MEKO NI MWIZI na JAMBAZI
👉Mwaka 2018 - Meko alianzisha task force ya uporaji fedha za wafanyabiashara na akaipa jina la Commodity Import Support(CIS) Task Force
👉Akaipa ofisi jengola wizara ya fedha chuman namba 257 na kikosi hiki kina watu jwa
* Bwana Mlolo
*Inspekta Melele
*Bwan Mwita
*Bibi Vaileth Valerian
👉Genge hili ndilo linalozunguka Tanzania nzima kupora fedha za wafanyabiashara na kuwafunga bila sababu kwa kisingizio cha kukusanaya madeni ya serikali ya JAPAN yaliyokopwa na wafanyabiashara wa Tanzania mwaka 1980
👉Kikosi hiki kinapora hela
Kwa kigezo cha kutekeleza sheria inayoratibu mikopo hiyo(The commodity import support Act CAP 261) ma kigeuza sheria hii kuwa jinai kwa mtu ambaye hajalipa madeni ya 1980
👉Kikosi hiki kinakamata wajane na wasimamizi wa mirahi na kuwaweka ndani nchi nzima kwa amri ya Dotto na
Meko( kipindi hicho) na hakuna mtu anafikishwa mahakamani..Watu wamebambikiwa kulipa mpaka 400m TZS wakiuliza nyaraka ziko wapi wanaambiwa wakaulize marehemu waliokopa
👉Watu wanateswa na kuumizwa hapo kituo cha polisi TAZARA ndipo base yao ya kutunza hawa watu na IGP anajua hilo
Meko aliagiza zifunguliwa akaunti hizi kwa ajili ya kuweka hizi hela wanazopora
* TIB Corporate Bank A/C - 0044201000052901
* NMB A/C 20101100204
👉Hizi account zina mabilioni ya hela na zinakuwa controlled na Dotto James na siyo mali ya serikali
👉Demand notes za kudai haya
Madeni zinasainiwa na Bwana Malolo kwa niaba ya Dotto James. Inawezekanaje madeni makubwa hivi yanalipwa kwenye account binafsi ?
👉Mama Samia hili kama hujui nakupa uhangaike nalo .. Madocument ya mafano haya hapa.. Dotto James anatakiwa kuwa JELA as we speak
LIWALO NA LIWE 🦧
👉 mpaka sasa Meko kafa lakini huyu Malolo bado anaendelea kupigia wadaiwa na watu wanaowabambikia madeni simu na anasema ni maagizo ya Rais Samia..
👉 hizi ndizo namba anazotumia kufanya huu ujambazi 0739 403025 na 0752 744285
Yale madai mliyosikia bungeni kuwa Meko anatumia
Task Force kukusanya madeni na kupora watu hela kwenye mabenki na kuwabambikizia madeni wafanya biashara all over the country hawa ndiyo wahusika na hizo ndizo akaunti zimamowekwa hizo fedha
FEDHA hizi siyo za serikali na hazijawahi kuhesabika kama za serikali ni za MEKO na DOTTO
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Watawala wengi wa aina ya Meko na sasa Samia huwa wanafanya hivi
👉wanatengeneza kundi la watu watakaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali za nchi
👉wanawatengenezea mazingira ya kushirikiana nao kwa hiyari au lazima ili kuweza kutimiza sera na matakwa yao kama watawala kwa jamii
👉Hili ndiyo kundi la akina Mpango,Mwigulu,Gwajima,Mulaga na TISS etc
👉Hili huwa ni kundi ambalo linakuwa brainwashed kabisa na linaacha kabisa kufikiri kwa kutumia akili zao za kawaida kuchambua mambo na kuanza kulishwa na kutapika kile wanachoambiwa na ruler/mtawala ili kufani
kisha ajenga zake na kukaa madarakani..
👉Hilikundi ndiyo la akina Bashe,Jaffo ,Kabudi,Mwana FA ambao walikuwa wanafuata theories za Meko kuwa hakuna corona na kuna haja ya maska lakini alipkufa tu wakaanza kuvaa mask tena hadharani
👉Hili nikundi hatari sana kwa kuwa lina kazi
CCM hata wagombane vipi na kuparuana vipi huwa wana kawaida moja tu;
👉Linapofika suala la madaraka huwa wote wanaongea lugha moja!
