Francis Mtei Profile picture
Feb 7 21 tweets 7 min read
Kuna siri nyingi zimefichwa kwenye soko la biashara ya simu na Laptop...

Hasa kwa wateja ambao ndio wahanga wakubwa,

Leo nitazungumza na wewe ambaye unahitaji kununua laptop, ili usije ukaingia Chaka ukajuta,..

Kama mimi yalivyonikuta miaka kadhaa iliyopita...

🧵👇🏾 Picha imepigwa na Alamy
Inasikitisha sana kuwa wafanyabiashara wengi hawana huruma na pesa yako,

wanachojali zaidi ni kuuza biadhaa yao bila kujali wewe unataka nini.

Wengine wanaenda mbali zaidi, wanakuuzia bidhaa mbovu, alafu mwisho wa siku wanakukutaaa

na hata simu zako hawapokei.

Kwa hiyo...
Nini cha kuzingatia unapoenda kununua Laptop, kwaajili yako ama kwaajili ya mtoto wako?

Kuna mambo mengi ya kuzingatia,

Na nitakujuza mambo muhimu ambayo yatakuongoza usije ukauvagaa kama mimi,

👇🏾
Lakini kabla sijaendelea,

Ni muhimu ukani - Follow-

ili usikose Thread kama hizi, ninapoziachia!

👇🏾
twitter.com/intent/follow?…
Kwanza kabisa,

Kwenye soko la Laptop la Bongo kuna mambo haya inabidi uyajue yanayoendelea...

1. Kuna laptop used ambazo zipo kwenye mzunguko
2. Kuna laptop ambazo ni mbovu zipo kwenye mzunguko
3. Kuna laptop ambazo ni mpya zipo kwenye mzunguko

👇🏾
Sasa, wengi huwa ni wahanga wa namba 1 na 2,

...na nitakueleza kwanini?

Na ndani ya sekunde 10 nitakupa mbinu ya kuepuka kuwa kati ya hao watu wengi wanaoingizwa chaka,

Ngoja nikupe Story yaliyonikuta
👇🏾
Kuna Mwaka Fulani nilikusanya pesa yangu taabu vibaya nnoo, Milioni 1,900,000

Kama unavyojua "Mackbook Pro" bei zake zilivyo, ni za moto🔥...

Baada ya miezi sita nilikuja kugundua mchezo mchafu unaofanyika nyuma ya biashara hii...

👇🏾
Nikamcheki mchizi wangu ambaye ndiye aliyetakiwa kuniunganisha na Muuzaji,

Fresh jamaa akaniunganisha nae...

Tukakutana Karikoo,

Kwa furaha na mbwembwe zote, nikalipia Macbook pro yangu ya 2015, 16inch.

Yes, Body ya nje ilikuwa very clean.
👇🏾
Fast Forwad, kabla ya Pc kufikisha miezi sita, ikaaza Kusumbua...

Tatizo ilikuwa pc inawaka moto + Screen inacheza yaani inaweka mistari...

Sasa nilichokifanya baana ya kuona tatizo...
👇🏾
Chap nikakimbilia kwa fundi,

Fundi akaniambia hapa Bro hii pc uliuziwa kanyaboya,

Nusu ntoe chozi kudadedeki.

Akaongezea...

"Hii Mac ilishafunguliwa na kuna parts zilimebadilishwa".

Kwa ushahidi akanionyesha 'nut' zilikuwa hazipo nyuma fundi alipofungua.

👇🏾
Oya akili yangu ilipasuka, 😩

Sasa Umeona? Hivyo ndivyo inaweza kukuta na wewe,

Unaweza ukaniuliza sasa, nifanyeje ili na mimi nisikutwe na mkasa kama wako,

Fanya hivi...
👇🏾
1. Unatakiwa ujue Exctacly unataka nini,

Yaani hata ukikutana na muuzaji asikupindue, akakuuzia kitu ambacho wewe hujataka!

Na hii michezo ipo sana kariakoo,

Ukienda, kama laptop unayotaka haipo

Unatongozwa mpaka utabadilisha maamuzi na kununua kile alichotaka muuzaji

👇🏾
2. Kucheki Kama Laptop yako ni yenyewe ama sio,

Kwa kutumia IMEI namba ama SERIAL namba zilizopo nyuma ya Laptop...

