Watawala wengi wa aina ya Meko na sasa Samia huwa wanafanya hivi
👉wanatengeneza kundi la watu watakaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali za nchi
👉wanawatengenezea mazingira ya kushirikiana nao kwa hiyari au lazima ili kuweza kutimiza sera na matakwa yao kama watawala kwa jamii
👉Hili ndiyo kundi la akina Mpango,Mwigulu,Gwajima,Mulaga na TISS etc
👉Hili huwa ni kundi ambalo linakuwa brainwashed kabisa na linaacha kabisa kufikiri kwa kutumia akili zao za kawaida kuchambua mambo na kuanza kulishwa na kutapika kile wanachoambiwa na ruler/mtawala ili kufani
kisha ajenga zake na kukaa madarakani..
👉Hilikundi ndiyo la akina Bashe,Jaffo ,Kabudi,Mwana FA ambao walikuwa wanafuata theories za Meko kuwa hakuna corona na kuna haja ya maska lakini alipkufa tu wakaanza kuvaa mask tena hadharani
👉Hili nikundi hatari sana kwa kuwa lina kazi
ya ku obey,cooperate with or assist the ruler.
👉Sasa kinachoendelea sasa kwa Samia nikujizungushia kundila namna hii ili lisaidie ku push agenda zake kama ruler na bahati mbaya sana kaamua kutembea na theories za Meko ili kuendeleza yale na pale alipoishia Meko na serikali yake
👉Kundi hili ndiyo linaloaminisha watanzania kuwa wao ni masikini lakini hii nchi ni tajiri wakati CCM ndiyo wakao madrakani toka 1961
👉hili kundi ndilo linaloaminisha watu kuwa wanaokosoa serikali wanatumwa na mabeberu ili waje waibe madini etc
👉hilikundi ndilo linaloaminisha
Watanzania kuwa ni bora kununua ndege zikapata hasara ila watoto wetu wasome wamekaa kwenye matofali kwa kuwa kuna watu hawataki tuwe na ndege
👉Sasa tunapotafakari mambo ya nchi hii moving forward lazima haya yazingatiwe maana baada ya 100 days mtamuona MEKO mtupu ndani yake😁

