Mwenye degree asiye na ajira kuna wakati huwa anaona bora angeishia form four na angefanya shughuli nyingine... Na aliyeishia darasa la saba kutokana na hali ya maisha aliyonayo kuna wakati anaona alipaswa kufika chuo kikuu ili awe na maisha mazuri...
...HUO NDIYO UTAMU WA MAISHA... Uzuri ni kwamba maisha huwa hayana formula maalum...aliyesoma maskini, wakati asiyesoma ni tajiri, na kuna asiyesoma maskini wakati aliyesoma ni tajiri... Mwenye pesa anaumizwa na mapenzi mpaka anatamani kuwa Single....
na asiye na pesa anaachwa kwa sababu hana kipato cha kumudu gharama za mwenzi wake... Unawaza kuacha shule ili ufanye biashara kwa sababu watu wengi wanafanikiwa na kuna mwenzako anawaza kuacha biashara kwa sababu biashara hailipi ili arudi shule akimaliza akaajiriwe.....
. Ingelikuwa maisha yana jibu moja wala tusingeona utamu wake...HUAMINI...? chukua hii wakati wewe unaumiza kichwa ufanye nini ili ufanikiwe kuna mwenzako anatamani angefikia walau hata robo tu ya maisha yako... Ishi kwa amani...ishi kwa upendo,......
ishi kwa furaha...maisha ndiyo haya haya...hakuna formula zaidi ya kuishi maisha yako... Hard work pays...Ni kweli wakati mwingine kwenye maisha kufanikiwa huwa ni bahati, ila ni kwa wale tu ambao wanazielekeza bahati kuja upande wao......
Kuna anayejituma sana lakini miaka nenda rudi hafanikiwi na yupo mvivu na uvivu wake anatusua...kuna anayeweka bidii kubwa kwenye kazi/biashara na bado hafikii malengo...(Utamu wa Maisha)
Usiumize sana kichwa kuishi maisha ya wengine kwenye maisha yako....
bali unatakiwa kutumia muda wako mwingi kuishi maisha yako kwenye maisha yako... Dunia inakuruhusu kupanga na kubonyeza kitufe unachoona ni sahihi na huku ikiwa imeficha "button" ya matokeo...kazi yako kubwa ni kuumiza kichwa kipi ni kitufe sahihi unachopaswa kubonyeza ....
Strategy is about setting yourself apart from the competition...It’s not a matter of being better at what you do it’s a matter of being different at what you do..USISAHAU Mungu ndiye mpaji, mtegemee yeye na fuata miongozo yake. @DrBadiBoy 🏃🏿♂...NAWATAKIA SIKU NJEMA🙏🏾
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Laki tano, Mshahara wa Teller wa Benki hapa mjini Laki Tano, Bei ya IPHONE 6 ya kujishebedulia Snapchat na Istagram Laki Tano, Bajeti ya Mafuta ya SUBARU mwezi Mzima Laki Tano , Bajeti ya HEINEKEN 100 KWA wanywaji wa Pomb HELA FLANI YA MBOGA TU• .... @nyuki_malkia ANAANDIKA✍🏼
Lakini ,Laki Tano hii ina uwezo wa kukodi shamba Ekari 13 pale Kiteto au Mpwapwa na ikakutengenezea Million 15 baada ya Miezi MITATU kwa kulima Matikiti maji.
Laki Tano hii hii ina uwezo wa kununua SIMTANK la lita 5000 ( ndoo 250 za lita 20) ambazo zinaweza....
kutumika kusolve shida ya maji mtaani kwako kwa kuuza ndoo 1 Sh 500 na ukaingiza 125,000 kwa kila SIMTANK unalouza.
Laki tano hii hii inaweza kulima Ekari 2 za Maharage pale Simanjiro na baada ya Miezi Minne ukavuna si chini ya Million 3 ambazo zitaexpand kilimo chako MARA 6..
Msichana aitwae Aida, mwanafunzi wa darasa la tano shule moja ya msingi ilioko huko Ludewa Njombe alikuwa akichukiwa sana na mwalimu wake wa darasa. Aida alikuwa akijitahidi kufanya kila jambo kumfurahisha mwalimu wake lakini mwalimu alizidi kumchukia kuliko wanafunzi wake wote..
Siku moja wamisionari tokea Marekani walitembelea shule ya wakina Akida na wakataka kuwachukua watoto watatu waliopo darasa la tano ili waende nao Marekani wakasome huko na kuwafadhili masomo yao mpaka chuo kikuu....
Kwa kujua hili mwalimu wa darasa la wakina Aida alimweka Aida mwishoni kabisa mwa darasa akae huko ili watakapoingia wale wafadhili wasipate kumchagua.
Wamisionari walipoingia darasani, waliongea na wanafunzi na mmoja wao akaenda nyuma ya darasa.