Madinidotcom Profile picture
Aug 25 20 tweets 8 min read
SAKATA LA MAUAJI YA RAIS WA CONGO.
🧵🔥

#PichaLinaanza Hili ni picha kuhusu tukio la kuuawa kwa rais wa Congo Laurent-Désiré Kabila,ni kama movie la kutisha lakini BASED ON TRU EVENT. Mwamba ambaye ni Stelingi wetu anaitwa RASHIDI MIZELE,baadaye mastelingi watabadilika. Image
hii ndio story,ambayo tulikugusia episode zilizopita za rais aliyeingia mkataba maarufu wa kuigawa Congo MKABA WA LEMERA.HADI leo Congo juzi kati imekubaliwa kuwa sehemu ya africa mashariki,ni nchi yenye historia nyeusi.Licha ya kwamba imebarikiwa madini... Image
ANZIA HAPA......agiza popcorn kabisa

Acha turewind mkanda ,Lets go back hadi siku ya TUKIO lenyewe la mwamba aliyempiga risasi kadhaa Rais wa nchini na akatoka zake mbio akitarajia kutoroka.Huyu ndo mwenye siri hii nzito ya KWANINI alimuua rais wa Congo Laurent-Désiré Kabila Image
ambaye alimuondoa madarakani Dikteta MOBUTU SESEKO.Hii ni kama RISE and FALL ya Lauraa Kabila rais wa 3 wa DRC.Stelingi wetu wajina wake Chid Benz ndugu RASHID MIZELE ambaye kabla alienda kama Rashidi Kasereka, mwamba ambaye alikua kati ya walinzi wa rais siku hiyo mwaka 2001 Image
akala kitu chake cha Chuga,akasema “Bangi nibangue nigeuke rambo PAH PAH PAH!” kweli bwana mwamba akaamua kufanya tukio ambalo lilizaa kizazaa na fumbo kubwa hadi leo.Ehe,ilikuwaje?

Kwanza ujue huyu RASHIDI MISELE au tumuite CHID km ChidBenz,ni kijana wa miaka 18 tu wakati huu, Image
na tayari alikua ni mlinzi wa rais kwasabab alikua kati ya askari watoto waliotumika kuung'oa utawala wa dikteta MOBUTU. So licha ya kuwa hajauacha utoto sana kiumri, alishapitia mengi na alishakuwa na uwezo wa kufanya mengi. Image
Lkn jinsi alivyokua amepanga kutoroka ndo utaona utoto wake.
Emile Mota ndiye shuhuda wa 1 aliyekua karibu na eneo la tukio,huyu alikua mshauri wa uchumi wa rais Laurent Kabila ,siku hiyo Ilikua mwanzo wa mwaka January tar 16 mwaka 2001 ndani ya WHITE HAUS akiwa amekaa akipanga Image
..mipango flani.
Kulikuwa na mkutano ambao ilibidi ahudhurie unaitwa FRANCE AFRICA SUMMIT,so rais akamuita ndugu mshauri wake EMILE MOTA akamwambia ndugu MOTA amundalie list ya watu anaopaswa kwenda nao kwenye mkutano kama huo uliofanyika Cameroon . Image
Ghafla mlangoni akatokea mtu amefungua mlango,kucheki vizuri wakagundua ni kijana ambaye MOTA hakuwa anamfahamu kwa jina lakini alikuwa anamjua ni kati ya walinzi wa rais, bila shaka rais Kabila yey3 alimjua kwa jina kijana aliyesimama mlangon “OH Kumbe ni wewe” so akaonekana Image
kama anahitaji kuongea na boss. akakaribishwa rais akamwambia “Kuna nini mzee Chid ?karibu" Chid alipiga Salute kama kawaida kwa rais,wakati huo MSHAURI WA RAIS ankali MOTA akiwa anachukua notes za mazungumzo waliyokua wanaongea punde,akasikia risasi ya kwanza. Image
Hajakaa sawa akasikia nyingine.Chid akatulia kidogo akamuangalia akamuwasha nyingine.Jumla zikawa risasi 3 kisha akachomoka zake mlangoni mbio bunduki mkononi.
Hakuna aliyeamini kilichotokea.Ndugu Mota akili zikamcheza ghafla na akili zinamrudia ndo anaanza kutoka speed kusema Image
jamani huyu muhuni amempiga rais risasi,Wakati huo chid anatafuta njia ya kutokea kwa ile speed ya Harmorapa baada ya kuona ile bastola.
Hakupiga hatua mingi sana kuelekea alipokua anakimbilia,akatokea mwamba anaitwa Chiribagula mlinzi mwingine ikulu akiwa na mashine yake mkononi Image
akamuona CHID akiwa na ‘mguu wa kuku' yaani kile kitu alichokimbiaga harmorapa,alafu nyuma yake anasikia kelele za bwana Mota kwamba huyo bwana Chid amempiga rais risasi.Fasta ile ki-shoz niga CHIRIBAGULA akafyatua risasi ikampata CHID mguuni na akaanguka Palepale. Image
Muda uleule ndo anaibuka STELINGI WETU mwingine ambaye ndiye boss wa walinzi wote ikulu KANALI EDDY KAPEND akiwa na mashine yake mkononi,bila kuuliza chochote akamuwasha RASHID shaba za kushato na palepale ROHO ya ANKALI wetu CHID ikauacha mwili, Image
akageuka MWENDA ZAKE lakini mwendazake huyu akaiachia dunia maswali mengi ambayo waliyojua majibu hawakuwa tyr kuyatoa.
SAKATA la nani kapanga mauaji ya rais likaanza rasmi kwasabab jibu la NANI kaua lilijulikana tayari.CONGO ikazizima mipaka ikafungwa,mtaan kukawa kimya na hofu, Image
watu wakiwa hawajui WHAT NEXT.Rais kauawa. Alipofika mahakamani Chiribagula alisema lengo lilikua asimuue Chid na alimwambia Kapend amuache sababu atahitajika kusema aliyemtuma lakini ndugu KAPEND kwa hasira alimuwahisha Chid Akhera akiwa na siri zake. Image
Waliokuwa eneo la tukio wanasema rais alifariki palepale,ingawa serikali ilificha ikisema alikua njiani kupelekwa nje ya nchi.Lakini Trustory ndani ya muda mfupi tukawa tumepata WENDA ZAKE wawili ambao ni Rais wa nchi Laura Desire Kabila na muuaji wa rais wa nchi ankali CHID Image
Kitu moja muhimu kujua ni kwamba kiongozi OnTop wa nchi akiuawa popote,moja ya vitu MUHIMU ni LAZIMA awepo mtu au watu ambao wameshakamatwa kuhusu msala husika hashtag WabebaLawama,tena ndani ya muda mfupi.Tulikupa story ya kuuawa kwa rais wa HAITI nadhani tuko pmj Image
kamatakamata ya watu kibao, kwasababu hii ni ishara kwamba nchi ipo IMARA au active kiasi gani. Ni aibu kiongozi level kubwa auawe then siku zipite nchi haina majibu.