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Kigogo🇰🇪

Kigogo🇰🇪 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @kigogo2014

31 Mar
CCM hata wagombane vipi na kuparuana vipi huwa wana kawaida moja tu;
👉Linapofika suala la madaraka huwa wote wanaongea lugha moja!
👉Jana kuna ambao hata wazazi wao wamedhakishwa na Meko na huyu Mpango wamesimama na kumsifu sana Mpango
👉Hii maana yake nini? Legitimacy ndiyo wa
nayoipigania hapo! Uhalali wa kubaki madarakani hata kama wanatofauti
👉Kuna watu wakati wa Meko wakinanwa mpaka wakawa wanaomba msaada wa wapinzani kuwasemea maana wao hawawezi. Lakini jana wamesahau na wamezaliwa upya kuteteana kuhusu Mpango na legacy ya Meko
👉Kuna watu wamefi
lisiwa mali zao na kutokewa vyeo ndani ya serikali na CCM lakini jana wamesimama hadharani kumsifu Mpango ambaye kadhukumu hela za wakulima wao wa korosho waziwazi🤣🤣
👉Unajuuliza ni kwa nini? Jibu ni rahisi sana CCM wakifika kwenye suala la madaraka huwa wanakuwa kitu kimoja
Read 4 tweets
31 Mar
Tatizo la Tanzania ni mfumo uliowekwa na CCM;
👉watawala wanajijengea utaratibu wa kuwa orders zao ni sheria
👉wanaaminisha watu kuamini kuwa amri zao ni sheria na ni halali
👉Matokeo yake ndiyo hayo tuliyaona Meko alikuwa anatoa amri na ndiyo sheria na kauli yake ni ya mwisho
👉Meko alikuwa anafukuza kazi wTu majukwaani, anatoa hela za maendeleo majukwaani , anafanya maamuzi ya kisera majukwaani- na amri zake zikawa sheria yaani.
👉Haya mambo ndiyo yakazaa akina Dr Mpango ambao leo wanasafishwa kuwa ni wema na ni sehemu ya victims wa Meko regime
👉Mpango ni zao la aithoritative regime ya Meko na ndiyo maana siku ya kwanza tu kuongea akiwa VP mteule kasema anakwenda kuhakikisha anamuenzi Meko.
👉Wakulima wa korosho wameporwa fedha zao na Mpango ndiye mhusika,fedha zinaporwa mabenki Mpango anajua, maduka ya fedha yaliporwa
Read 7 tweets
30 Mar
Zanzibar imewahi kutoa marais wa Tanzania mara 2 nadhani
👉1985-1995 alikuwa Mwinyi yaani aliharibu nchi mpaka mkewe akawa anafanya biashara ikulu. Ndiyo kipindi hiki akina Malecela wakataka kuvunja muungano ama kuwa na serikali 3 nadhani. Uchumi kila mtu anajua ulikuwa shimoni
👉2021-2025 kashika mzanzibar mwingine Samia Suluhu- kwa bahatibahati kawa rais kwa kuwa katiba inataka hivyo lakini kwa merits she is far from being qualified
👉Alifikiriwa anakwenda kurekebisha makosa ya Meko lakini hajamaliza hata siku 10 toka awe Rais kaonyesha jinsi alivyo
boya na bogus kwenye teuzi zake! Yaani huyu anakwenda kutupitisha kule kule kwa Meko na hakuna kitu anabadili kwenye baraza wala serikali..
👉Huu uboya ndiyo maana tarehe 21.03.2021 watu wanaiba hela BoT yeye yupo tu ofisini anatoa toa macho! Mpaka watu waseme ndo anastuka yaani
Read 4 tweets
29 Mar
Dr Bashiru ni Mwizi na hafai kuendelea kuwepo ofisini as we speak
👉17.03.2021 Meko kafa na yeye akiwa mtendaji mkuu wa ofisi ya Rais kashiriki kwenye wizi
👉21.03.2021 kashiriki kwenye ukwapuaji fedha BoT kwa kisingizio cha fedha za maendeleo - mpaka tulivyosema hapa ndipo NMB Image
wakazirudisha fedha hizo BoT.
👉Ni maendeleo gani hayo ya haraka yaliyoshindwa kusubiri mpaka mama Samia akae ofisini.. Yaani Samia kaapishwa tarehe 19.03.2021-Bashiru na genge lake wamekwapua hela 21.03.2021 mchana bila uoga…
👉Nashindwa kumuelewa yule padre uchwara anapomtetea
👉Bashiru ni mwizi na hafai kuwa mkuu wa utumishi wa umma.. Amekaa ndani ya Ikulu /Ofisi ya Rais ndani ya wiki 4 tu ameshahusishwa na wizi wa 189bn TZS tena yalivyo majinga yameamua kurudisha na huo ni ushahidi kuwa huyu ni mwizi..
👉Bashiru avuliwa ubalozi aliopewa na atolewe
Read 5 tweets
29 Mar
MEKO NI MWIZI na JAMBAZI
👉Mwaka 2018 - Meko alianzisha task force ya uporaji fedha za wafanyabiashara na akaipa jina la Commodity Import Support(CIS) Task Force
👉Akaipa ofisi jengola wizara ya fedha chuman namba 257 na kikosi hiki kina watu jwa
* Bwana Mlolo
*Inspekta Melele
*Bwan Mwita
*Bibi Vaileth Valerian
👉Genge hili ndilo linalozunguka Tanzania nzima kupora fedha za wafanyabiashara na kuwafunga bila sababu kwa kisingizio cha kukusanaya madeni ya serikali ya JAPAN yaliyokopwa na wafanyabiashara wa Tanzania mwaka 1980
👉Kikosi hiki kinapora hela
Kwa kigezo cha kutekeleza sheria inayoratibu mikopo hiyo(The commodity import support Act CAP 261) ma kigeuza sheria hii kuwa jinai kwa mtu ambaye hajalipa madeni ya 1980
👉Kikosi hiki kinakamata wajane na wasimamizi wa mirahi na kuwaweka ndani nchi nzima kwa amri ya Dotto na
Read 8 tweets
29 Mar
👉Kuna wakati Mbowe alisema taifa linahitajo maridhiano walisanifu sana( hata mimi nilikataa lakini baadaye nilimuomba radhi baada ya kuelewa)
👉Meko aliwapa kiburi cha uzima mkajiona nyie ni kila kitu na dola ikawatetea na kuwalinda sana
👉Mlitumia kodi zetu kulipa hela vijana
wa kututukana adubuhi mchana na jioni.. Meko aliwasifu sana na kuwatambua kama wazalendo wakati anawajaza ujinga na upumbavu vichwani mwenu
👉Tulipotaka mtazame mambo kisayansi kuhusu corona mlisema tumetumwa na mabeberu etc

Sasa MEKO kafa hata wiki haijapota toka mumfukie huko
Chato mnaanza kuja na swaga zenu za kuomba msamaha. Yaani mnaomba msamaha kuhusiana na nini kwanza?Yaani mmemkosea nani mpaka mnaomba msamaha?Nani kalalamika kwamba mmemkosea mpaka muombe msamaha? Kwani kimebadilika nini mpaka mjisisikie sasa tunataka mshikamano? Kwani haukuwepo?
Read 4 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!