#SwahiliCyryptos Part 1
Watu wengi wamekua wakiniuliza kwa habari ya Cryptocurrency nikaona sio vibaya mimi kushare notse zangu kwa mfumo wa thread.
Bila kuchelewa #Cryptocurrency ni nini?
Neno cryptocurrency ni muunganiko wa maneno mawili cryptography na currency.
Katika cryptography, tunatumia Mahesabu ya hali ya juu kulinda fedha na kuhakikisha hakuna mtu anatumia kiasi cha fedha zaidi ya kile kiasi halali alichonacho. Na neno currency ni fedha.
Cryptocurrency ni aina ya fedha za kidigitali unazoweza kuzitumia kulipa nauli ya basi, kuwalipia marafiki vinywaji bar, kununua chakula sokoni na kadharika. Kwakua Cryptocurrency ni fedha ya kidigitali inaweza kutumwa popote pale duniani.
Unaweza kuwatumia ndugu zako walioko ng’ambo na wao wakaibadirisha fedha hiyo kua fedha ya kawaida(Fiat Currency) ya nchi husika kama Shiringi ya Tanzania, Kenya ama Rwanda kama ambavyo Getpaid.Africa wanakuwezesha kufanya hivyo.
Swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza ni Kama naweza kuitumia cryptocurrency kama ambayo naweza kutumia Benki ama Paypal kutuma, kufanya malipo na kupokea fedha, kuna umihimu gani sasa wa kuijua na kuitumia cryptocurrency?
Kwanza kabisa cryptocurrency ni zaidi ya fedha ya kawaida. Kama nitakavyo eleza hapa chini
Njia za kawaida za malipo kama Paypal, Benki yako unayoitumia na Mobile Money unayoitumia, njia hizi za kawaida unazozitumia kwa namna moja ama nyingine zinamilikiwa na taasisi husika kama kampuni ya simu ya mtandao unao tumia ama Benki unayotumia.
Endapo utataka kutoa fedha ama kutuma fedha ni lazima ufanye maombi kwa taasisi hizi kufanya hivyo kwa niaba yako(hauna total control ya fedha zako). Kwa kifupi no one can stop from using crypto currency.Hakuna mtu atakuzuia wewe kutuma ama kupokea cryptocurrency Miamala haizuiwi
Katika Cryptocurrency hakuna taasisi ama mtu wa kati yeyote anae amaua control ya fedha zako, ni wewe marafiki na jamii mnafanyika kua Benki kwa msaada wa mfuno laini(Software) ambao unamilikiwa na jamii maranyingi(Open source)
Komputer yako ama simu inaunganishwa katika network na komputer za watu wengine katika jamii ya watumiaji wa cryptocurrency husika na maswailiano ya kifedha yanafanyika moja kwa moja pasipo kua na mtu kati!
Ili kutumia ni rahisi pengine kuliko hata kusajili email au account ya facebook ni kitendo cha unadownload application za cryptocurrency husika kupata secret key(ufunguo wa siri) na public key(ufunguo wa wazi) na utakua tayari kutuma na kupokea cryptocurrency.
Je unaswali lolote ungependa kujua kubusiana na cryptocurrency? Ni follow katika account yangu ya twitter @justinecodez hapo nitakua nikia toa mafundisho mbali mbali juu ya teknolojia hii na nyingine kama hizo!
Notes hii Imeandaliwa kwa msaada wa mtandao wa @binance unaoweza kuupata hapa academy.binance.com
Itaendelea…

Makala hii imeandaliwa kwa dhumuni la kuelimisha tu, Isichukuliwe kama ushauri wa uwekezaji kabla ya kufanya uwekezaji wowote fanya uchunguzi wa kutosha

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Justin Peterson Mahinyila👨🏽‍💻🚀

Justin Peterson Mahinyila👨🏽‍💻🚀 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @justinecodez

31 Dec 21
Thread ya kumaliza mwaka 2021 🧵

Learn, Earn and Grow
Jifunze kujifunza(Learn to learn)
Niliwahi kusema kwamba Katika dunia hii ya teknolojia kuna watu wa aina mbili.
1.Makers(Design, Product and Engineering )
2.Hustler(Management, Marketing and sales)
Sasa twende kwenye kujifunza kujifunza...
Jambo la kwanza katika kujifunza ni kujifunza juu ya wewe. Jua ni wapi wewe unafit kwa kuangalia internal traits zako na skills sets zako. . Jua strength zako, ni vitu gani unavifanya kwa urahisi zaidi na kuona matokeo makubwa zaidi.
Ni vitu gani ukivifanya unaenjoy na kupata flow nzuri. Kisha angalia jamii inahitaji nini kwenye vitu hivyo na develop skills katika vitu hivyo.
Read 19 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(