So waliobaki kutegua kitendawili cha NANI ANAHUSIKA ANANI AHUSISHWE HATA KAMA HAUSIKI ni wale waliobaki hai. Image
Hapa ndipo picha lilinoga.Nani muhusika?Nini kiliendelea? Itaendelea lakini pia unaweza Fuatilia full story iko YouTube
Tulikuahidi #TaarifaNaMaalifa

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Madinidotcom

Madinidotcom Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @madinidotcom

Aug 23
SAKATA LA BILIONEA JEFF BEZOS NA KING SALMAN WA SAUDIA.

Did you know unaweza kuhack an Iphones? Unafahamu ndicho chanzo cha tajiri namb 1 duniani Jeff Bezos kuachwa na mkewe?unafahamu aliyefanya hilo tukio ni King Salman kiongozi wa Saudi Arabia? #PICHALINAANZA Image
Kuna imani kwamba iphones zina strong security ni ngumu kuichezea,yes inawezekena bhanaa lakini kudakwa ni njenje.Sasa hacking inahitaji vitu flani ambavyo sometimes ni teknolojia ghali au lazima uwe na connections kali .
Juzi kati ikatangazwa BREKING NYIUZ Image
WhatsApp imeishtaki kampuni flani inayodevelp computer programs kutoka Israel. Sababu inashtumiwa kumpa Paul Kagame wa Rwanda program ya computer iliyowezesha kudukua "WhatsApp conversation” za wapinzani wa serikali ya Rwanda wanaoishi uhamishoni wanaojiita 'wanaharakati' Image
Read 37 tweets
Jul 13
MAUAJI YA Mohsen Fakhrizadeh KAMA MOVIE.

Uzi 🧵

Kuiadhibu Iran kama taifa kwa adhabu za vikwazo vya kiuchumi hakujaweza
kuzuia hatari inayosemwa na mataifa makubwa, na 'NEXT' mbinu ni kudeal namtu mmoja kwasababu kuivamia kijeshi pia ni jambo linalowezekana lakini... Image
unahitaji kujipanga sawa sawa kama asemavyo Rose mhando.Kuna mauaji ya wanasayansi wa nyuklia yameshafanyika lakini huyu aliyeuawa Mohsen Fakhrizadeh,tunasema wahuni wamegonga ikulu. Iran sio mgeni wa hiki kinachowakuta kwasababu kilianzia IRAQ Image
aliyekuwa rais wa marekani George W bush sababu KUU aliyotoa ya kuanzisha vita na Iraq 2003, alisema Iraq ilikua inarutubisha na kununua kiwango kikubwa cha Uranium inayochimbwa Africa.Haya madini tuseme ni kama ndizi ambazo unaweza kuMIX ndizi moja na maziwa ukasaga kwenye Image
Read 25 tweets
Jul 11
Nni kinaendelea SRILANKA? Sehemu 2

Uzi🧵🙌

#PichaLINAENDELEA anzia post ya jana.

