Mwezi wa 4 mwaka huu ilirekodiwa ngoma ya Zuchu ft. Adenkule Gold, Love, hii ngoma ishatoka na tukaizungumzia kidogo hapa ila hilo si swala, nachotaka kukusanua ni kwamba 👇
🧵
Namna wimbo wa Sona wa Diamond Platnumz ft Adekule ulizaliwa, yani bila Zuchu kufanya hii kolabo ya Lobe na Adenkule basi Diamond asingefakisha Sona kwa urahisi Sona.
Kabla sijaendelea nakukumbusha kupitia @usedpointTz kuna laptop na simu za bei nafuu sana.
Shuka nayoo👇
Zuchu alikuwa na ushikaji na Adenkule, kuna kipindi Ade alikuwa ana comment kwenye posts za Zuchu kama celebs wengine wa Naija, mazoea yakaongeza ukaribu baina yao hao wawili
Kwahiyo huo ndio ukawa mwanzo wa kupatikana kwa wimbo wa Sona wa Diamond, sababu ni Zuchu ndiye alieye
Aliyemkaribisha mwana Bongo kuja kufanya audio na hapo ndipo Diamond akaona aishi na Adenkule kitaaalam na kufanya nae ngoma ambayo inapatikana kwenye EP ya #FOA ikiwa ni track #5
Nimefanikiwa kunyaka copies za mkataba wa wasanii hawa na Konde Gang unaonyesha kuwa wote kwa pamoja walikubaliana kutofata masharti ya mkataba wao hasa kifungu namba 15(a)(b)(c) cha mkataba wao wa tarehe 31/08/2020.
🧵shuka nao👇
Stori kamili iko hivi…
Kumbuka wasanii hawa waliingia mkataba wa miaka 10 na lebo hiyo tajwa hapo juu
na endapo Kama Konde Gang wangevunja mkataba na moja ya wasanii hao basi walipaswa kumlipa kiasi cha milioni 10 kama fidia.
Ikumbukwe Konde Gang ndiyo iliomba kusitisha mkataba
na wasanii hao, waliwaita chini na kukubaliana kuwa mkataba uvunjwe kwani lebo hiyo haikuwa na haja ya kuendelea na wasanii hao, wasanii waliomba kama mkataba ungevunjwa basi vipengele muhimu vizingatiwe ikiwemo fidia ya pesa.
Kama nilivyoeleza hapo juu hizi ni tetesi si habari ya uhakika hadi pale wenyewe watakapo thibitisha, naomba kwasasa ichukulie kama tetesi.
Za ndaaaaani kabisa zinadai kuwa kabla DSM Boy hajaingia Kondi Gang alipata bahati ya kufanya ngoma na msanii mkubwa Tanzania👇
Sitomtaja jina ila nilishawai kuandika hapa msanii DSM Boy ndoto zake zilikuwa kufanya kazi na nani.
Alipoingia na kusaini mkataba na Kondi Gang aliambiwa apeleke mezani ngoma alizonazo na moja wapo ni hiyo collabo na msanii mkubwa Bongo.
Menejimenti wakaigomea ngoma kwamba👇
MSANII WA HIPHOP ‘CLASS’ ALIEKATAA DILI LA MILIONI 300.
Wakati msanii wa Hiphop “class” anaachia ngoma yake pendwa alikuwa on top kiasi cha kukataa show kibao kutokana na ufinyu wa muda yani jamaa ilifika kipindi anafanya show leo na kesho ana show 👇#UZI
Sehemu nyengine yani back to back, kwa mujibu wa meneja wake anadai jamaa aliwai kataa show ya milioni 16 😳.
Ikafika kipindi kampuni ya simu ya TigoU katika nchi ya Stanza ilimtaka jamaa awe balozi wa kampuni yao na dau lao lilikiwa milioni 300 kwa mwaka 😋.
Japo jamaa 👇
Alikubali ila baada ya kusikia kuwa mchekeshaji ambae ni balozi wa kampuni hiyo analipwa 300M kwenye mkataba wake jamaa akataka dau kubwa zaidi hapo ndipo waliposhindwana na kampuni ya simu ikaona single moja haiwezi kuwa na thamani ya zaidi ya 300M bora tu waachane nae, yaani👇
Nimemsikiliza mikwaju yake mipya kadhaa, itoshe kusema ni msanii wa kumuangalia sana 2022 ana hela zake nyingi.
Ni full package ya msanii, anajua kuimba,kucheza na kutawala jukwaa na kingereza kimelala, hata siku akifanikiwa kwenda kimataifa haitaji👇#UZI
RASI SIMBA wakumfundisha kinge.
Bongo fleva ina uhaba wa wasanii wakali wa kike yaani wanahesabika kabisa na hawazidi hata 10 hivyo ujio wake Saraphina itoshe kusema sio tu anaongeza namba ya wasanii wa kike kwenye kiwanda bali anaongeza ushindani na list ya wasanii wa kali.👇
Nikisikia nyimbo zake kama SIO KITOTO,SINGO,IN LOVE na SITAKI TENA unamsikia Vanessa Mdee kwa mbali hii inanifanya masikio yangu yanayo miss ngoma za V-Money yapate tiba kutoka kwa Saraphina.
Kwasasa Saraphina yupo chini ya Maneja mwenye uzoefu na muziki wa bongo anaejulikana👇
Kuna kauli wasanii wanapenda kuitumia kuwa “Wasanii wenyewe hatupendani” hii kauli wala si utani ni ukweli kabisa kuwa muziki wa Bongo Fleva licha ya kukuwa na kuanza kuwanufaisha wasanii ila vita imekuwa kubwa kila mtu anataka👇UZI
Keki kubwa zaidi ya mwengine kupelekea chuki,uongo,fitna na kurogana ila bahati nzuri bado hawajafikia kuuwana 😂.
Nataka leo nikusimulie kisa cha msanii wa Bongo Fleva kutaka kuwekeza kwenye online Tv kwa sharti moja tu wasitangaze habari za wasafi😳👇
Labda nikuweke sawa waandishi wa habari wanapenda sana hela wao hela kwanza kabla ya kazi yako, wako tuyari waje kufanya coverage ya mkutano wako ila usipowapa bahasha juwa tu hawatorusha tukio lako, nimefanya kazi na waandishi kwa ukaribu kwa zaidi ya miaka mi3 sasa, wana 👇
Mwaka 2004/2005 kama kumbukumbu zangu ziko sawa(kipindi hujaja mjini 😂) msanii wa Bongo Fleva aliachia ngoma iliyogeuka kuwa ngoma ya Taifa kila mtaa uliimba hiyo nyimbo, hata leo ikipigwa hiyo ngoma lazima uinuke ucheze.👇 UZI
Jamaa aliamua kuacha kazi na ku deal na muziki kama full time job(mchizi alianza kutumia unga zamani sana) akiwa Club Moja iliyochangamka inayowakutanisha watoto wa Masaki,Kinondoni,Mikocheni,Upanga na Msasani binti mmoja kwa jina la Vero(sio jina lake halisi) alizimika na 👇
Msanii huyo, huyu binti alikuwa form 2 kipindi hicho akiwa anasoma shule ya sekondari ya kishua kidogo ile wanayovaa nguo za rangi ya damu ya mzee chini na juu shati zao nyeupe ila kama chafu(waliamua tu kujitofautisha na watoto wa umbwa 😀)