Sifa 15 za Mwanaume mwenye future na anayejitambua....☟😎
Thread -🧵👇
Hizi hapa ni sifa 15 ambazo mwanaume mwenye future na anayejitambua lazima awe nazo..☟
1. Husimama kama Mwanaume
Siku zote hujitahidi kuonesha kuwa yeye ni mwanaume na sio mvulana mkubwa.
2. Ana malengo yaliyo wazi
Anajua na kusimamia malengo yake, ngumu kumkuta akiishi bendera kufuata upepo. Na anapenda kile anachofanya.
3. Anajiamini Mno
Mwanaume anayejitambua anaamini anaweza kufanikisha chochote na kwanza kila muda anapaswa kujifunza mambo mapya kwa ajiri ya ukuaji wake.
4. Anasapoti Wengine
Husaidia wengine kukua na wala hawezi kuwashusha ili yeye apande. Hawezi kuchukia wale anaowasaidia wakimpita kimaendeleo kwani anaamini mtoaji ni Mungu pekee
5. Husimamia Kauli zake
Haongei kitu ambacho hakimaanishi . Anaamini kuwa akiongea uongo ataharibu hadhi yake.
6. Mwenye Busara na Hekima
Ukiongea nae kila wakati unajifunza kitu, anakufanya ujisikie na ujiamini kuwa unaweza. Vijana wengi humuita rolimodo wao.
7. Kuwa Smart na Kunukia Vizuri
Haijlishi kazi au mazingira aliyopo, Atajitahidi awe smart na anukie vizuri no mara waaaaa...
8. Hatishwi na mafanikio ya wengine
Mwanaume imara, anayejiamini, anayejitambua na kuelewa wajibu wake, hatishwi na uimara wala mafanikio ya wengine.
9. Hukubari kukosolewa
Mwanaume anayejitambua atafurahi zaid pale anapokosolewa kuliko kusifiwa sifiwa hovyoo.
10. Hakimbii Matatizo
Hata kama tatizo ni kubwa namna gani hawezi kukimbia, atatafuta mbinu yoyote ya kulitatu hata kwa kushirikisha wengine.
11. Halii lii Hovyo.
Hata kama akifiwa au mahusiano yake yakivunjika, Humkuti akilia lia au kulalamika hovyo mbele za watu au mwenye mitandao ya kijamii.
12. Humjari Mpenzi wake
Hufanya kila njia mwanamke wake awe na furaha na amani na kumtimizia mahitaji yake yote.
13. Hawezi kucheat
Mwanaume anayejitambua hawezi kucheat, na hata ikitokea kwa bahati mbaya, hatokiri ili kulinda imani na amani ya mwanamke wake kwake.
14. Hana Mzaha
Sio mtu wa kupenda mzaha na wala sio mtu wa kuomba omba msamaha kila wakati isiyokuwa na kichwa wala mkia.
15. Mtu wa Watu
Mwanaume anayejitambua jamii yake humtambua kwa mchango wake. Hakosi kuhudhuria shughuli zote za kijamii labda awe na dharura. Ni mtu wa wapwa haswaa.
Hizo hapo ni baadhi tu ya Sifa za Mwanaume mwenye future na anayejitambua. Ukiwa na hizi sifa unaweza kuleta mabadiriko chanya kwako na kwa jamii nzima.
Kama umejifunza kitu kupitia #Uzi huu, ni muda wa kulipa fadhira kwa kufanya haya...☺☟
Twende Chap..Kwa sasa; watanzania hufatilia kwa ukaribu sana ligi maarufu na hata hii ya bongo hivyo fursa hii haikulazi njaa. Ukipita uko mtaani story ni Simba, Yanga, Chelsea nk.
Mambo ya msingi ya kuzingatia ili kuanzisha na kuendelea biashara hii ni haya...☟
1. MTAJI💰
Hakikisha una mtaji usiopungua 5m ili kufanya biashara yenye tija. Mtaji mkubwa utakuwezesha kutoa huduma bora zaid na kuvutia wateja wako.
Kwa nini Mungu alimfyekelea mbali Onani alipomwaga nje..🙌☟
Thread📖
Alikuwapo mtu mmoja aitwae Yuda mwana wa Israel, huyo alioa mwanamke mkanaani na kuzaa wana watatu Eri, Onani na Shela Mwa 38:2-5
Huyo Eri alioa mke aitwae Tamari. Unaambiwa Eri alikua muovu kinoma, Mungu akamuua, sasa alikua anafanya dhambi gani me sijui lkn mnaweza kuhisi😊 Mwa 38; 6-7