Hapa ndio kuna ishu...

Wengi huwa wanakurupuka! ukishaonyeshwa laptop anapagawa anasahau kuikagua!

Kama ni laptop ya APPLE unachotakiwa kufanya ni
👇🏾
Nenda na mshikaji wako ama ndugu yako anayejua kuhusu laptop...

Then ukiwa eneo la tukio hakikisha una smartphone nyingine ambayo inaweza kuingia mtandaoni,

alafu Ingia kwenye hii Website ya APPLE ambayo ni

👉🏾 checkcoverage.apple.com 👇🏾
kisha, COPY Serial namba au IMEI namba iliyopo nyuma ya hiyo laptop kwa chini,

Alafu Paste kama inavyoonyesha Frame Namba 2,

Kama, laptop unayotaka kuuziwa na muuzaji na akakwambia ni Mpya kabisa,

Kwa maana ya kuwa...

👇🏾
Laptop ipo kwenye Box, na haijawahi kutumiwa na mtu yoyote yule tangia itoke kiwanda cha apple,

Unachotakiwa kufanya, nyuma ya Box pia kuwakuwa na serial namba,

Then ingia kwenye Website hii ya Apple checkcoverage.apple.com,

Kuhakikisha kama...
👇🏾
...alichokwambia na muuzaji ni cha kweli,

Utaniuliza, je Kwa sisi tunaonunua Laptop za Windows tufanyeje?...

Usijali,

Fanya hivii...

Ingia kwenye sehemu ya Sapport kwenye website ya Brand unayotaka kununua

Mfano, Dell, HP, Lenovo, Asus nk.
Wote hao wanatoa Huduma za kuchek kama Bidhaa unayotaka kununua ni imetoka kwao,

Kwa kutumia Serial namba, au EMC Product ID.

Nikusanue,

Kila Product Duniani inakuwa na namba unique ya utambulisho wa bidhaa husika,

Namba hizo ni IMEI au Serial Namba, na hazifanani!
👇🏾
Mtizamo wangu:

Kama umesoma uzi wa jana, utakuwa umeona Comment watu walivyopitia maswaibu mengi,

Sasa kama wewe unatafuta pesa yako kwa shida kama mimi...

Hakikisha umekuwa makini mnoo unapoenda kufanya manunuzi ya vitu hivi vya Tech...

Kama👇🏾
Huwezi kabisa, Tafuta Mbinu ya kuagiza Laptop yako kutoka nje ya nchi,

Sasa hivi kuna njia nyingi sana za kuagiza bidhaa nje,

Na huu ni #UZI wa siku nyingine,

Bila kusahau, Epuka Kununua Vitu vya wizi.
Ukinunua kifaa chochote cha Apple utadakwa tu!

Sikia 👇🏾
Umeshawahi ingizwa mjini? kama mimi😂

Naomba bila aibu, Tupe mkasa uliokukuta ili na wengine wajifunze,

Anyway usisahau ku- Retweet...
#Francismtei

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Francis Mtei

Francis Mtei Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @inframe_tz

Feb 6
Nina uhakika wauza iPhone wengi watanichukia baada ya kutoboa siri hii,

Kama una mpango wa kununua iPhone Mwaka huu,

Hivi ndivyo utakavyo uziwa iPhone iliyotumika bila wewe kujua...

🧵👇🏾 Picha imepigwa na @george__255
Nafahamu watu wengi wanakusanya pesa zao kwa taabu sana ili kununua walau simu inayoeleweka,

Lakini tofauti na matarajio wanakutana na mikasa mingi,

kama kuuziwa simu zilizotumiaka tayari, Kuuziwa simu zilizofunguliwa bila wao kujua...

Sasa basi...
Ndani ya sekunde 30, Nitaenda kukusanua namna gani unavyo uziwa mbuzi kwenye Gunia!

Kabla sijaendelea, Naomba uni Follow nahitaji kufikisha 10 Followers!

Na wewe ndio msaada pekee..
Read 13 tweets
Feb 5
Kuna mtu kaniuliza vipi kuhusu kulipwa na Twitter, Nimeona @elonmusk kasema..

je, wameshaanza,

Ndio wameshaanza kupokea maombi, maana kwenye Sehemu ya Metization ukibonyeza.

