Madinidotcom Profile picture
Aug 23 37 tweets 13 min read
SAKATA LA BILIONEA JEFF BEZOS NA KING SALMAN WA SAUDIA.

Did you know unaweza kuhack an Iphones? Unafahamu ndicho chanzo cha tajiri namb 1 duniani Jeff Bezos kuachwa na mkewe?unafahamu aliyefanya hilo tukio ni King Salman kiongozi wa Saudi Arabia? #PICHALINAANZA Image
Kuna imani kwamba iphones zina strong security ni ngumu kuichezea,yes inawezekena bhanaa lakini kudakwa ni njenje.Sasa hacking inahitaji vitu flani ambavyo sometimes ni teknolojia ghali au lazima uwe na connections kali .
Juzi kati ikatangazwa BREKING NYIUZ Image
WhatsApp imeishtaki kampuni flani inayodevelp computer programs kutoka Israel. Sababu inashtumiwa kumpa Paul Kagame wa Rwanda program ya computer iliyowezesha kudukua "WhatsApp conversation” za wapinzani wa serikali ya Rwanda wanaoishi uhamishoni wanaojiita 'wanaharakati' Image
na hii kusababisha msala wa kupotea kwa wahusika kwenye Party ya kimyakimya.
Hii taarifa iliripotiwa na BBC na haikujadiliwa sana,lakini kuna mwanangu wa IT aliniambia its really hard kudukua maongezi whatsapp sababu database ziko strongly encrypted na location wise ziko mbali. Image
Trustory kuna program Rwanda inadaiwa wanayo inayowezesha kudukua mawasiliano ya wapinzani wa serikali tena walioko nje ya Rwanda ili kujua mikakati inayoendelea na nini wanapanga!
Baada ya almost 5 yrs za kudukuliwa na wapinzani kuanza kufa nje ya Rwanda na walikuwapo ndani, Image
WhatsApp wakasema "ngashtuka machale kundesa" something is wrong somewhere, kupeleleza ndo wakagundua its security walls are not strong kiiivo.Ukuta wao wa ulinzi kidigitali waliohisi ni mzito kupenya risasi ,kumbe wahuni wanajua jinsi ya kuutekenya na kutoboa kwa bisibisi. Image
Ukiskia INKRIPTED au SEKIYURITI WALL unaweza jiuliza ndo nini?Well,utaelewa soon acha ninukuu sehemu ya taarifa hii kutoka #BBCSWAHILI ya Tar 9november 2019 .
"WhatsApp imeishutumu Kampuni ya NSO Group kwa kuweka programu kwenye simu karibu 1,400 kwa nia ya kufanya upelelezi... Image
"Programu yake ya Pegasus inaweza kufanya kazi hiyo hata ikiwa mbali.
Idadi kubwa ya watu wanaofuatiliwa wanadaiwa kuwa raia wa Rwanda.
Kampuni ya NSO Group imekana madai dhidi yao, ikisema kuwa programu ya Pegasus imekuwa ikiuzwa kwa wateja waliohakikiwa na si wenye nia mbaya" Image
Yes,Hiyo program PEGASUS na utajiuliza kwani inafanyaje kazi?na INKRIPTED MESEJI ndo nini?Well,ukifungua whats app kwenye simu yako,kwenye kila mtu uliyechati naye,utaona pale juu kuna maandishi fulani yanasomeka messages and calls in this chart are end to end encrypted. Image
Kuna vimaneno vingi kwa lugha ya yai,lengo likiwa kukuhakikishia kwamba UPO SALAMA na kwamba hata wao Whats app wenyewe,hawana uwezo wa kusoma Meseji zako.Hii inafanyaje kazi?Well,Hii ni teknolojia ambayo iligunduliwa juzi kati.Kuielewa zaidi fuatilia hapa audiomack.com/madinidotcom/s…
Ndio maana whats app wamekuwekea kwa kujiamini hiyo meseji kwenye kila convo kwamba UPO SALAMA.CHA KUSHANGAZA ni baadaye Whats hao hao wanaibuka na kulalamika kwa Izrael nchi ya ahadi acheni umang’aa, kuna wahuni wametupiga na kitu chenye ncha kali. Image
Means kuna wahuni wameweza kuzisoma hizo code na kuelewa zimebeba nini.
Wahuni wenyewe wanapatikana kipande cha NCHI YA AHADI Israel,kampuni mtuhumiwa ni NSO GROUP na tayari washafanya biashara na wameuza hiyo UARABUNI na AFRICA na mnunuzi ni jirani yetu. Image
Tho rais paul kagame alikanusha lakini akasema anatamani angekua nazo awaonyeshe.Kagame alinukuliwa na bbc akijibu mchongo huu.
Virusi wa aina hii walianza kutumwa kwa simu za wahusika na Ndo Whats app kufuatilia zaidi hiyo virus aligorthim (ni kama fingure prin ya computer), Image
ikaonesha imetengenezwa Israel na jina la kampuni NSO grup ,hence whatsapp imefungilia kampuni hiyo mashtaka.Kama ulivyosikia wanasema wao kweli wana hiyo teknolojia lakini wanawauzia watu salama tu,so swali ni watu salama ndo kina nani? Image
Kwasabab kwa mujibu wa sheria nyingi duniani ni kitu kisichoruhusiwa kuhack mawasiliano ya mtu yeyote.Yaani kumfuatilia bila yeye kujua.
Wakati story ikiendelea kumbuka inapatikana youtube hapa

