Madikteta kote duniani huwa wanashindana kuvunja rekodi.
👉Meko- aliuwa, alifunga, alitesa,alipora mali za watu na amekufa akiacha alama hiyo kwenye uso wa nchi na mioyo ya wateswaji
👉Huyu- kaweka rekodi ya kukamata na kuweka jela watu wengi zaidi kwa siku moja kwenye tukio moja Image
Haijawahi kutokea hivi toka nchi hii ipate uhuru( kama lipo tukio nisagihishwe)
👉yaani mahabuau Mwanza zimejaa wamepeleka watu Misungwi huko na nadhani wengine watawapeleka Ukara
👉RPC kawa mweledi sana kwa kusema ametumwa na Rais kufanya haya yote anayofanya na @tanpol kutokanu Image
kauli ya RPC mpaka sasa ni wazi wanatekeleza maagizo mwanana ya Rais..
Nina imani kabisa tunawapa watu uongozi na wanaapa kwa kushika katiba huku hawajui nini kimeandika kwenye katiba na zili ni haki za wananchi
Ndiyo maana wanaona wapinzani ni adui na hawafai kuwa raia wa nchi Image
hii. Angalia aina ya marafiki zao!.. Burundi huko ndiko walikokodisha wanajeshi wakawavalisha nguo za JWTZ na kuuwa watu waziwazi wakati wa uchaguzi kule Zanzibar,ndani ya wiki 9 (Rais,VP,PM) exceptionally wametembelea Burundi. Hawa wanakwenda kuandaa tena watu wa kuja kuuwa watu Image

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Kigogo🇰🇪

Kigogo🇰🇪 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @kigogo2014

19 Jul
CCM na MATAGA nataka msome ili muache ujinga wa kumtetea Samia
👨🏻‍💻👨🏼‍🔧🧵🧵
👉The finance Act 2021 in mambo chungu nzima ambayo yaliasisiwa kwenye mawizara na kwenda kwenye baraza la mawaziri na yakajadiliwa na kupitishwa kwamba sasa yaende bungeni
👉Moja wapo ni tozo la miamla Image
Sheria ya huduma za posta na mawasiliano(CAP 306) wakaamua section 164A
👉kuanzisha tozo kwenye muda wa maongezi
👉sheria ikamuagiza wapiti Ndungulile kwa majadiliano na Mwigulu watengeneze kanuni kuainisha jinsi tozo hizo zitakavyokusanywa toka kwa watanzania

SHERIA HIYO Image
The finance Act 2021 - imeweka section ya ajabu sana kwenye ili retention fee iliyolalamikiwa sana kwenye mikopo ya wanafunzi..
👉Sheria inatoa upenyo wa kuja kuitumia tena siku za usoni ndiyo maana wanasema isikusanywe pasipo kibali cha waziri husika.
👉Huku kwa wananchi wanada Image
Read 8 tweets
19 Jul
Tabia ya kumuona Samia anashauriwa vibaya au anapotoshwa ni ya kijinga na unaonyesha jinsi ambavyo yeye binafsi hana uwezi wa kufanya mambo kama RAIS..

