Jisusi Profile picture
3 Oct, 18 tweets, 4 min read
Maduka ya rejareja yanayouza vitu vinavyonunulika kwa haraka,hua ni mengi sana mitaani tunamoishi na yamekaribiana yahitaji akili & mbinu zakufanya biashara katka mazingira ya namna hii. Image
yafuatayo ni mambo kadhaa uwezayo kufanya ukajiweka kweny nafasi nzuri yakuhakikisha unashindana vilivyo vyema na kua na mzunguko mzuri wa pesa...
Epuka kufanya kijiwe sehemu ya biashara yako kwa gharama yeyote ile, ushikaji na ushosti haupaswi kufumbiwa macho sehemu ya biashara na ukumbuke hili ukiwa muuzaji ni wa kike na mashosti hujaa kweny biashara yako kupiga stori basi tambua kabisa......
Jinsia yakiume itakupita kama haioni kuna duka kwako nakwenda kununua fremu inayofuata vivyo hivyo kwa muuzaji wakiume unayeruhusu kijiwe kupiga stori na washikaji sehemu ya biashar, ondoa vivutio vinavyotengeneza mazingira yakijiwe Kama bench huku bznes ako haina ulazma wa bench
Usikae mbali na biashara kiasi cha mteja kuita "dukaani" kumbuka hili ni duka la vitu vidogovidogo kama pipi, jojo, biscuits pia hivo sio rahisi mtu kukuinua ukiwa mbali huku anahitaji kununua jojo za 100...
...mteja ataona aibu kkusumbua kisa 100 ataenda mlango unaofuata muuzaji alipo anapotakiwa kuwa kama muuzaji, tayari mpaka hapo utakua umeshapoteza pato la 100
Epuka kukopesha mali kwa mteja, kumbuka muundo wa biashara yako ni kujumua nakuuza sio kujumua na kukopesha ufanyapo kukopesha ni kama kutengeneza tuta katka mfereji unaotiririsha maji....
....kumbuka ukopeshapo mteja ajapo kukulipa hakulipi na riba na kama ungezungusha hyo pesa kwenye mzunguko ingezaa hivo jitahidi kutokukopesha
Usihodhi pesa ya biashara kama unahitaji kuikuza biashara yako, kumbuka kua upo kweny biashara ya kujumua na kuuza kwa rejareja (Trading business),hivo hakikisha mauzo yanabadilika kua bdhaa...
jitahidi kununua bidhaa kila pesa inayopatikana kulingana na mauzo(back 2 back reinvesting) na gharama kama vile za vyakula havikwepeki ukitumia kwa sku gharama ya 2000 kwa ajili ya chakula hakikisha hyo hyo sku utaingiza bidhaa yenye faida kubwa kuzidi 2000(+2000)...
kwa namna hyo utazimudu gharama zako binafsi huku unaikuza biashara yako kumbuka una mtaji mdogo na faida za duka la rejareja ni ndogo hivo ni rahisi mno kujikuta unakula mtaji badala ya faida.
Tumia simu kununua bidhaa kama supplier wako anafanya delivery kwa muda utumapo order yako basi hakuna haja yakuliacha duka au kulifunga kwa muda (temporary close)
.... muda unaoutumia kwenda kununua huku nyuma unapoteza mapato wateja wajapo.
kama unauwezo wakupata boda mwaminifu na mchapa kazi mzuri basi hakikisha yeye anakusogezea bdhaa nawe unakuepo dukani mara nyingi biashara ndogo za mitaani zinakosa kitu kiitwacho leverage other peoples resource, other peoples time badala yake hua ni my time, my resource...
Hakikisha hauuzi hamna,bdhaa ziwepo ili wateja wajenge mazoea yakupata needs zao sehemu moja viceversa inawadiscourage nakukuchukulia hua huna bdhaa zote fanya duka lako a one stop buying point kwa majitaji yao
Price tag zako zisiwe juu kuzidi washindani wako ongezeko la 100 kwenye fast moving consumable goods linaweza kimbiza mteja aking'amua lengo nikua na wateja wanaojirudia kufanya manunuzi Leo na kesho!
Kua shapu mikononi, wateja hupenda kuhudumiwa haraka na kuondoka hivo yafaa uwe haraka katika upimaji wa vitu kama sukari, ngano, sembe nakufungashia wateja kwa uharaka iwezekanavyo.
#ElimikaWikiendi

Hua ninaandika nyuzi Kama hizi mara 2 kwa week kindly retweet the first tweet iwafikie wengi na usisahau kunifollow @iJisusi ili kila nipandishapo uzi ukufikie kiurahsi.

@rollymsouth @YourFrenchFry @GillsaInt @toksik08 @NyandaAmosi @hmarskov_

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Jisusi

Jisusi Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @iJisusi

4 Oct
Kama unataka kua mjasiriamali mwenye mafanikio.

Identify a human need and reach out to solve it,in a sustainable way.

<Thread> Image
Si kwako si yule pekee ake kuna muda unachapika vibaya mambo hayaendi huna mambo kwa mfuko lakini bill zimesimama zinakuangalia kana kwamba zinakusemesha 'wewe ruka ruka tu ila sisi tupo tunakungoja utatukuta tunakusubiri"
Ndivyo ilivyokua kwa kijana @androntz baada yakuishiwa nishati ya gas na hana pesa yakubadilishia mtungi wa gas,huku akiwa kwenye ujenzi wa nyumba na kwa wakati huo akiwa muhasibu ameajiriwa kwenye kampuni ya bima tena ni top rank baada tu ya ceo.
Read 15 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(