Cipherdot Series And Movies✍️ Profile picture
WAUZAJI BORA WA SERIES AND MOVIES ZISIZOTAFASILIWA CONTACT: 0767000650/0658000350 LOCATION MATAWI 1. DODOMA MJINI 2. MIPANGO CHUO 3. KIKUYU 4. NKUHUNGU
Cipherdot Series And Movies✍️ Profile picture KEISHA ESSAY HELP | HOMEWORK HELP | ESSAY WRITER Profile picture 2 subscribed
Sep 4, 2020 26 tweets 8 min read
MAAJABU YA MAUAJI YA HARAIKI YA  JONESTOWN
(JONESTOWN Massacre)
#cipherdotseriesandmoviesuzi
#CertifiedThreads
Kabla ya shambulizi la kigaidi la septemba 11, 2001 tukio hili la Jonestown lilikuwa ndo tukio la kwanza kubwa kuchukua roho za wamerekani wengi kwa mara moja Mauaji ya Haraiki ya jonestown yalitokea  Novemba 18, 1978  waumini kwa kimarekani wapatao 900 wa dhehebu la kidini lililoitwa "Peoples Tample walikufa kifo kilichoelezewa kama mauji ya kujiua ya Umati kufutia agizo la kiongozi askofu wao aliyeitwa Jim Jones aliyeishi
Aug 31, 2020 15 tweets 7 min read
FILAMU YA AVA (2020) INATIA MOYO KUIONA
#cipherdotseriesandmoviesuzi
#CertifiedThreads
Ava ni filamu ya kimarekani iliyotoka July 2, 2020 huko Hungary na ilipangiwa kutoka  Septemba 25, Marekani sielewi kwa nini huku kwetu tumeshaipata ikiwa kwenye HD na watu tumeshaiona ina ...maana tumewapiga bao hata wamerekani au?? Filamu hii ina kichapo kinachofanana kwa mbali na filamu ya ANNA kama umeiona utakuwa umeelewa kama hujaiona ni muda muafaka kuitafuta, filamu hii imeongozwa na Yate Taylor na kuandikwa na Matthew Newton wahusika wakuu wakiwa
Aug 29, 2020 32 tweets 20 min read
MELI KUBWA YA MIZIGO
MS MUNCHEN ILIVYOTOWEKA DUNIANI
#cipherdotseriesandmoviesuzi
#CertifiedThreads
Meli ya MS Munchen  ilikuwa ni meli ya mizigo ya kijerumani iliyozama December 1978 pakiwepo na nadharia moja ya kuwa meli hii ilipigwa na Rogue Waves( Rogue hujulikana kwa majina ...kwa majina mengi kama freak wave, monster wave, episodic waves, Killer waves, Extreme waves na abnormal waves...Haya ni mawimbi makubwa sana yanayoweza kwenda juu mita 70 hadi 300 (kwa utafiti wa hivi karibuni) sawa na viwanja vitatu vya mpira mguu kutokea kwenye usawa wa
Jun 5, 2020 15 tweets 22 min read
#Cipherdotseriesandmovieslistguide
Leo naomba tushirikiane na Wadau wote na wapenzi wa Tamthilia za kivita kuorodhesha Tamthilia za kivita kwani ktk kuangalia kwangu nimezingulia na hizi zifuatazo tu, hivyo ningeomba na nyinyi leo muongezee hii list baadae tuandae uzi wa pamoja ImageImage 1. The Long Road Home (Iko Season 1)
2. The Last Ship (ziko Seasons 5) ImageImage
Jun 4, 2020 31 tweets 29 min read
#Cipherdotseriesandmovieslistguide
Wakati tunaendelea kuwapa wateja wetu nini cha kuangalia leo kwa wale wenye kupenda filamu za kivita na kwa kuwa mimi pia ni mpenzi wa falamu hizo leo nimekuandalia listi hii kali sana halafu jiulize ni ngapi ktk hizi hujaziona ImageImage ImageImage
Jun 2, 2020 36 tweets 31 min read
#Cipherdotseriesandmovieslistguide
Kuna watu wanapenda tamthilia za kutisha hadi wanatisha nami leo nakuja kuwatisha kwa list hii ya tamthilia za kutisha, ebu ipitie hapa jiulize ngapi hujaona.. anza mara moja kuona moja baada ya moja ImageImage ImageImage
May 18, 2020 30 tweets 26 min read
BLACK SEEDS
Siku zote tumekuwa tukiangazia filamu na tamthilia lakini leo nataka niangazie kitu tofauti kabisa kwa siku tatu mfululizo. Ili nyinyi wadau wetu tuwe pamoja siku zote na hili nitakalo liongelea leo ni muhimu sana ili tuendelee kuwa pamoja, nimesoma sana ili kuweza kuandika uzi huu, mimi sio daktari nitakayoyaongea hapa ni kutokana na kusoma vitabu, vijaranda na vyanzo mbalimbali sio lazima ukubaliane nayo.