#PICHALINAENDELEA
Hata mahakamani huwezi kutumia ushahidi uliopatikana kwa njia ya udukuzi,ndio maana njia za kisheria hufanyika kwa makampuni husika kuombwa data za mtuhumiwa. So wengi wenye hofu kudukuliwa, hutumia whatsApp kuwasiliana mambo yao kwasabab ya hiyo teknolojia END TO END ENCRYPTION. Image
Uwepo wa program kama PEGASUS it means sio njia salama kiivyo.Hata hivyo program za kufanya kazi kama hizi sio hela ndogo.
Mpaka sasa TELEGRAM ndo unaotajwa kama mtandao salama zaidi wa kijamii kwasabab system yao haihifadhi data ya watumiaji popote pale.
So kinachosemwa kikifika kwa mhusika hakiachi ushahidi au copy popote kwenye internet labda wakutegee wakati mnawasiliana au kuchat .Hawa virusi ni codes maalum ambazo zinaweza kufikishwa kwenye simu au kifaa chako kwa njia mbalimbali. Image
Njia maarufu ni ya meseji(Social enginering hacking) na kuna ile ya kutumia vifaa kama Chaja ya simu,mtu anakubadilishia chaja ya simu,unapewa waya maalum ambao unafanana na chaja yako lakini una kazi zaidi ya hyo.utaelewa zaidi ukifuatilia series yetu👇 audiomack.com/madinidotcom/s…
Wakati rais Kagame anajibu shutuma hizi alisema hizi teknolojia ni bei mbaya sana,vinginevyo angeshakuwa nayo awafuatilie vizuri maadui wa rwanda.Kwenye taarifa ya BBC waliripoti.nanukuu angalia screenShot 👇 Image
Mwisho wa kunukuu unagundua alikanusha kuwa nayo lakini maelezo yake yanaonesha anafahamu uwepo wa teknolojia ya aina hii na anaitamani.TUNAFIKA kwenye sakata lenyewe.Najua nimekuzungusha sana lakini lengo ni upate context nzima ya mada husika. Image
Sakata lenyewe ni hili..
BILIONEA on top 3 ya watu wenye mkwanja duniani, recently baada ya kupata hasara ya 0.7% drop kwenye shares za Amazon ndugu Jeff Bezos,hajakaa vizuri mawasiliano yake yakadukuliwa mpaka ikapelekea kuvunjika kwa ndoa yake na talaka juu.. #PICHALINAENDELEA. Image
Kutoka kwa mke wake wa zaidi ya miaka 20 MacKenzie Bezos iliyomcost matrillion ya hela hii ni sababu nyingine kwanini ameshuka pia.
Ikasemekana hela aliyopata huyu dada kwenye talaka hiyo imemfanya kuwa mwanamke tajiri wa nne duniani according to forbes. Image
Kwenye episode iliyopita tulizungumzia jinsi kampuni ya AMAZON inavyohusishwa na kuuza teknolojia hatari kwa idara za ulinzi za marekani na Israel,sasa boss mwenye kampuni alidukuliwa na kuvujishwa kwa information sensitive ikiwa ni pamoja na picha zake za koneksheni.. Image
na message zake na mchepuko wake, na ndoa ikaishia hapo .by the way Bi.Mackenzie amepewa pia 4% ya shares za amazon ( natamani nikueleze thamani yake ila go google)Tusije kumuonea gere mama wa watu bure, alishiriki kuzitengeneza na wanasema marekani Talaka ni ghali kuliko harusi.
So kama ulisikia kuachwa kwa huyu bwana,shida ilikuwa hii hapa na picha halijaishia hapo.mpya zikaja baada ya uchunguzi mzitoo wa wapelelezi binafsi walioajiriwa na Bezos wamegundua kwamba aliyehack Iphone ya Bezos ni Muhammed Bin Salman The current CROWN PRINCE wa Saudi Arabia. Image
PICHA LINANOGA ,MBS alituma Message yeye mwenyewe kwa Bezos ikiwa na link ya viruses hao walifanikisha udukuwaji huo and the rest is history.Hizi ni zile link ambazo wala hawahitaji uzifungue ndo zikuathiri, ila ikishafika tu kwa simu yako,imeshakufungisha ndoa na wadukuzi. Image
Bin salman ni mtoto wa kifalme ambaye amekulia kwenye hela na mzee wa MATUKIO kwasababu ameponea chupuchupu kwenye ule msala wa mwandishi wa habari aliyeuwawa ndani ya ubalozi wa Saudi arabia uturuki Jamal Kashoggi.
Kulikuwa kuna mpaka ushahidi wa picha via CCTV.
Kashoggi akiingia kwenye ubalozi huo na hakuonekana akitoka, baadae ikasemekana aliuwawa mule ndani kwa orders toka kwa crown prince MBS.Lilikuwa sakata la kukata na shoka duniani but ikazimwa na mtoto wa Kashoggi alionekana ikulu na kupiga picha akipeana mikono na Salman. Image
Huyu Kashoggi ndo sababu ya kwanini MBS alifanya alichokifanya ,kuhack simu ya BILIONEA ambaye walikua washkaji wanaotembeleana.
Jamal Kashoggi ameingiaje hapa?