Muswada mpaka uwe sheria una hatua nyingi sana;
👉Unaanza huko wizarani na wataalamu na wanasheria wanashauriana na kupeleka
kwenye baraza la mawaziri ambako Rais ni mwenyekiti wa hicho kikao .. Wanajadili kwa kina na kuzingatia ushauri wa wataalamu na hapo ndipo wanaangalia sera,ilani na msimamo wa serikali kwenye jambo husika
👉Wakitoka hapo wanapeleka bungeni kwenye kujadiliwa nako linapita mpaka
kwenye kamati za bunge zinazohusika na suala hilo..
👉wakimaliza linakwenda kwenye floor linakuwa debated na kama kuna marekebisha yanafanywa kama kuna maswali waziri anaulizwa na anajibu. Kabla muswada haujapitishwa waziri anakuja kufanya mahumuisho- ndiyo ile mnaonaga wanapiga
Read 6 tweets
15 Jun
Nchi ya ajabu sana.Yaani CCM hawa ndiyo wametengeneza matatizo yoooote ya vijana mpaka leo.Halafu vijana hao hao wanadhani CCM hao hao na mwenyekiti wao watatatua shida zao!
Ngoja niwauliza swali?Huyu si aliimba mambo ya Tanzania ya viwanda? Mwambie akuonyeshe viwanda 10 vilipo
👉serikali inayouwa sekta binafsi na kufukuza investors haiwezi kuja kufengeneza ajira za vijana
👉serikali inayoongoza kwa uongo uongo kwenye ilani yao haiwezi kuwa solution ya matatizo ya vijana!
👉Haya leo mkipewa baraza la vijana - what is your ajenda? Haya mambo ni sawa na
kelele za wabunge wa viti maalum. Walipiga kelele sana haya wakapewa! Tell me wanafanya nini cha maana kule bungeni? Toka wameteuliwa viti maalumu sera gani moja tu ambayo walisimama na kuipigania haswa! Juzi hapa kwenye mambo ya mimba za wanafunzi na mkopo wa WB wakiongea nini?
Read 4 tweets
15 Jun
😁 kuna mambo yanachekesha sana.. Yaani Jumong na watu wake ni beyond repair kabisa
👉Unataka kuongea na vijana- chukua vijana walioko St Agustine University na vyuo vilivyoko Mwanza
👉Team ya maandalizi ya hii event fanyeni pre meetings na vijana/ reps wao kujua what are the
issues to be addressed.
👉Chukua hizo issues nendeni kazitengenezeeni majibu na mpeni Jumong asome kama hotuba akihutubia kundi hilo la vijana..
👉Composition would have been simple( vijana wa vyuo vikuu,vijana wafanyabiashara,vijana wa makundi maalumu/walemavu etc). Yaani haya
Mnashindwa kufanya mnaishia kuleta akina Jenista wanajikamua kamua kuongea hapa. Jenista kapewa hizo ajenda na vijana wapi? Na alikutana nao wapi?
👉Hivi nyie Ikulu hapo mnafanyana nini? Mbona mnakuwa wajinga sana kwenye kufanya mambo mepesi? Hii event haikutakiwa kuzidi hata
Read 4 tweets
14 Jun
@jjmnyika nafuatilia sana mikutano inayoendelea na nadhanimmeona jinsi wananchi walivyo na imani na hiki chama.. Ushauri wangu ni huu;
👉kule kwenye grassroot - tengenezeni mashina ambapo kuwe na viongozi kwenye kila mtaa na wawe na kazi ya kuzunguka nyumba moja baada ya nyingine
Kuhamasisha watu wajiandikishe uanachana na kama kuna wanachama tayari basi walipia kadi zao na wawe hai.
👉Hawa viongozi watunze list/idadi na majina ya wanachama wao kwenye kila mtaa na hili liwe ni nchi nzima.. Waweke taarifa zote za mwanancha na wanaotarajia kuwa wanachama
👉Mkishakuwa na hii kutoka mitaa👉kata👉wilaya👉jimbo👉mkoa👉kanda , then haya yote tengenezeni database kwa nchi nzima wekeni hapo makao makuu.
👉kwa kuwa mna mawasiliano yao wote hawa - tengenezeni utaratibu wa kuwasiliana nao mara kwa mara kuwapa updates za nini kinaendelea
Read 6 tweets
14 Jun
@wizara_elimuTz hii ni barua ya afisa elimu wenu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuita waalimu zaadi ya 1000 kwenda St Antony Secondary Mbagala kusahihisha mitihani ya Mock ya kidato cha nne
👉Waalimu wamemaliza kazi kwa haraka kabla ya muda husika na leo wanadai hela zao kama malipo Image
wanaambiwa waondoke watakipwa kwa simu? (Tigopesa/Mpesa/Airtel Money)
👉Waalimu wamekaa siku zote kufanya hiyo kazi ina maana hamkujua kuna siku watakipwa? Yaani 300k kila mmoja inawatoa jasho ina maana hamkujipanga?
👉Waalimu wamekosa mpaka nauli wanalala tu chini ya miti yaani Image
👉 @ummymwalimu @OR_TAMISEMI huyu Afisa Elimu wa Mkoa wa DSM (Abdul Maulid) alifanya haya kwa mamlaka ya nani na nani anayetesa waalimu hawa kwa kutotaka kuwalipa hela zao kwa kazi wakiyoifanya?
👉Nyie huko bungeni mnateseka hivi ? Acheni dharau nyie watu hivyo vyeo ni dhamana Image
Read 4 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(