▶️LEO NIMEKULETEA HAPA BAADHI YA PICHA ZA "BEHIND THE SCENES" ZA FILAMU MAARUFU YA "APOCALYPTO" 🎥
#uzi
#vitukuntu
📸👇🏾 Image
▶️Filamu hii maarufu kutoka kiwanda cha kutengeneza filamu cha nchini Marekani (Hollywood) inayokwenda kwa jina la "Apocalypto" imekuwa ni mojawapo ya filamu nyingi zenye mafanikio na pia mvuto mkubwa kwa watamazaji.

👉🏾Filamu hii iliachiwa mnamo mwaka 2006.

Tuendelee..

👇🏾 👇🏾
▶️Filamu hii ilikuwa na lengo la dhati la kuelezea maisha ya kale ya wanadamu waliokuwa wakipatikana kwenye maeneo ya Amerika ya Kusini hususani wakazi waliokuwa wakiishi kwenye msitu mkubwa wa Amazon.
👉🏾Muongozaji mkuu wa filamu hii anajulikana kwa jina la "Mel Gibson"
▶️Lengo kuu la uzi huu ni kukuonyeshea tuu baadhi ya picha zilizopigwa "Behind The scenes" wakati filamu hii ikiendelea kurekodiwa.

👉🏾Nadhani asilimia kubwa kati yenu mmekwisha itazama filamu hii ya kusisimua hivyo picha nitakazoziweka hapo chini zitakurudisha kwenye filamu...
....ya "Apocalypto" ili uweze kukumbuka ni kipande (scene) gani tukio hilo lilitokea 😎.

T W E N D E S O T E 👇🏾 👇🏾 ImageImageImageImage
📸👇🏾 ImageImageImageImage
📸👇🏾 ImageImageImage
📸👇🏾 ImageImageImageImage
M W I S H O
#Vitukuntu 🔥🔥

▶️Follow @sangasaimon_ 🔥
@threadreaderapp compile it

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Tony Sanga 🎃

Tony Sanga 🎃 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!