Kama nilivyokwambia walikuwa washkaji na kuna wakati walitembeleana na KING SALMAN alimwalika Bezos kwa mazungumzo, Image
ni kipindi ambacho gazeti la WASHINGTON POST ambalo linamilikiwa na Bezos lilikuwa linaandika makala za kuponda uongozi wake na impact yake ni kubwa duniani.Mwandishi alikuwa ndugu JAMAL KASHOGGI. So MBS alijua Bezos ana uwezo wa kumtuliza mwajiriwa wake anajifanya hausiki. Image
Akaona dawa ya mnafiki ni kumalizana naye kinafiki.
Ni kama Kondeboy alivyomshukutumu CHIBUDEE kuwaruhusu BABA LEVO na wenzake wanamtukana kila siku na wameajiriwa kwenye media ya CHIBUDEE ,so angeweza kumwambia aache .Nadhani mlimsikia ndugu jeshi akitoa ya moyoni. Image
baada ya mazungumzo yao,Bezos na King Salman walibadilishana namba na ndipo akamtumia file hilo la video ambalo lilipoingia tu kwenye simu ya Bezos mchezo ukawa umeisha.Baada ya siku kadhaa marafiki wa karibu wa Jamal Kashoggi walitumiwa kirusi kama hicho kwenye whats app zao Image
na siku kadhaa mbele Jamal Kashoggi akauawa ndani ya ubalozi wa Saudia.Baadaye iligundulika kudukuliwa kwa Marafiki wa karibu wa Kasshoggi kulisaidia sana kujua movement za kashoggi na hatari yake kwa utawala wa UFALME WA SAUDIA. So wakamuwahi Image
Before taarifa za kudukuliwa kujulikana na yeyote,Mr.MBS mwenyewe alimtumia JEFF picha ya mwanamke yenye maneno ya kuchekesha (meme) Ikisomeka.
“arguing with a woman is like reading the software license agreements,in the end you have to ignore everything and click “I agree” Image
Kwa kiswahili "kubishana na mwanamke ni kama kusoma vigezo na masharti kwenye software ,mwishoni itabidi uachane na yote na kubonyeza "nakubali"