Itaku direct sehemu ya kuomba ili ukubaliwe Kulipwa! Unapotengeneza Content hapa Twitter

Lakini👇🏾...
Lazima Uwe ume Subscriber wa Twitter Blue!

Ndio utaweza kuwa unalipwa kama "content creator"...

Kama nimesoma vizuri na kuelewa, kwa mwezi unaweza Lipwa mpaka $396

Ambayo ni sawa na Tsh 934857.79 kwa Exchange rate ya sasa hivi...

Ila sasa 👇🏾
Vigezo lazima uwe na

1. 10K Followers
na
👇🏾
Read 5 tweets
Feb 5
Unaweza ukaniuliza bro umepataje BlueTick na una Followers Eftatu tu!

Usijali Bro, i got you covered!

Huu uzi utakuongoza kufanikisha hili tena Kwa njia rahisi,

Na wewe uwe na Blue check mark, au sio
🧵👇🏾
Kama unatumia twitter ya kawaida kwa hapa Bongo…

kuna Option huwezi kuiona ambayo ipo kushoto Chini ya Profile yako

Sasa utafanye ili uione…
Hapa ndio kuna maelekezo muhimu ya kuzingatia!

Hakikisha una "VPN" kwenye sim yako, ambayo itakusaidia kubadilisha Location (Mahali ulipo)

Weka location hizi...
1. USA
2. CANADA
3. UK

VPN zipo nyingi ambazo ni Free, kwa android na ios user,

Mimi niliweka USA location!
Read 22 tweets
Feb 4
Hii ndio ilikuwa Final Video ambayo nili Deliver kwa Client,

Lakini, niliona nimsaidie kwa kumuonyesha kwa mifano namna ambayo anaweza kutumia,

Video hizi hizi kutengeneza Video zenye chini ya dakika moja, kwaajili ya kuzi-upload wiki nzima or so...

Sikia👇🏾
Video za biashara yako, Moja inaweza isifanye Vyema,

Hiyo hiyo Video, ukiibadilisha Nyimbo na style kidogo tu,

Inaweza Pata engagement ya kufa mtu!

Hii ni iko Proven kabisa,

Mifano, Press Play
kwenye kutengeneza Content oNLINE inabidi uwe mjanja, na pia usikaukiwe na Content!

Online ili ufanikiwe zaidi,

Consistency is the King and Content is the Queen!
Read 4 tweets
Feb 4
⁃Photography sio kazi,

⁃Photography ina Competition kubwa

⁃Unapoteza Muda wako Tafuta Kazi ya kufanya

⁃Photography ni kazi ya watu wasiosoma.

Sikia nikwambie,
👇🏾
Kama una plan za kuanza Photography 2023…

Lazima utasikia hayo maneno hapo juu hasa kwa Watu wako wa Karibu

Lakini…

Good News ni kwamba…

Wewe ndio Dereva wa maisha yako…
Wewe ndio umebeba Vision ambayo watu wengine hawezi ona…

Baada ya miaka 5 Kutoka leo!

Utajishukuru sana kwa kutosikiliza kiumbe chochote kile kuzifikia ndoto zako!

Maamuzi ya kuanza Kufanya ni Leo, sio kesho…

👇🏾
Read 7 tweets
May 14, 2022
⚡Kuna Kipindi Nilidhani 150K ni Nying Sana Kumcharge Mteja Kwa Picha 10,

✅Hizi ni Siri 5 Ambazo Mentor Wako Hataki ujue 99%
.
#Uzi 👇🏽
⚡Ni Miaka 8 Imepita Sasa Tangia Nianze shika Kamera Kwa Mara Ya Kwanza,
.
Along the way nimejifunza Vitu Vingi Sana...
.
Ambavyo Leo Nataka nikumegee Kidogo, Ili ujue Siri ya Mtungi.
⚡Katika Miaka nane Kuna Miaka hapo kati Nilikata Tamaa Kabisa,
.
Nikatemana na Photography Mazima.
.
Lakini Moyo wangu Ulikuwa unaniuma Sana, nimefanya Kazi za Hapa na Pale.
.
Lakin Bado Moyo Ulikuwa Haujakubali kuachana na Photography.
Read 21 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(