Leo tutaongelea mbegu za Habbat sauda wengine huziita black Cumin, au black seeds ambazo zinadaiwa kuongeza kinga mwili na kutibu
Mar 22, 2020 49 tweets 35 min read
HII YA LEO ITAKUUMIZA SANA
INAHUSISHA MATUKIO, FILAMU NA TAMTHILIA ZILIZOFUTWA AU KUHAIRISHWA AU KUSIMAMISHWA KWA MUDA USIOJULIKANA KUTOKA NA CORONAVIRUS (COVID-19)
Kutoka na mlipuko wa coronavirus mambo mengi yamesimama na yataendelea kusimama hakika yatupasa kuchukua tahadhari pasipo kudharau kwa ajili ya Afya zetu
Leo nakuletea uzi wa matukio(events) yaliyofutwa au kuahirishwa filamu ambazo zilitakiwa kutoka(released) tarehe zimesogezwa mbele filamu na Tamthilia ambazo zipo kwenye uzalishaji (filming and shooting) KUSIMAMISHWA kwa muda au hadi
Mar 17, 2020 30 tweets 7 min read
JE WAZIJUA TUZO ZA FILAMU MBAYA DUNIANI
GOLDEN RASPBERRY AWARDS
Golden Raspberry Awards(Razzie) ni tuzo zinazotolewa kwa filamu ambazo hazikufanya vizuri sokoni au kuwa na kiwango cha chini sokoni au kuwa na mafanikio madogo, wapenzi wa Movies tulio wengi tunajua tuzo kubwa na zinazoheshimika za ACADEMY AWARDS, Lakini tuzo za Razzie zimekuwepo kwa miaka 40 hadi hivi leo na zinaenda sambasamba kabisa na tuzo za Academy Awards

Sherehe ya kwanza ya kukabizi tuzo za Razzie ilifanyika rasmi mnamo march 1981 kwenye sebule ya bwana John
Mar 11, 2020 52 tweets 28 min read
MYSTERIES OF THE MISSING Bado Tuko na Tamthilia yetu ya jana (Documentary) Mysteries of the Missing na Leo nakusogezea tukio la pili kati ya matukio yaliyo gusa attention yetu jisogeze karibu, juisi, soda na popcorn ama andazi au bumunda itapendeza zaidi ukiwa navyo pembeni Apo KUPOTEA KWA NDEGE YA UFARANSA NAMBA AF 447
Air France flight 447 (AF447/AFR447) ndege ya Abiria iliondoka Rio de Jeneiro Brazil kwenda Ufaransa tarehe 1 June 2009, ndege hii aina ya Airbus A330 ikawa stalled (kuwa stalled ni kitendo cha ndege kushindwa kuelea
Mar 10, 2020 41 tweets 10 min read
Mysteries of Missing
Kwa muda mrefu tumekuwa tunaangazia Tamthilia nyingi labda za Actions, mapenzi na za kufikilika na nyingi nyinginezo lakini leo naona tuangazie Tamthilia inayazozungumzia mambo ya ukweli yaliopata kutokea na kuwaacha watu midomo wazi kwa maana Tamthilia hii inaongelea kupotea kwa watu pasipo kujulikana walikoenda, kupotea kwa miji na isionakane tena, meli kubwa kutoweka kabisa katika uso wa dunia na kutoonekana hata kipande chake, ndege kupotea na abiria kutoonekana hata mwili mmoja wala kipande cha ndege
Mar 9, 2020 28 tweets 23 min read
Kulingana na level ya teknolojia ilivyo kwa sasa kumekuwa na maswali hasa kwa wanasayansi juu ya uwezekano wa mtu kusafiri kurudi nyuma ya muda ama kwenda mbele wakati ujao (time travelling) na mpaka sasa jibu lililopo Ni kwamba haiwezekani. Lakini tukija kwenye filamu zetu ambazo mostly huwa ni zenye matukio ya kufikirika zaidi. Jambo ili linaonekana kuwezekana, filamu na Tamthilia nyingi tu zimeonyesha uwezekano wa Jambo ili ata kwa kujaribu kutumia theory mbalimbali kuipa idea hii uhalisia flani uku nadharia zao zikiwa zimeegemea zaidi kwenye