Picha ya mwanamke iliyokuwa kwenye maneno hayo alikuwa ni mchepuko wa Jeff wa wakati huo na hakuna aliyekuwa anamjua.🧐🤠
UNGEKUWA JEFF ungefanyaje?🤠Umeona pia BIDEN juzi kasahau mauaji ya Kashoggi na kakutana na MBS sebuleni kwake.Sakata halijaishia hapo.Ifuatilie full story hii youtube .

Tulikuahidi #TaarifaNaamaarifa Image

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Madinidotcom

Madinidotcom Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @madinidotcom

Aug 25
SAKATA LA MAUAJI YA RAIS WA CONGO.
🧵🔥

#PichaLinaanza Hili ni picha kuhusu tukio la kuuawa kwa rais wa Congo Laurent-Désiré Kabila,ni kama movie la kutisha lakini BASED ON TRU EVENT. Mwamba ambaye ni Stelingi wetu anaitwa RASHIDI MIZELE,baadaye mastelingi watabadilika. Image
hii ndio story,ambayo tulikugusia episode zilizopita za rais aliyeingia mkataba maarufu wa kuigawa Congo MKABA WA LEMERA.HADI leo Congo juzi kati imekubaliwa kuwa sehemu ya africa mashariki,ni nchi yenye historia nyeusi.Licha ya kwamba imebarikiwa madini... Image
ANZIA HAPA......agiza popcorn kabisa

Acha turewind mkanda ,Lets go back hadi siku ya TUKIO lenyewe la mwamba aliyempiga risasi kadhaa Rais wa nchini na akatoka zake mbio akitarajia kutoroka.Huyu ndo mwenye siri hii nzito ya KWANINI alimuua rais wa Congo Laurent-Désiré Kabila Image
Read 20 tweets
Jul 11
Nni kinaendelea SRILANKA? Sehemu 2

Uzi🧵🙌

#PichaLINAENDELEA anzia post ya jana.

Ankali GOTABAYA alipoingia madarakani 2019 aliahidi kodi za kibwege atazifutilia mbali,wananchi wakaona “eheee,huyu ndo mwaisa mtu mbadi wetu”km ujuavyo ujuavyo kila mtazamo hujengwa na historia Image
so shida ya wana SRI LANKA ilikuwa kuona nchi inarudi kusimama kwa miguu yake,mambo ya wewe ni nduguyakeNani wala hawajali sana. Alipoingia ankali GOTABAYA alionekana ni mtu wa kusimamia maneno yake, akapitisha panga la kupunguza kodi kwa wananchi ,kampeni ambayo ilipunguza 25% Image
yaani robo ya pato la taifa ili wananchi wafurahi.Wakati anafanya hili ni wakati ambao alikuwa akijiandaa na uchaguzi mkuu.Watalamu wa kiuchumi hawakushauri hili lakini yeye alisema anataka biashara ndogondogo za wananchi wanyonge wa hali ya chini zichipue,so wasilipe kodi . Image
Read 25 tweets
Jul 10
Nini kinaendelea SRILANKA..?

