hii nafasi hatutoipata tena mpaka miaka 5 mengine ijayo. hii ni nafasi adhimu ya kutuma ujumbe kwa ccm kwamba haingii akilini tulipe kodi lakini hapo hapo tulipie bili zetu za afya. tulipe kodi hapo hapo tulipe mkono wa elimu ya juu. tunapiga kura dhidi ya ccm kutuma huo ujumbe!
oct 28 tunapiga kura dhidi ya ccm kwa sababu hatuwezi kuruhusu chama kimoja cha siasa kuwa na nguvu kuliko nchi. wanachama wa ccm kuwa bora kuliko wananchi wengine. piga kura dhidi ya ccm kwa sababu watu waliosababisha matatizo yetu hawawezi kuwa na akili ya kutatua!
tunapiga kura dhidi ya ccm kuipa ujumbe kwamba hawana hatimiliki na hii nchi. kwamba tanzania ni kubwa kuliko ccm. kwamba kila maisha — hata yawe ya mtu mmoja— yanamaana. piga kura kukomesha utekaji, mauwaji holela ya raia na mambo mengine ya kishamba @MagufuliJP ametuletea!
piga kura dhidi ya jeuri, kiburi na majivuno ya @MagufuliJP yanayomfanya akatae kuhojiwa. kujiona ni mwinyi/mfalme badala ya raisi. piga kura dhidi ya ccm ili magufuli ajue ni watanzania ndo walimpa dhamana ya uongozi. siyo mungu wala waganga wake. tunakomesha huu ujinga oct 28th
weka kumbukumbu za watu wote wanaokwambia leo hawatopiga kura eti ni kupoteza muda, kwamba kura zao hazitobadilisha kitu. wakumbuke hawa. watakuja baada ya oct 28 wakilalamika kuhusu mambo mbalimbali ya kitaifa. wakumbuke ili uje uwaambie, “shut the fuck up.”
wakumbuke wajamaa wetu wanaodai et kuitoa ccm na kuweka chama kingine ni kuondoa “one privileged group with another.” wakumbuke hawa jamaa waodhani eti uhuru wa kujieleza ni anasa ya watu wa tabaka la kati, na kwamba wanyonge wa nchi hii wanahitaji maji tu siyo uhuru wa kujieleza
wakumbuke watu wote wanaotaka kutuaminisha kwamba ili ccm iweze kutimiza yale inayoahidi kwenye kampeni ni lazima serikali inayounda ivunje katiba, ikiuke haki za msingi za raia wake, inyamazishe watu (hata kwa gharama ya kuuwa, kuteka au kudhuru). kumbuka sana hizi raia.
hatma ya tanzania unayotaka kuiona ipo kwenye mikono yako. umeiamini ccm kwa miaka 50+ sasa. wameshindwa. kataa hizi hadaa. piga kura kuipunzisha ccm. sisi siyo falme, ni jamhuri. kwenye jamhuri, ni upumbavu kutawaliwa na chama kimoja kwa miaka 50+. kataa huo upuuzi!
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
It seems that the gov of President @MagufuliJP has now resorted to the use of gangster-style method to dealing w/ its most vocal critics: planting drugs on the activists. That’s next level gangster shit right there y’all. So sad, sickening and infuriating.
People have every right to criticize and call out the irresponsibilities of the orgs that claim to work for them.
If you don’t want to be criticized as an NGO/CSO, stop fooling around by claiming that you work for the people.
Stop that nonsense once and for all.
These petty and childish excuses that “the State is restricting the work of CSOs” is just bullshit and a cover for irresponsibility.
Where on earth has the gov guaranteed basic freedoms to its people w/out a fight? You expect the gov to give you the freedoms?
Come on y’all!
As I said for the media and journalists: if the gov‘s repression has become so intensive to the extent that you cannot even do what the society expects of you why the hell sticking to journalism? Why not quit and find some other vocation? The same applies to those in CSOs.