Katika vitu nilivyojenga tabia ya kufanya kila asubuhi kimojawapo ni kawaida ya kuliangalia jua wakati linapochomoza. Sunrise! Na kuvuta pumzi ndefu katika mapafu yangu na kushukuru kuwa I'M ALIVE TO SEE ANOTHER SUNRISE…….
Na utakubaliana na mimi kuwa hakuna siku jua #limegoma kuchomoza. Every morning jua lina show up kazini. Halitegi wala halichelewi wala halilalamiki kwa nini sehemu nyingine limezibwa na mawingu na sehemu zingine limezibwa na milima mirefu mpaka linachelewa kuonekana…..
Haijalishi nani atakayeliona na nani ambaye hataliona siku hiyo. Haijalishi nani atasikia joto lake na nani hatasikia joto lake nk. Lenyewe litachomoza na kuwaka na kutoa nuru na joto na uhai. Jua linajua influence yake haipo kwenye kuonekana. Kila kiumbe "kinafeel" uwepo wake.
Kama binadamu wasipoona umuhimu wake ndege wa angani na wadudu na wanyama wa kufugwa na wa mwituni hakika wataruka na kucheza na kuimba kwa ajili ya uzuri wake. Na hata hao nao wasipoimba na kucheza jua litachomoza vile vile. It's will always show up for work without miss. …..
Wewe pia jifunze kufanya kazi yako. Show up for work every day.
Kama umeajiriwa SHOW UP on time and shine like the sun.
Kama umejiajiri SHOW UP on time and shine like the sun.
Kama ni mfanyabiashara SHOW UP on time and shine like the sun…..
Jua linashine the same way. Mawingu hayalizuii kushine. Wewe pia watu wasikuzuie kushine. Wala changamoto zisikuzuie kushine. Jua halilalamiki kwa nini mwezi una kazi "chache". Linajua mwezi unashine with a borrowed radiance.Hivyo linawaka kwa nguvu ili na mwezi nao upate mwanga
Watu wengi tuna uwezo wa kushine mno katika shughuli zetu. Lakini we don't show up on time na hata tukishow up on time kwenye shughuli zetu tunaanza na umbea na kupoteza muda kwanza.
Jua linajua umuhimu wake ndo maana halichelewi…..
Ukiona unachelewa kazini na ukifika unapoteza muda kwanza basi ujue HUJAJUA UMUHIMU WAKO hata kama una cheo audio title kubwa. Na usipotatua tatizo hilo kwanza utapoteza potential yako kubwa bila kujua.
SHOW UP and shine like the sun!…
Sina mengi leo. Tambua UMUHIMU WAKO then nenda kafanye kazi yako.
SHOW UP AND SHINE LIKE THE SUN and everything will change
Zaidi na zaidi Njoo DM IKOWAZI niandikie “SHOW UP” ujifunze angalau mwongozo kidogo wa ndoto zako na maisha kwa ujumla
Good luck🙏
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Kuna mahali huwezi kufika kiuchumi kwa kufanya kazi tu kwa bidii. Bidii yako ni muhimu lakini siyo ticket PEKEE ya kukupeleka katika mafanikio makubwa kiuchumi. Kuna vingine vingi nje ya bidii. Unyenyekevu na kujishusha….
Kujifunza vitu vipya ili ujae maarifa...
Ku-take risks mapema..
Kujifungamanisha kiroho (success is spiritual)... Kuwa na washauri (mentors)... nk.
Hebu jipime kama umeshaanza kuwa na hivyo vitu in your life…..
Kuna siku nimewahi kuwaambia hapa Henry Ford. Ford Motors. Alianza biashara ya kutengeneza magari kwa mtaji wa $28,000. Na pesa zote ALIKOPA. Unaelewa ukubwa wa kampuni ya Ford leo? Leo kampuni ina thamani ya $56 billion na mapato ya $158 billion kwa mwaka.
Kuna dada mmoja kutoka MOSHI (Kilimanjaro) alikuja DM akasema anataka kuanzisha mgahawa wa vyakula mbali mbali vya asili. Wazo zuri kabisa. Dr Badi Nahitaji Ushauri Mzee Wangu,Kwanza swali la kwanza kumuuliza lilikuwa UNAJUA KUPIKA?.....
Akasema ndiyo lakini sitaweza kupika peke yangu vyakula vyote hivyo wakati nafungua biashara.
