UJIO WA Teknolojia YA kutotumia tena laini za simu 💡eSIM 👨🏿‍🎓

Moja kati ya safari fupi sana zilizobaki ni utumiaji wa laini za simu kwa maana ya micro SIM na Nano SIM,

Leo nitakupa uzii kwa lugha nyepesi kabisa upate kuwa na ufahamu juu ya eSIM na faida zake pia
Utofauti wake na SIM cards ,

Kwanza kabisa kirefu cha SIM ni subscriber identity module card ambayo ina uwezo wa kujifadhi namba za simu,IMSA na keys 🔑 zake ambazo kwa ujumla husaidia kuwatambua wateja wa mtandao husika !

Sasa tukija upande wa eSIM yenye kirefu cha
Embedded subscriber identity module ikiwa na maana ya intergrated circuits ambazo zmewekwa pamoja kwenye motherboard na inafanya kazi zote ambazo ilitakiwa zifanywe na sim card ya kawaida utofauti wake tu ni kwamba yenyewe itakua rahisi kuweza kubadilisha matumizi ya data
Tofauti na sim card ambayo ni lazima uihamishe ,pia kwa wasafiri wa nje ya nchi itakua ni rahisi sana kupata huduma ya internet tofauti na ilivyokua mwanzo maana ni kitendo tu cha ku switch kwenye mtandao wa nchi uliyopo,baadhi ya simu ambazo zina support eSIM
Kuna Google pixel 2,google pixel 3 na kwa upande wa iphone inaanzia iphone xs na kuendelea !

Swali lolote tuandikie kwenye comment tutakujibu

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Cxstore Company ltd.

Cxstore Company ltd. Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @CoxstoreTz

30 Dec
👨🏿‍🎓TEKNOLOJIA 5(tano) ZILIZOLETWA NA UJIO WA COVID-19 DUNIANI .

Ujio wa Covid-19 duniani unalazimisha idadi kubwa ya nchi kuanza kutumia teknolojia tano(5) muhimu ambazo zina athiri utendaji kazi wa watu moja kwa moja huku idadi kubwa ya ajira tulizo zizoea zikipotea ifikapo2025 Image
Jitahidi kuzisoma hizi nyuzi maana zimebeba mambo muhimu sana yatakayo kusaidia kufanya maamuzi mazuri juu ya skills gani unatakiwa kuwa nazo na ni fani gani umshauri mdogo wako au mtoto wako ama ndugu yako ambazo zitakua na soko miaka ijayo

Zifuatazo ni Teknolojia 5 muhimu
1. Artificial Intelligence (AI) and Machine Learning

Ikiwa na maana ya uwezo wa computer 💻 ama 🤖 robot kufanya kazi ambazo ilitakiwa zifanywe na binadamu teknolojia hii ina lenga kupunguza msongamano wa watu kwenye taasisi ,hapa computer inakua na uwezo wa kujifunza kila siku Image
Read 11 tweets
29 Dec
LIST YA SIMU MPAKA SASA (29 DEC 2021)
ZINAZO SUPPORT eSIM Technology
👨🏿‍🎓
Kwa ambao watapenda kutumia teknolojia hii mpya
1.Apple
-iPhone XR (model A2105 kuanzia 2018)
-iPhone XS (model A2097 kuanzia 2018)
-iPhone XS Max (model A2101 kuanzia 2018)
-iPhone 11
A2221 kuanzia 2019)
-iPhone 11 Pro (model A2215 kuanzia 2019)
-iPhone SE (model 2020)
-iphone 12 mpaka iphone 13promax

2.Samsung
-samsung galaxy S20 mpaka S22 ambayo itakua released mapema January 2022
-samsung note 20
-samsung note 20ultra 5G
-Samsung Galaxy Fold
-Samsung Galaxy Z Fold2 5G
-Samsung Galaxy Z Fold3 5G
-Samsung Galaxy Z Flip
3.Google pixel
-google pixel 2 mpaka google google pixel 6pro

4.Huawei
-Huawei P40
-Huawei P40 Pro
-Huawei P50 Pro
-Huawei Mate 40 Pro

Huawei mate 40 pro+
Read 4 tweets
28 Dec
UKWELI KUHUSU TWS EarBuds

Hivi karibuni kumekua na brand nyingi sana duniani zimeweza kutengeneza TWS earbuds kwa majina tofauti tofauti pia mfano ,
-inpods
-airdots
-macaron
-Airpods
-TWS i..

Brand zote hizo pamoja na utofauti wa majina lakini zote zimela
zimika kutumia Teknolojia ya bluetooth sasa kuna kampuni nyingi duniani ambazo zinatengeneza Bluetooth chipsets models na ni vigumu kuzijua kwa kuziangalia muundo wake wa nje mpaka pale ambapo umezipasua kwa ndani ukiangalia vizuri kwenye PCBA kunakuaga na herufi
Tofauti tofauti zinazomanisha bluetooth chips mfano

A inamanisha Airoha

B inamanisha BES Hengxuan

C inamanisha CSR Qualcomm

Hii ni tofauti na earbuds kutoka. Apple na Huawei ambao wao wana bluetooth chipsets za kutengeneza wao tofauti na hizi popular BT chipsets
Read 5 tweets
14 Nov
ZIJUE AINA ZA SCREEN PROTECTORS ZA SIMU NA UBORA WAKE.👨🏿‍🎓

Kuna ka uoga flani hua kanakujia baada ya kuiangusha smartphone yako,hii sio tu inaleta uoga lakini inapunguza thamani ya simu pia lakini haya yote unaweza kuepukana nayo kwa kuchagua screen protector yenye ubora wa kulind
a simu yako
Zifuatazo ni Aina za Protectors nimezipanga kutokana na ubora wake.

1.Tempered glass screen protector

Maana ya glass kua tempered ni glass yenyewe kupitishwa kwenye joto kali na kuchanganywa na kemikali muhimu ambazo zinaongeza uimara wa glass kuhimili mgandamizo
Na mshituko wa aina yeyote so hakukisha unapoenda kununua protector angalia kama ni tempered hua inaandikwa juu ya package yake mfano huu hapa chini na mara nyingi ukipima thickness yake hua zinakua 0.76mm ni protector nzuri sana kulinda simu yako
Read 7 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(