Uzi🧵

#Trustory labda umeshaona story nyingi kuhusu SRI LANKA na labda hujui tumefikaje hapa na ndiyo sababu unasoma hapa,au unajiuliza hivi nchi inawezaje ku collapse kiasi cha kukosa hela?kwanza nchi inakosaje hela?inamaana noti zimepotea? Image
Mwingine hata huelewi SRI LANKA yenyewe ndo wapi. So twende nikupe historia simpo yenye MASUALA Mazima ya uchumi ndani yake. Sri lanka ni kisiwa kipo kusini mwa INDIA zamani sana inasemekana kulikuwa na barabara kabisa kutoka INDIA hadi SRI LANKA ya sasa Image
lakini #Trustory maji yalifukia hilo eneo na sasa wana mpaka wa kwenye maji,ni sawa na kusema SRI LANKA zamani ilikuwa #peninsula na sasa ni kisiwa, ukiangalia watu wake wanafanana na jamii ya wahindi.Ushaskiaga wahuni wanaitwa Tamil Tigers? ImageImage
Read 25 tweets
Jun 23
UMESIKIA MENGI KUHUSU MGOGORO WA #RWANDA NA #DRC LAKINI PENGINE UNASHINDWA KUELEWA WTF IZ GOING ON?🧐🤭
Kuna njia mbili za kuelewa,ya kwanza ni usome Uzi ufuatao.
Pili usikose show'Jmosi hii eastafricaradio.com
History iliyorahisishwa na #SabulaMaarifa wa #MadiniDigital.
Iko hivi!! Kitambo hicho Rwanda iliwahi ku-operate chini ya mwamvuli wa KIFALME uliokuwa ukiongozwa na mwamba wa kuitwa KIGELI IV RWABUGIRI.
Rwabugiri alikuwa ni jamaa fulani hivi kutokea Kabila la walio wachache (TUTSI) kule Rwanda.
na aliingia kwenye vitabu vya kihistoria kama kiongozi pekee wa taifa hilo aliyeamua kufanya mashirikiano na Serikali za KIKOLONI. By the way kama tunavyojua kuwa RWANDA kuna Makabila makuu mawili, na la 3 ni nyongeza, kuna walio wengi ambao tunawatambua kama Wa-HUTU
Read 23 tweets
Apr 9
KUTENGANA KWA KOREA KUSINI NA KASKAZINI ,CHANZO NA MATOKEO
YAKE

#PichaLinaendelea Wote tunajua kuna KOREA 2,Wale wa kaskazini kama Johmakini na wa kusini kama konde boy .Sasa STRAIGHT To the point, nini sababu ya wao kutengana?JIBU fupi Ni vita vya pili vya dunia.Ilikuwaje?
Korea ilikuwa nchi moja tangu karne ya 7 means tangu miaka ya 1700 mpaka
1945.Karne za kutosha wamekaa pamoja chini ya HIMAYA YA SILLA
WANAITA SILLA DYNASTY(sila dainasti).Mwanzo ulisikia chanzo cha ketengana ni VITA VYA PILI VYA
DUNIA(1945) lakini story kidoogo
ilianzia nyuma ya hapo.Kuna ‘ndondi’ flani zishawahi kupigwa kati ya JAPAN na CHINA,hii vita inaitwa First Sino -Japanese war,imagine wanasema ni vita kati ya CHINA na JAPAN lakini picha halisi ni tofauti kabisa.JAPAN alikua ndo Baba lao miaka hyo kutokana na walichukua mfumo
Read 25 tweets
Apr 7
CORONA VIRUS NI KAZI YA MAABARA? WHY CHINA?
#PichaLinaendelea sehemu 2

Lakini SIDE B kuna issue ya LABARATORY THEORY niliyokugusia mwanzoni ambayo mataifa mengi
yameanza kurudi kujiuliza na CHINA inatumia POWER yote kuhakikisha hilo halifanyiki. Ni Theory gani
hii?
Kwanini kuna hizi maabara za VIRUSI hatari duniani?By the way leo tunaongelea CHINA tu lakini
marekani pia wana mahabara kama hizi kibao na zimejaa virusi hatari kibao,vya faida gani?Kwanini MAREKANI na CHINA wanatupiana mpira?.PICHA LINANOGA
So kama tulivyosikia dunia ina maswali mengi kuhusu Corona na kubwa linalojitokeza ni LAB THEORY
ambayo imeanza kuuliziwa vikali na wakubwa.Kabla haijathibitika kama kweli ni kazi ya maabara ama
lah,Kuna mwingine utauliza kwani tukijua ndo isaidie nini?Well
Read 25 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(