@jjmnyika nafuatilia sana mikutano inayoendelea na nadhanimmeona jinsi wananchi walivyo na imani na hiki chama.. Ushauri wangu ni huu;
👉kule kwenye grassroot - tengenezeni mashina ambapo kuwe na viongozi kwenye kila mtaa na wawe na kazi ya kuzunguka nyumba moja baada ya nyingine
Kuhamasisha watu wajiandikishe uanachana na kama kuna wanachama tayari basi walipia kadi zao na wawe hai.
👉Hawa viongozi watunze list/idadi na majina ya wanachama wao kwenye kila mtaa na hili liwe ni nchi nzima.. Waweke taarifa zote za mwanancha na wanaotarajia kuwa wanachama
👉Mkishakuwa na hii kutoka mitaa👉kata👉wilaya👉jimbo👉mkoa👉kanda , then haya yote tengenezeni database kwa nchi nzima wekeni hapo makao makuu.
👉kwa kuwa mna mawasiliano yao wote hawa - tengenezeni utaratibu wa kuwasiliana nao mara kwa mara kuwapa updates za nini kinaendelea
👉Mrema wewe ndo inchaji manyota wa mawasiliano- tengeneza utaratibu wa kuwa na news bulletin simple kila mwezi na iwafikie wanachama hawa kupitia simu zao au emails etc ili wajua nini kinaendelea ndani ya chama na mambo ya kisiasa ndani ya nchi..
👉Capitalize kwenye ile digital
Platform yenu - make it more informative na iwe inakuwa updated kila mara kwa kuwekwa information uptodate
👉@jjmnyika narudia tena kukushauri- wewe ndiyo katibu mkuu fanya projections mnalipa watu weny mikoani,wilayani shilingi ngapi jua bajeti then ipeleke kwa wanachama ili
👉waanze kujenga mazoea ya kuchangia uhaia wa chama na kujitegemea.Meko na Ndugai walikuwa wanaweza ku control vyama kama CUF na kingine hiki sijui kinaitwaje kwa sababu walikuwa wanatumia ruzuku kama fimbo ya kuwachapia.Matokeo yake CUF imefutika