Mar 2, 2020 49 tweets 27 min read
FILAMU MAARUFU ZENYE AJALI NA VIFO
SEHEMU YA PILI( TRAGIC ACCIDENTS ON THE SETS OF FAMOUS MOVIES AND SERIES)
Jana niliweza kuwaletea sehemu ya kwanza ya Ajali na Vifo kwenye filamu chache sana na nikagusa kidogo miaka ya 1910 na kidogo nikagusa 1989, 2019 na kumalizia na ajali chache za mwaka 2020. Jana niliogopa kuumiza mioyo ya watu na kutonesha vidonda vilivyopona kwenye zile ajali zilizotugusa kwenye hii tasnia ya filamu, lakini baada ya wengi kuridhia kuwa tuendelee, basi leo nakuletea sehemu ya pili ya Uzi huu na Mungu akijalia tutaenda hadi
Feb 28, 2020 31 tweets 22 min read
SAMUEL LEROY JACKSON muigizaji alie cheza filamu nyingi zaidi kuliko muigizaji yoyote hollywood, anae ongoza kwa mauzo zaidi na kuingiza pesa nyingi zaidi na ndo muigizaji mwenye asili nyeusi mwenye tuzo nyingi zaidi. Samuel Leroy Jackson Alizaliwa mnamo December 21 1948 katika katika jiji la Washington D C akiwa kijana wapekee wa mwanamama Elizabeth Harriet and Roy Henry Jackson alikulia zaidi katika mitaa ya Chattanooga , Tennessee. Baba alikuwa akiishi mbali na familia yao katika mji wa Kansas City , Missouri na baadae alifariki kwa matumizi ya pombe
Feb 26, 2020 35 tweets 26 min read
PARASITE: Ngoja leo tuhame kutoka Amerika kwenye zile filamu mnazozielewa na kuzikubali hadi pale korea ambapo leo tutakodolea macho filamu matata iliyopata TUZO za kumwaga na hasa ile tuzo kubwa ya OSCAR ACADEMY AWARD kwa mwaka 2019 kwa ufupi ni kusema hii ndo filamu bora kwa mwaka 2019. Kuwa filamu bora na tuzo bwelele ndo iliyonifanya niitafiti kwa kupitia majalada mengi ya filamu duniani, pia nilifanikiwa kusoma ripoti mbalimbali za wachambuzi wa filamu duniani na mwisho niliweza kuitizama huku nikijiuliza nini hasa kilichopo kwenye filamu hii
Feb 22, 2020 27 tweets 6 min read
Ukizungumzia tamthilia kali za madawa ya kulevya katika ulimwengu wa Tamthilia itakuwa dhambi kubwa Sana kuacha kuitaja NARCOS() ambayo inamzungumzia Gaidi wa dawa za kulevya aliyefanya ulimwengu kuchanganyikiwa kutokana na madhara ambayo dunia ilishuhudia kutokana na ukatili wa huyu jamaa

Watu wengi Duniani kama kawaida hasa wadau na wapenzi wa filamu na Tamthilia huangalia tamthilia na kuzichukulia kama vitu vya kufikilika na kuburudisha, Lakini Wengi walioitazama Tamthilia ya NARCOS na wale wanaotegemea kuangalia Tamthilia hii
Feb 21, 2020 20 tweets 21 min read
FOR LIFE
Kama una unakazi unafanya basi iweke pembeni kidogo ili usome huu Uzi kwa mazingatio

