Dr. Badi Profile picture
Feb 9 11 tweets 3 min read
Laki tano, Mshahara wa Teller wa Benki hapa mjini Laki Tano, Bei ya IPHONE 6 ya kujishebedulia Snapchat na Istagram Laki Tano, Bajeti ya Mafuta ya SUBARU mwezi Mzima Laki Tano , Bajeti ya HEINEKEN 100 KWA wanywaji wa Pomb HELA FLANI YA MBOGA TU• ....
@nyuki_malkia ANAANDIKA✍🏼
Lakini ,Laki Tano hii ina uwezo wa kukodi shamba Ekari 13 pale Kiteto au Mpwapwa na ikakutengenezea Million 15 baada ya Miezi MITATU kwa kulima Matikiti maji.

Laki Tano hii hii ina uwezo wa kununua SIMTANK la lita 5000 ( ndoo 250 za lita 20) ambazo zinaweza....
kutumika kusolve shida ya maji mtaani kwako kwa kuuza ndoo 1 Sh 500 na ukaingiza 125,000 kwa kila SIMTANK unalouza.

Laki tano hii hii inaweza kulima Ekari 2 za Maharage pale Simanjiro na baada ya Miezi Minne ukavuna si chini ya Million 3 ambazo zitaexpand kilimo chako MARA 6..
zaidi ya Mwanzo na Kuexpand Kipato chako mara 6 zaidi ya Mkupuo wa kwanza!

Laki Tano hii ina uwezo wa kulima Matikiti Maji Ekari 2 na zikakupa si chini ya Milion 2 na nusu baada ya SIKU 90!

SHIDA NI: Kila mtu anataka akae mjini AONEKANE SAMAKI SAMAKI, aonekane Muvi Mlimani City
Apost akiwa Escape 1, Apige Snapchat akiwa 777 ... Kila mtu anataka aonekane MDARISALAMA... Yuko mjini
🤔
MDADA yupo radhi aishi mjini kwa kuuza mwili wake kuliko kwenda Ruaha Mbuyuni Kuinvest kulima Vitunguu... Ataonyesha saa ngapi CROP TOP yake Mpya kutoka YAHYA BOUTIQUE?....
Sisitaduu alime vitunguu?? Hapana, bora atafute Danga la Laki 2 akalale nalo!! Big Up kwa wadada wote wajanja WALIOINVEST KWENYE KILIMO., kila Jumamosi wakati wewe unaona sifa kwenda HIGH SPIRIT LOUNGE Wadada wenzako wako RUVU wamekodi mashamba wanalima mpunga, unashangaa Huyu...
mdada anafanya nini kumbe mwenzio analima.

Utaendelea kuwashangaa wenzio wanatajirika na kudhani kila mtu anauza UNGA hapa mjini, Kilimo ndio unga mpya...
FIKILIA NJE YA KUKAA MJINI NEDA VIJIJINI HUKO FURUSA ZIPO
sasa hivi unalalamika biashara haziendi wakati bush....
wameivisha vyakula na hawana maduka huko wanasafiri umbali mrefu hawana mafundichelehani hawana salon hawana sehemu za kuchaji simu na pango lao la nyumba ni elfu20 kwa mwezi huoni hizi fursa umekalia kusukumana kwenye mwendo kasi......
Moja ya sababu kubwa inayotoa nafasi wadada wengi kumkosea MUNGU na kuingia dhambinI ni kukosa kujituma kutafuta hela zao wenyewe ..usipojituma katika harakati za kupata chochote kitu uwezi kuwa jeuri kustaimili mikiki ya ushawishi wa wanaume kwa vijizawadi vidogo vidogo
*ANZIA HAPO HAPO*

Wakati wewe unasubiri kuanza, kuna watu ambao wanauwezo mdogo,
mtaji mdogo kuliko wewe na wameshaanza kupiga hatua lakini wewe unasubiri uwe na kila kitu.
Hatua moja huanzisha nyingine,
lifti huwapata walioko njiani sio nyumbani kwenye sofa.....
Wewe ni kiongozi Wa maisha yako, na kila siku ni zamu yako kuhakikisha unakuwa bora zaidi ya Jana.
Kumbuka kuwa hakuna mwisho bila mwanzo,
ili ufikie hatma yako huna budi kuanza Leo kama sio sasa hivi.
kama yupo wakukupa support!!
MSAADA UTAKUKUTA NJIANI •

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Dr. Badi

Dr. Badi Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @DrBadiBoy

Feb 8
Msichana aitwae Aida, mwanafunzi wa darasa la tano shule moja ya msingi ilioko huko Ludewa Njombe alikuwa akichukiwa sana na mwalimu wake wa darasa. Aida alikuwa akijitahidi kufanya kila jambo kumfurahisha mwalimu wake lakini mwalimu alizidi kumchukia kuliko wanafunzi wake wote..
Siku moja wamisionari tokea Marekani walitembelea shule ya wakina Akida na wakataka kuwachukua watoto watatu waliopo darasa la tano ili waende nao Marekani wakasome huko na kuwafadhili masomo yao mpaka chuo kikuu....
Kwa kujua hili mwalimu wa darasa la wakina Aida alimweka Aida mwishoni kabisa mwa darasa akae huko ili watakapoingia wale wafadhili wasipate kumchagua.

Wamisionari walipoingia darasani, waliongea na wanafunzi na mmoja wao akaenda nyuma ya darasa.
Read 9 tweets
Feb 8
TAFAKARI LEO

Mwenye degree asiye na ajira kuna wakati huwa anaona bora angeishia form four na angefanya shughuli nyingine... Na aliyeishia darasa la saba kutokana na hali ya maisha aliyonayo kuna wakati anaona alipaswa kufika chuo kikuu ili awe na maisha mazuri...
...HUO NDIYO UTAMU WA MAISHA... Uzuri ni kwamba maisha huwa hayana formula maalum...aliyesoma maskini, wakati asiyesoma ni tajiri, na kuna asiyesoma maskini wakati aliyesoma ni tajiri... Mwenye pesa anaumizwa na mapenzi mpaka anatamani kuwa Single....
na asiye na pesa anaachwa kwa sababu hana kipato cha kumudu gharama za mwenzi wake... Unawaza kuacha shule ili ufanye biashara kwa sababu watu wengi wanafanikiwa na kuna mwenzako anawaza kuacha biashara kwa sababu biashara hailipi ili arudi shule akimaliza akaajiriwe.....
Read 8 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

:(