HIKI KILICHOANZA SASA KIENDELEE

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Kigogo🇰🇪

Kigogo🇰🇪 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @kigogo2014

15 Jun
Nchi ya ajabu sana.Yaani CCM hawa ndiyo wametengeneza matatizo yoooote ya vijana mpaka leo.Halafu vijana hao hao wanadhani CCM hao hao na mwenyekiti wao watatatua shida zao!
Ngoja niwauliza swali?Huyu si aliimba mambo ya Tanzania ya viwanda? Mwambie akuonyeshe viwanda 10 vilipo
👉serikali inayouwa sekta binafsi na kufukuza investors haiwezi kuja kufengeneza ajira za vijana
👉serikali inayoongoza kwa uongo uongo kwenye ilani yao haiwezi kuwa solution ya matatizo ya vijana!
👉Haya leo mkipewa baraza la vijana - what is your ajenda? Haya mambo ni sawa na
kelele za wabunge wa viti maalum. Walipiga kelele sana haya wakapewa! Tell me wanafanya nini cha maana kule bungeni? Toka wameteuliwa viti maalumu sera gani moja tu ambayo walisimama na kuipigania haswa! Juzi hapa kwenye mambo ya mimba za wanafunzi na mkopo wa WB wakiongea nini?
Read 4 tweets
15 Jun
😁 kuna mambo yanachekesha sana.. Yaani Jumong na watu wake ni beyond repair kabisa
👉Unataka kuongea na vijana- chukua vijana walioko St Agustine University na vyuo vilivyoko Mwanza
👉Team ya maandalizi ya hii event fanyeni pre meetings na vijana/ reps wao kujua what are the
issues to be addressed.
👉Chukua hizo issues nendeni kazitengenezeeni majibu na mpeni Jumong asome kama hotuba akihutubia kundi hilo la vijana..
👉Composition would have been simple( vijana wa vyuo vikuu,vijana wafanyabiashara,vijana wa makundi maalumu/walemavu etc). Yaani haya
Mnashindwa kufanya mnaishia kuleta akina Jenista wanajikamua kamua kuongea hapa. Jenista kapewa hizo ajenda na vijana wapi? Na alikutana nao wapi?
👉Hivi nyie Ikulu hapo mnafanyana nini? Mbona mnakuwa wajinga sana kwenye kufanya mambo mepesi? Hii event haikutakiwa kuzidi hata
Read 4 tweets
14 Jun
@wizara_elimuTz hii ni barua ya afisa elimu wenu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuita waalimu zaadi ya 1000 kwenda St Antony Secondary Mbagala kusahihisha mitihani ya Mock ya kidato cha nne
👉Waalimu wamemaliza kazi kwa haraka kabla ya muda husika na leo wanadai hela zao kama malipo Image
wanaambiwa waondoke watakipwa kwa simu? (Tigopesa/Mpesa/Airtel Money)
👉Waalimu wamekaa siku zote kufanya hiyo kazi ina maana hamkujua kuna siku watakipwa? Yaani 300k kila mmoja inawatoa jasho ina maana hamkujipanga?
👉Waalimu wamekosa mpaka nauli wanalala tu chini ya miti yaani Image
👉 @ummymwalimu @OR_TAMISEMI huyu Afisa Elimu wa Mkoa wa DSM (Abdul Maulid) alifanya haya kwa mamlaka ya nani na nani anayetesa waalimu hawa kwa kutotaka kuwalipa hela zao kwa kazi wakiyoifanya?
👉Nyie huko bungeni mnateseka hivi ? Acheni dharau nyie watu hivyo vyeo ni dhamana Image
Read 4 tweets
31 Mar
Watawala wengi wa aina ya Meko na sasa Samia huwa wanafanya hivi
👉wanatengeneza kundi la watu watakaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali za nchi
👉wanawatengenezea mazingira ya kushirikiana nao kwa hiyari au lazima ili kuweza kutimiza sera na matakwa yao kama watawala kwa jamii
👉Hili ndiyo kundi la akina Mpango,Mwigulu,Gwajima,Mulaga na TISS etc
👉Hili huwa ni kundi ambalo linakuwa brainwashed kabisa na linaacha kabisa kufikiri kwa kutumia akili zao za kawaida kuchambua mambo na kuanza kulishwa na kutapika kile wanachoambiwa na ruler/mtawala ili kufani
kisha ajenga zake na kukaa madarakani..
👉Hilikundi ndiyo la akina Bashe,Jaffo ,Kabudi,Mwana FA ambao walikuwa wanafuata theories za Meko kuwa hakuna corona na kuna haja ya maska lakini alipkufa tu wakaanza kuvaa mask tena hadharani
👉Hili nikundi hatari sana kwa kuwa lina kazi
Read 6 tweets
31 Mar
CCM hata wagombane vipi na kuparuana vipi huwa wana kawaida moja tu;
👉Linapofika suala la madaraka huwa wote wanaongea lugha moja!
👉Jana kuna ambao hata wazazi wao wamedhakishwa na Meko na huyu Mpango wamesimama na kumsifu sana Mpango
👉Hii maana yake nini? Legitimacy ndiyo wa
nayoipigania hapo! Uhalali wa kubaki madarakani hata kama wanatofauti
👉Kuna watu wakati wa Meko wakinanwa mpaka wakawa wanaomba msaada wa wapinzani kuwasemea maana wao hawawezi. Lakini jana wamesahau na wamezaliwa upya kuteteana kuhusu Mpango na legacy ya Meko
👉Kuna watu wamefi
lisiwa mali zao na kutokewa vyeo ndani ya serikali na CCM lakini jana wamesimama hadharani kumsifu Mpango ambaye kadhukumu hela za wakulima wao wa korosho waziwazi🤣🤣
👉Unajuuliza ni kwa nini? Jibu ni rahisi sana CCM wakifika kwenye suala la madaraka huwa wanakuwa kitu kimoja
Read 4 tweets
31 Mar
Tatizo la Tanzania ni mfumo uliowekwa na CCM;
👉watawala wanajijengea utaratibu wa kuwa orders zao ni sheria
👉wanaaminisha watu kuamini kuwa amri zao ni sheria na ni halali
👉Matokeo yake ndiyo hayo tuliyaona Meko alikuwa anatoa amri na ndiyo sheria na kauli yake ni ya mwisho
👉Meko alikuwa anafukuza kazi wTu majukwaani, anatoa hela za maendeleo majukwaani , anafanya maamuzi ya kisera majukwaani- na amri zake zikawa sheria yaani.
👉Haya mambo ndiyo yakazaa akina Dr Mpango ambao leo wanasafishwa kuwa ni wema na ni sehemu ya victims wa Meko regime
👉Mpango ni zao la aithoritative regime ya Meko na ndiyo maana siku ya kwanza tu kuongea akiwa VP mteule kasema anakwenda kuhakikisha anamuenzi Meko.
👉Wakulima wa korosho wameporwa fedha zao na Mpango ndiye mhusika,fedha zinaporwa mabenki Mpango anajua, maduka ya fedha yaliporwa
Read 7 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(