👉Jana kuna ambao hata wazazi wao wamedhakishwa na Meko na huyu Mpango wamesimama na kumsifu sana Mpango
👉Hii maana yake nini? Legitimacy ndiyo wa
nayoipigania hapo! Uhalali wa kubaki madarakani hata kama wanatofauti
👉Kuna watu wakati wa Meko wakinanwa mpaka wakawa wanaomba msaada wa wapinzani kuwasemea maana wao hawawezi. Lakini jana wamesahau na wamezaliwa upya kuteteana kuhusu Mpango na legacy ya Meko
👉Kuna watu wamefi
lisiwa mali zao na kutokewa vyeo ndani ya serikali na CCM lakini jana wamesimama hadharani kumsifu Mpango ambaye kadhukumu hela za wakulima wao wa korosho waziwazi🤣🤣
👉Unajuuliza ni kwa nini? Jibu ni rahisi sana CCM wakifika kwenye suala la madaraka huwa wanakuwa kitu kimoja
Tatizo la Tanzania ni mfumo uliowekwa na CCM;
👉watawala wanajijengea utaratibu wa kuwa orders zao ni sheria
👉wanaaminisha watu kuamini kuwa amri zao ni sheria na ni halali
👉Matokeo yake ndiyo hayo tuliyaona Meko alikuwa anatoa amri na ndiyo sheria na kauli yake ni ya mwisho
👉Meko alikuwa anafukuza kazi wTu majukwaani, anatoa hela za maendeleo majukwaani , anafanya maamuzi ya kisera majukwaani- na amri zake zikawa sheria yaani.
👉Haya mambo ndiyo yakazaa akina Dr Mpango ambao leo wanasafishwa kuwa ni wema na ni sehemu ya victims wa Meko regime
👉Mpango ni zao la aithoritative regime ya Meko na ndiyo maana siku ya kwanza tu kuongea akiwa VP mteule kasema anakwenda kuhakikisha anamuenzi Meko.
👉Wakulima wa korosho wameporwa fedha zao na Mpango ndiye mhusika,fedha zinaporwa mabenki Mpango anajua, maduka ya fedha yaliporwa
Zanzibar imewahi kutoa marais wa Tanzania mara 2 nadhani
👉1985-1995 alikuwa Mwinyi yaani aliharibu nchi mpaka mkewe akawa anafanya biashara ikulu. Ndiyo kipindi hiki akina Malecela wakataka kuvunja muungano ama kuwa na serikali 3 nadhani. Uchumi kila mtu anajua ulikuwa shimoni
👉2021-2025 kashika mzanzibar mwingine Samia Suluhu- kwa bahatibahati kawa rais kwa kuwa katiba inataka hivyo lakini kwa merits she is far from being qualified
👉Alifikiriwa anakwenda kurekebisha makosa ya Meko lakini hajamaliza hata siku 10 toka awe Rais kaonyesha jinsi alivyo
boya na bogus kwenye teuzi zake! Yaani huyu anakwenda kutupitisha kule kule kwa Meko na hakuna kitu anabadili kwenye baraza wala serikali..
👉Huu uboya ndiyo maana tarehe 21.03.2021 watu wanaiba hela BoT yeye yupo tu ofisini anatoa toa macho! Mpaka watu waseme ndo anastuka yaani
Dr Bashiru ni Mwizi na hafai kuendelea kuwepo ofisini as we speak
👉17.03.2021 Meko kafa na yeye akiwa mtendaji mkuu wa ofisi ya Rais kashiriki kwenye wizi
👉21.03.2021 kashiriki kwenye ukwapuaji fedha BoT kwa kisingizio cha fedha za maendeleo - mpaka tulivyosema hapa ndipo NMB
wakazirudisha fedha hizo BoT.
👉Ni maendeleo gani hayo ya haraka yaliyoshindwa kusubiri mpaka mama Samia akae ofisini.. Yaani Samia kaapishwa tarehe 19.03.2021-Bashiru na genge lake wamekwapua hela 21.03.2021 mchana bila uoga…
👉Nashindwa kumuelewa yule padre uchwara anapomtetea
👉Bashiru ni mwizi na hafai kuwa mkuu wa utumishi wa umma.. Amekaa ndani ya Ikulu /Ofisi ya Rais ndani ya wiki 4 tu ameshahusishwa na wizi wa 189bn TZS tena yalivyo majinga yameamua kurudisha na huo ni ushahidi kuwa huyu ni mwizi..
👉Bashiru avuliwa ubalozi aliopewa na atolewe
👉Kuna wakati Mbowe alisema taifa linahitajo maridhiano walisanifu sana( hata mimi nilikataa lakini baadaye nilimuomba radhi baada ya kuelewa)
👉Meko aliwapa kiburi cha uzima mkajiona nyie ni kila kitu na dola ikawatetea na kuwalinda sana
👉Mlitumia kodi zetu kulipa hela vijana
wa kututukana adubuhi mchana na jioni.. Meko aliwasifu sana na kuwatambua kama wazalendo wakati anawajaza ujinga na upumbavu vichwani mwenu
👉Tulipotaka mtazame mambo kisayansi kuhusu corona mlisema tumetumwa na mabeberu etc
Sasa MEKO kafa hata wiki haijapota toka mumfukie huko
Chato mnaanza kuja na swaga zenu za kuomba msamaha. Yaani mnaomba msamaha kuhusiana na nini kwanza?Yaani mmemkosea nani mpaka mnaomba msamaha?Nani kalalamika kwamba mmemkosea mpaka muombe msamaha? Kwani kimebadilika nini mpaka mjisisikie sasa tunataka mshikamano? Kwani haukuwepo?