄
#TutaelewanaTu #ChangeTanzania Image "Whereas the Govt of Tanzania’s denial of the existence of COVID19 ... and suppression of information related to the pandemic has not only placed citizens’ health at risk, but has also violated citizens’ freedom of speech and right of access to information" mkafungia @kwanza_tv
Nov 24, 2019 5 tweets 2 min read
1. Hadithi hadithi!
Hapo zamani za kale kulikuwa na Mfalme mmoja alikuwa katili na mbabe na aliogopwa sana na wananchi wake. Siku moja akifika fundi moja wa nguo aliyejitangaza kuwa mahiri sana. Mfalme akamwita amshonee nguo. #HadithiZaShangazi 2. Fundi alichukua vipimo na baada ya siku kadhaa akarudi akidai amebeba nguo ingawa hakuonekana kubeba chochote. Akamwambia Mfalme avue nguo na akaanza kumvalisha kitu kisichoonekana. Mfalme akauliza mbona sioni kitu. Fundi akasema “Huoni nguo nzuri hivi?” #HadithiZaShangazi