Mwaka 1989 Isaac Wright Jr anakamatwa na kushitakiwa kwa kosa la kuuza na kusambaza madawa ya kulevya, akiwa hana kumbukumbu yoyote ya uhalifu katika taarifa za polisi akiwa ni mtu wa maisha ya Halali na akifanya Biashara zake halali bila tatizo. Baada ya kukamatwa kesi yake inafika mikononi mwa wakili wa serikali wa mji wa New Jersey Nicholas Bissell. Akijifanya kuibeba na kuisimamia sheria kuhakikisha wanapambana na tatizo la madawa ya kulevya katika mji
Feb 19, 2020 24 tweets 23 min read
QUEEN & SLIM
Ngoja leo tuhame kabisa kutoka India na kurudi pale amerika ambapo nimegundua mavitu ya huko wengi wanayaelewa, leo ningependa tuiangazie filamu ya Kinyanyasaji iliyotengenezwa kuonyesha manyanyaso wayapatayo watu wa ngozi za kwetu huko America, filamu hii itakutia simanzi kubwa sana kwa yale yanayotokea ndani yake ,kuonyesha hicho nilichokiongea hapo juu.

QUEEN na SLIM ni picha ya kimarekani iliyotoka mwezi Novemba, 2019 na kuzinduliwa Rasmi tarehe 14, Novemba (premiere), na kuanza kuonyeshwa kwenye majumba ya sinema nchini Amerika
Feb 18, 2020 30 tweets 26 min read
URI THE SURGICAL STRIKE:
Watu wengi wapenda filamu na hasa wale wanaopenda filamu za nguvu zenye actions za kumwaga, hawatapenda hata kidogo kuangalia filamu za Kihindi, lkn leo nataka niwaletee filamu moja ya kihindi ambayo Actions zake zinaacha nyuma filamu nyingi za kizungu, Image na kutokana na ukali wake na actions zake kuwa kali na za kufurahisha HAKUNA MUDA WA KUIMBA WALA HAKUNA NYIMBO kwenye filamu hii, Kichapo kinaanza kuanzia filamu ilipoanza hadi inaisha (hivi si unajua kuwa ukiangalia filamu kali na yenye hisia kali
Feb 16, 2020 23 tweets 14 min read
KIONJO CHA JUMAPILI

MJUE IP MAN
Kabla ya kesho hatujakuletea Kisa cha Ugomvi kati ya Dwayne Johnson (the Rock) Na Vin Diesel katika filamu za fast and furious leo tungependa tukupe historia fupi ya IP Man anayeigizwa katka filamu za Ip Man 1- 4 na mkali Donnie Yen. Image Watu wengi wamekuwa wakiziona na kuzitizama filamu za IP MAN kama tu filamu zingine za mapigano ya kufurahisha. Lakini filamu hizi zinaongelea historia ya master wa Martial art aliyewahi kuishi kunako miaka ya 1893 hadi 1972. Master huyu alikuwa anaitwa YIP MAN aliyezaliwa tarehe Image
Jan 24, 2020 14 tweets 3 min read
Mwaka 1989 mwanaharakati na muhitimu wa Sheria kutoka Harvard Bryan Stevenson anasafiri kwenda Alabama akiwa na matumaini ya kuwasaidia watu wenye maisha ya chini ambao hawana kipato Cha kutosha kuweza kuafford huduma Bora za kisheria, uko anakutana na mwanadada Eva Ansley kwa kwa pamoja wanatengeneza kitu kijulikanacho Kama Egual Justice Initiative. Baadae anasafiri na kwenda kukutana na mfungwa Walter "Johnny D" McMillian mfungwa Anae subiria hukumu ya kifo akiwa kahukumiwa kwa mauaji ya Ronda Morrison yaliyotokea mwaka 1986.

Bryan anapitia ushaidi