Kwa kifupi, mabadiliko hayo yalianza mwaka 1979 yaliyopelekea kuunzishwa na kuingizwa kwenye Katiba Mahakama ya Rufani baada ya kuvunjika kwa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Mabadiliko ya pili yalikuja Mwaka 1980 ambayo yalilenga kupunguza kero mbalimbali za muungano.
Mwaka huo huo kulitokea mabadiliko ya tatu ambayo yalifafanua mfumo mzima wa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar, serikali yake pamoja na Baraza la Wawakilishi. Mabadiliko ya nne yalitokea mwaka 1982 yakiwa na kusudio la kuboresha uteuzi wa wakuu wa Mikoa.
Mwaka 1984 yalitokea mabadiliko mengine ya tano na kuingiza tamko la Haki za Binadamu kwenye Katiba ya Mwaka 1977. Mwaka 1990 kulitokea mabadiliko mengine mawili katika nyakati tofauti ya sita na saba na kuanzisha tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC)
kuelekea kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi na namna ya kupata mgombea mmoja katika kiti cha Urais wa Zanzibar.
Katika mwenendo huo huo mwaka 1992 kupitia mabadiliko ya nane mfumo wa vyama vingi ulianzishwa ukiambatana pamoja na kuanzishwa kwa wabunge wa viti maalumu vya wanawake kufikia asilimia 15 kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano na viti vitano kwa Baraza la Wawakilishi.
Mwaka huo huo pia kulitokea mabadiliko ya tisa ambayo yaliweka ndani ya Katiba njisi ya kumwondoa Rais madarakani kwa kura ya Bunge na kuanzisha nafasi ya Waziri Mkuu Kikatiba. Mwaka 1993,ikiwa ni mabadiliko ya kumi uchaguzi wa Madiwani uliwekwa pamoja na uchaguzi wabunge na Rais
Mabadiliko ya kumi na moja yalitokea mwaka 1994 kwa kuanzisha nafasi ya mgombea mwenza na kuondokana na nafasi ya moja kwa moja ya Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais.
Mabadiliko ya kumi na mbili yalitokea mwaka 1995 ambayo yaliweka ukomo wa Rais wa vipindi viwili vya miaka mitano mitano na kuanzisha utaratibu wa kuwaapisha viongozi wa juu kuanzia Rais wa Jamhuri ya Muungano, Makamu wake, Waziri Mkuu na Rais wa Zanzibar.
Mwaka 2000 kulitokea mabadiliko mengine kisiasa kwa kuanzisha ushindi wa kura zozote zile zinazozidi wengine tofauti na mfumo wa zamani wa mshindi kupata angalau asilimia 51; na pia kumwezesha Rais kuteua watu 10 kuwa wabunge.
Mabadiliko ya mwisho (kumi na nne) mpaka sasa ni yale yaliyotokea mwaka 2005 kwa kuongeza idadi ya viti maalumu kufikia asilimia 30 na kuboresha haki mbalimbali ikiwa ni pamoja na haki ya kutoa maoni, kushiriki na watu wengine na haki ya kuabudu.
Juma Duni Haji: Wapinzani tusipoungana CCM itaendelea kutawala miaka 100 ijayo. Alichoongea @zittokabwe Zitto ndicho @TunduALissu alichoongea na Rais @SuluhuSamia walipokutana nchini Belgium.
Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema endapo Wapinzani hawataamka kutoka usingizini na kuungana basi CCM itaendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 100 ijayo.
Mzee Duni amesema alichokiongea Zitto Kabwe pale Dodoma mbele ya Rais Samia ndio hicho hicho alichokiongea Tundu Lisu na Rais Samia kule Ubelgiji hivyo tofauti ni sehemu tu ya kuongelea.
In comparison, the US has 5,428 while France has 290 and the UK has 225.
The Bulletin of the Atomic Scientists says the Russian arsenal includes 4,447 warheads of which 1,588 are deployed on ballistic missiles and at heavy bomber bases.
It says there are an "approximate additional 977 strategic warheads, along with 1,912 nonstrategic warheads" being held in reserve.
Rais wa Belarus Alexander Lukashenko amejipa madaraka zaidi katika kura ya maoni iliyofanyika siku ya Jumapili.
Tume ya uchaguzi mjini Minsk ilisema asilimia 65 ya watu walipiga kura katika zoezi hilo, wakiridhia mabadiliko ya katiba huku asilimia 10 ikipinga hilo.
Mabadiliko ya katiba yananuiwa kumpa rais Lukashenko aliyeiongoza Belarus tangu mwaka 1994, muda zaidi madarakani na kumuhakikishia kinga ya maisha dhidi ya kufunguliwa mashitaka pindi atakapoondoka madarakani na kuachana na siasa.
Mabadiliko hayo ya katiba pia yataridhia wanajeshi wa Urusi na silaha za nyuklia kuwepo nchini Belarus katika siku za usoni.
The Maasai, one of East Africa’s long-standing Indigenous People, are facing eviction to make more space for Ecotourism and trophy hunting.
In April 2021, the Tanzanian government announced plans to relocate over 80,000 residents – most of them Indigenous Maasai – from the Ngorongoro Conservation Area (NCA) in Tanzania, a breathtaking landscape rich in wildlife bordering Serengeti National Park.
The NCA was declared a World Heritage Site by @UNESCO thanks to its largely intact nature, but despite centuries of Maasai stewardship, they are now facing having their livelihoods destroyed under the guise of conservation.
@ChademaTz’s Chairman Mr. Mbowe was arbitrary arrested in the early morning hours of July 21, 2021, ahead of a planned party meeting on constitutional reform in Tanzania. gofundme.com/f/SupportFreem…
Mr. @freemanmbowetz was arrested without a warrant, driven for 18 hours, over 1000 kilometers, from Mwanza to Dar es Salaam, and held in incommunicado detention for five (5) days. During this time, he was denied access to a lawyer and to his family.
On July 26, he appeared before the Kisutu Magistrate Court where he was charged with conspiracy and the provision of funds to commit terrorist acts under Tanzania’s Economic and Organized Crime Control Act and its Prevention of Terrorism Act, respectively.