Jisusi Profile picture
4 Oct, 15 tweets, 6 min read
Kama unataka kua mjasiriamali mwenye mafanikio.

Identify a human need and reach out to solve it,in a sustainable way.

<Thread>
Si kwako si yule pekee ake kuna muda unachapika vibaya mambo hayaendi huna mambo kwa mfuko lakini bill zimesimama zinakuangalia kana kwamba zinakusemesha 'wewe ruka ruka tu ila sisi tupo tunakungoja utatukuta tunakusubiri"
Ndivyo ilivyokua kwa kijana @androntz baada yakuishiwa nishati ya gas na hana pesa yakubadilishia mtungi wa gas,huku akiwa kwenye ujenzi wa nyumba na kwa wakati huo akiwa muhasibu ameajiriwa kwenye kampuni ya bima tena ni top rank baada tu ya ceo.
Kitendo hicho kilimuumiza hasa pale alipowaza kua mimi ni mtu ninayekuja baada ya ceo na sina pesa yakubadilishia mtungi wa gas,vipi watu wengine wasio na cheo nilichonacho,hulikabili vipi swala la nishati yakupikia? katika kunga'mua fumbo hili ndipo @kopagas ikazaliwa.
Kopa gas ni nini?

Well,fikiria ule mkaa wa buku unaoenda kununua gengeni yakiwa mambo hayasomi kwa mfuko kuweza kununua gunia zima la mkaa, fikiri zaidi kua yule muuza mkaa akuletee mkaa gunia lote bila kumlipa ila utamlipa kila utumiapo huo mkaa mpaka utakapoisha.
na mkaa ukikarbia kuisha muuza mkaa apate real time alert kwenye simu kua gunia la mkaa la mteja wako xxxx alyeko mtaa xxx linakarbia kuisha hvyo wahisha gunia jingine kabla hilo halijaisha bila huyo mteja kumpigia wala kumuandikia sms supplier .
Kopa gas walidesign/wamedesign meter janja ambayo hupachikwa kwenye gas cylinders(mitungi ya gas) kumuwezesha mtumiaji kulipia nishati ya gas pale atumiapo kupitia mpesa/airtel money wallet kuanzia 1000Tshs tu,na meter hyo huruhusu kutumika kiasi cha ujazo wa gas mteja aliolipia
...bila kua na ulazma wakufanya malipo yote ya mtungi kwa wakat mmoja kama tulivyozoeleshwa na makampuni ya gas na kupitia meter janja hizo kopa gas wakiwa kwenye ofisi zao wanauwezo wakuona umebakiwa na nishati ya gas ujazo kiasi gani nakkuletea mara tu mtungi wako uishapo gas.
Kopa gas ni startup inayotatua moja kwa moja tatzo lilopo kwenye jamii zetu kulingana na takwimu za majarbio ya kibiashara mwaka 2017 wakianza na kaya 150 wateja 65% walkua ni wapya hawajawahi kutumia gas maishani mwao na uwezo wakubadilisha mitungi ikiisha uliongezeka mara2-3
...ikilinganishwa na refill standard ilyokuepo hapo awali ambapo mitungi mingi hubaki mitupu imehifadhiwa ndani haizunguki kwenye mfumo wa biashara inavyotakiwa kwakua wateja wengi kukosa pesa yakurefiill mtungi mzima kwa wakati huska.
Baada ya miaka 6 kuanzishwa kwake mnamo tarehe 3 jan 2020 kopa gas ilinunuliwa na kampuni ya circle gas toka uingereza kwa deal transaction lenye thamani ya dollar za kimarekani 25million sawa na billion 57.5Tshs exchange rate ya kipindi hicho....
huku waanzilishi Andron & Dr.sebastian Rodriguez wakibakiwa na umiliki wa 15% nakuretain wafanyakazi wote 30 waliokuwepo awali kwenye kampuni na wao wakiendelea kuiendesha kampun katka executive positions na circle gas wakipump in $300billion kuiscale kopa gas
Kabla yakua acquired na circle gas,kopa gas ilipata uwekezaji pamoja na grant kwa mashrika mbalimbali kama; acumen Fund, Saisan Co
Ltd., Hooge Raedt Social Venture B.V, DEG / KFW, GSMA, D-Prize and MIT’s D-Lab .
kua acquired na kampuni kubwa au kuorodhesha kampuni kwenye soko la hisa I.e Dar es salaam stock exchange etc Kama exit point ni ndoto yakila mjasiriamali anayeanzisha startup company mwenye vision yakutengeneza kampuni kubwa,hii kweny soka ni Kama Ronaldo kupiga hat trick .
Hua ninaandika uzi Kama huu mara 2 kwa wiki,

kindly scroll up and retweet the first tweet na usisahau kunifollow @iJisusi ili kila nipandishapo uzi usikupite.

@GillsaInt @chapo255 @MiriamMkanaka @kaimollel @KamigakikuMbise @iambasilius @Kudu_ze_Kudu @officielsalome @bajabiri

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Jisusi

Jisusi Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @iJisusi

3 Oct
Maduka ya rejareja yanayouza vitu vinavyonunulika kwa haraka,hua ni mengi sana mitaani tunamoishi na yamekaribiana yahitaji akili & mbinu zakufanya biashara katka mazingira ya namna hii. Image
yafuatayo ni mambo kadhaa uwezayo kufanya ukajiweka kweny nafasi nzuri yakuhakikisha unashindana vilivyo vyema na kua na mzunguko mzuri wa pesa...
Epuka kufanya kijiwe sehemu ya biashara yako kwa gharama yeyote ile, ushikaji na ushosti haupaswi kufumbiwa macho sehemu ya biashara na ukumbuke hili ukiwa muuzaji ni wa kike na mashosti hujaa kweny biashara yako kupiga stori basi tambua kabisa......
Read 18 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(