Ushauri kwake ukawa: nafikiri usianze na kufungua mgahawa huko naona ni mbali sana. Kwa nini usianze kupika kidogo tu nyumbani kwako ambapo...
hutakuwa na gharama ya kodi ya huo mgahawa mpya kwanza. Wala hutakuwa na mishahara ya kulipa. Wala hutakuwa na gharama za kununua viti vya kisasa. Anzia nyumbani ulipopanga. Pika ambia vijana mtaani waje kula..
JIFUNZE KUPITIA MAMA HUYU ALIEJIFUNGUA MAPACHA (soma)🥺😰
Mama mjamzito alitoka nyumbani akaingia msituni kuchota maji kisimani, mara ghafla akaanza kujisikia maumivu sehemu za kiuno akaamua asogee kwenye kivuli…..
Maumivu yalizidi kuongezeka na akaja kugundua kuwa ni uchungu na tayari alikuwa amefikia kujifungua. Aliangalia labda kuna mtu karibu aweze kumsaidia kwa bahati mbaya hakuona hivyo katandika chini nguo aliyo kuwa amefanya kama kata kichwani na kuanza kujifungua….
Alijitahidi akajifungua mtoto wa kwanza kabla hajapumzika akaanza kuhisi maumivu tena kumbe alikuwa anajifungua mapacha. Alijitaidi sana na kwa ujasiri mkumbwa akafanikiwa kujifungua mtoto wa pili….
Ukimchukua mtu ukamfundisha kwa muda wa miezi 12 tu mambo muhimu kuhusu mafanikio kama vile kufanya kazi kwa bidii, kutokata tamaa, kuwa mkweli, kuwa mwaminifu, kutofuja pesa na kuwa na matumizi ya kiuwekezaji, kuwa na malengo, kuwa na ndoto kubwa........
Hushangai wasomi wengi waliokuwa wanasoma topic mbili mbele na kutandika "A" kibao na kufungana namba za kwanza mpaka tatu kwenye matokeo ya mitihani wengi hawajulikani walipo na asilimia kubwa wanategenea KUPEWA ajira na siyo KUTENGENEZA ajira?...
Na naandika haya nikijua walio katika ukurasa huu ni watu wanaosaka mafanikio yenye tija kwa taifa. Siyo wanaotaka kujenga nyumba na kumiliki RANGE ROVER ya blue😄. Hata mimi napenda Range Rover pia lakini hata nisipoipata lakini nikaona kuna watu 10 tu ambao makala....
Kama huna mpango wa kufanya biashara au hutaki kufika mbali kibiashara Usisome #Thread itakuboa
Utasikia watu wakisema "dah huyo jamaa ana akili ya biashara sana" au "yule dada ana akili ya kibiashara sana". Au "huyu jamaa hana kabisa akili ya kibiashara....
Hii AKILI YA KIBIASHARA ni nini hasa? Well, Business Acumen ni uwezo wa mtu kufanya maamuzi ya HARAKA na YALIYO SAHIHI kibiashara Yaani maamuzi yake yanakuwa ya haraka (not slow) na wakati huo huo yanakuwa maamuzi sahihi. Mpaka hapa utagundua ni watu wachache wana uwezo huo. ..
Kumbuka nimesema maamuzi ya HARAKA... sijasema maamuzi ya PUPA ya KUKURUPUKA. Kuna tofauti kubwa sana.
Kama huna utashindwa tu biashara hata kama unaiombea biashara yako kwa Mungu kutwa mara tatu kama dozi. Mungu hafanyagi mazingaombwe. Mungu anaoperate kwa KANUNI.....
Ukitaka kujenga maisha mazuri ya #baadaye halafu unataka uyajenge ukiwa umerelax na ukiwa "comfortable" basi unachojenga siyo maisha ya baadaye. (Kama hunielewi ngoja hiyo baadaye ikifika utaelewa tu) Jitie kichwa Ngumu eti hujitambui….
Business Empires na lasting success katika field yoyote iwe siasa au diplomasia, ministry, biashara au uwekezaji, michezo na burudani, mahusiano na familia nk haijengeki mpaka ukubali kwanza maisha yako yawe UNCOMFORTABLE a lot!…….
Chunguza wote waliofanikiwa katika jambo lolote utaona hakuna aliyekuwa anaamka saa moja asubuhi mara saa mbili. Ni saa kumi au kumi na moja alfajiri. Au hata saa tisa kabisa mtu yuko macho tayari…..