Halima Adam Profile picture
Teacher|Creative writer ❤️love is power❤️
Aug 1, 2021 5 tweets 1 min read
Familia ya rafiki yangu wameomdokewa na mdogo wao (28 yrs old) ambae ameumwa for 3 weeks

Wiki ya kwanza alisumbuliwa na homa kali, hospital walisema UTI ila homa ilikua haishuki

Wiki ya pili akalazwa akanza kubanwa na kifua wakasema amepata asthma (hakuwa na ilo tatizo before) Last week akaanza kushindwa kupumua, akawekwea oxygen ila hali ikazid kuwa mbaya wakamuhamishia ICU, leo asubuh ameimaliza safar

Hakuwah kuwa na matatizo kama kisukar, presha hata iyo asthma Hakuwa nayo before. Ni binti wa miaka 28 aliyekua active na anafanya Kaz zake
Mar 15, 2021 7 tweets 1 min read
Tunavyo wapeleka watoto wetu kusoma elim za dini (madrasa,mafundisho,Sunday school) huwa tunafuatilia aina ya content wanayofundishwa?

Walim wa dini ni Watu tu ambao wanauwezo wa kuwa wanapush agenda zao binafsi. Na kichwa cha mtoto mdogo ndio sehem sahihi ya kupanda mbegu Leo nimekutana na ustaadh kanambia:
Mwanamke ni kiumbe sacred sana ndiomana Mungu hajamtajataja sana kwenye Quran
Nikamjibu vipi kuhus Maryam?
Akasema-aah yule yuko tu pale ili ulimwengu ujue kuwa Issa alizaliwa na binadam 🙄🙄

Je, huyu ni mtu sahihi kufundisha binti zako dini?
Mar 13, 2021 5 tweets 4 min read
Feb 20, 2021 9 tweets 4 min read
1/9
Today I had a conversation with my mom about female genital mutilation #FGM and she told me some thing really disturbing

So what happened is, I was telling her about my baby cousin who is 8 years younger than me and how she had undergone #FGM as a baby😔 2/9
Her dad had said no to #FGM so my aunt(her mom) lied she wanted to visit her ill father just so that she can take my cousin away from my uncle and have her undergo #FGM
According to my aunt,she didn't want my cousin to lack a husband later and suffer urinary tract deseases😔