vp ndugu zangu awali ya yote heshima yenu na aman ya mwenyezimungu iwe juu yenu me nikijana mwenzen mtoto wenu pia kak yenu nakuja mbelee yenu kwa kutanguliza shukurn kwa utuliv wenu nahitajia ushaur wen n cha kufany mpenz wangu analazimishwa kuolew na mt asie mpenda nimewaz sna
lkn sijapataa jib la kueleweka nimewaz kumtorosha nayo nikawaz nisije pigwa sabin siunajua tena wamasai tena hawanaga mbili kwenye moja nawz nimpangishiee nayo naona nitakuwa nimewarahisishia wajuba kwa kuwa niko naee mbali kidg sabb za kikaz nawaz nampelekee lbd kwa wif ake
nayo ni jau tu siunajuaa tena ma wifi wn lomon san nawza ten au ni mjaze nawz ten ndo kwanz kipato yang 200k kwa mwez kwaio daa naona kma itapele katk matunzo na mm kufa sitak kwa kujiuwa kwa kuwa sitk kuwaaacha wana wakiisomaa namba peke yao maaan niliwaahid liwalo na liwe apa
nawaz ad kichwaa imekuwa ya moto kam pas na miguu imekosaa nguvu na pua nazo zinaaaanz kuziba na wz nifanye kip maaaan mzigo nimeuelewa naye kanielewa nyang'anyang' kilicho bakia ni kunipa tu ovary bs naombaa ushaur nifanyaje maaaan wanamuambiaa d ataa kwa mganga watamuendea