🚀Ndio kama hiki kipindi cha miezi 5 iliyopita. Kulikuwa na kelele nyingi na crypto projects nyingi zilianzishwa.
Ila kuna mtu alisubiri mpaka aone wengine wanapost faida zao ili nae aanza jishughulisha.
🚀BOOM alikula za uso 😁
Tapeli mzuri hapo ambacho angefanya sio kuchimba dhahabu, yeye angeuza vifaa vinavyotumika kuchimba dhahabu.
Maana yake usiende kichwa kichwa kwenye hiyo biashara, soma kwanza uelewa vizuri.
🚀Usiwe mtu wa 100,001 kununua Bitcoin kipindi wenzako wanaongelea sana.
Lazima utapata hasara. Ndicho kitu kimewakuta wengi sasa hivi.
Kipindi cha Gold Rush wewe kaa utulie soma mchezo unavyoenda alafu andaa strategy nzuri ya kuwekeza.
Content nimeiba kwa huyu jamaa 😁
🚀"Buy the Rumors, Sell the News"
"Nunua tetesi, uza habari"
Maana yake ni hii, kipindi kitu kinatangazwa sana ujue kishafika maturity unaweza pata hasara, hivyo siku zote nunua kipindi unasikia tetesi.
🚀 ili kuelewa nitumie kauli ambayo @Raphahustler amewahi kuniambia. Aliniambia
"Ukiona Mtanzania anaisifu sana biashara ni nzuri achana nayo faida yake ni ndogo sana. Biashara ambayo Mtanzania anakwambia uachane nayo ndiyo huwa ina faida kubwa".
Tumia akili yako kuamua.
🚀 Sasa kama umesoma mpaka hapa si ufanye ku RT tweet ya kwanza wengi wajue hii siri ya MATAPELI.
👽Moja ya kikwazo kilisema, "Kuzuia zaidi ya nusu ya uagizaji wa Russia kuingiza teknolojia ya juu nchini mwao, Kuzuia Russia kupata pembejeo muhimu za kiteknolojia, Kudhoofisha msingi wao wa viwanda...
👽...na kudhoofisha matarajio ya kimkakati ya Russia ya kuwa na Ushawishi katika jukwaa la ulimwengu." -mwisho wa nukuu.
Inawezekana ilionekana ni kikwazo kikubwa kwa muda huo. Ila ni kidogo sana ukilinganisha na yaliyofata baada ya hapo.
Au wanavyofanya @CipherdotM na channel yao ya movies. Kwa wengine telegram ni sehemu ya kupakua miziki ya Spotify, YouTube au Apple Music bila kuwa na account katika platform hizo.
Na wengine wanatumia kupakua movies za Netflix ama Amazon Prime
Bahati mbaya channel & bots nyingi zinazotumia majina na content za kampuni kubwa huwa zinafungiwa na telegram kwa sababu ya ukiukaji wa hakimiliki (copyright infringement).
Telegram wapo kulinda maslahi yao na ya kampuni nyingine, hivyo ni lazima wafanye hivi.