Ankali GOTABAYA alipoingia madarakani 2019 aliahidi kodi za kibwege atazifutilia mbali,wananchi wakaona “eheee,huyu ndo mwaisa mtu mbadi wetu”km ujuavyo ujuavyo kila mtazamo hujengwa na historia Image
so shida ya wana SRI LANKA ilikuwa kuona nchi inarudi kusimama kwa miguu yake,mambo ya wewe ni nduguyakeNani wala hawajali sana. Alipoingia ankali GOTABAYA alionekana ni mtu wa kusimamia maneno yake, akapitisha panga la kupunguza kodi kwa wananchi ,kampeni ambayo ilipunguza 25% Image
yaani robo ya pato la taifa ili wananchi wafurahi.Wakati anafanya hili ni wakati ambao alikuwa akijiandaa na uchaguzi mkuu.Watalamu wa kiuchumi hawakushauri hili lakini yeye alisema anataka biashara ndogondogo za wananchi wanyonge wa hali ya chini zichipue,so wasilipe kodi . Image
Read 25 tweets
Jul 10
Nini kinaendelea SRILANKA..?

Uzi🧵

#Trustory labda umeshaona story nyingi kuhusu SRI LANKA na labda hujui tumefikaje hapa na ndiyo sababu unasoma hapa,au unajiuliza hivi nchi inawezaje ku collapse kiasi cha kukosa hela?kwanza nchi inakosaje hela?inamaana noti zimepotea? Image
Mwingine hata huelewi SRI LANKA yenyewe ndo wapi. So twende nikupe historia simpo yenye MASUALA Mazima ya uchumi ndani yake. Sri lanka ni kisiwa kipo kusini mwa INDIA zamani sana inasemekana kulikuwa na barabara kabisa kutoka INDIA hadi SRI LANKA ya sasa Image
lakini #Trustory maji yalifukia hilo eneo na sasa wana mpaka wa kwenye maji,ni sawa na kusema SRI LANKA zamani ilikuwa #peninsula na sasa ni kisiwa, ukiangalia watu wake wanafanana na jamii ya wahindi.Ushaskiaga wahuni wanaitwa Tamil Tigers? ImageImage
Read 25 tweets
Jun 23
UMESIKIA MENGI KUHUSU MGOGORO WA #RWANDA NA #DRC LAKINI PENGINE UNASHINDWA KUELEWA WTF IZ GOING ON?🧐🤭
Kuna njia mbili za kuelewa,ya kwanza ni usome Uzi ufuatao.
Pili usikose show'Jmosi hii eastafricaradio.com
History iliyorahisishwa na #SabulaMaarifa wa #MadiniDigital.
Iko hivi!! Kitambo hicho Rwanda iliwahi ku-operate chini ya mwamvuli wa KIFALME uliokuwa ukiongozwa na mwamba wa kuitwa KIGELI IV RWABUGIRI.
Rwabugiri alikuwa ni jamaa fulani hivi kutokea Kabila la walio wachache (TUTSI) kule Rwanda.
na aliingia kwenye vitabu vya kihistoria kama kiongozi pekee wa taifa hilo aliyeamua kufanya mashirikiano na Serikali za KIKOLONI. By the way kama tunavyojua kuwa RWANDA kuna Makabila makuu mawili, na la 3 ni nyongeza, kuna walio wengi ambao tunawatambua kama Wa-HUTU
Read 23 tweets
Apr 9
KUTENGANA KWA KOREA KUSINI NA KASKAZINI ,CHANZO NA MATOKEO
YAKE

#PichaLinaendelea Wote tunajua kuna KOREA 2,Wale wa kaskazini kama Johmakini na wa kusini kama konde boy .Sasa STRAIGHT To the point, nini sababu ya wao kutengana?JIBU fupi Ni vita vya pili vya dunia.Ilikuwaje?
Korea ilikuwa nchi moja tangu karne ya 7 means tangu miaka ya 1700 mpaka
1945.Karne za kutosha wamekaa pamoja chini ya HIMAYA YA SILLA
WANAITA SILLA DYNASTY(sila dainasti).Mwanzo ulisikia chanzo cha ketengana ni VITA VYA PILI VYA
DUNIA(1945) lakini story kidoogo
ilianzia nyuma ya hapo.Kuna ‘ndondi’ flani zishawahi kupigwa kati ya JAPAN na CHINA,hii vita inaitwa First Sino -Japanese war,imagine wanasema ni vita kati ya CHINA na JAPAN lakini picha halisi ni tofauti kabisa.JAPAN alikua ndo Baba lao miaka hyo kutokana na walichukua mfumo
Read 25 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(