Gillsant 6.0 Profile picture
I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. #DigitalMarketer #Autodidact
PestKiller Enterprises Profile picture Zanzibar Times Profile picture Mwalimu Marwa Profile picture Peter Shelby Profile picture Makazi General & Car Dealers. Profile picture 6 added to My Authors
May 1, 2021 • 17 tweets • 3 min read
𝙉𝙅𝙄𝘼 9 𝘽𝙊𝙍𝘼 𝙕𝙄𝙏𝘼𝙆𝘼𝙕𝙊𝙆𝙐𝙁𝘼𝙉𝙔𝘼 𝙐𝘼𝙉𝙕𝙀 𝙅𝘼𝙈𝘽𝙊 𝙉𝘼 𝙐𝙁𝘼𝙉𝙄𝙆𝙄𝙒𝙀 𝙆𝘼𝙏𝙄𝙆𝘼 𝙈𝘼𝙄𝙎𝙃𝘼 𝙔𝘼𝙆𝙊. #𝙀𝙡𝙞𝙢𝙞𝙠𝙖𝙒𝙞𝙠𝙞𝙚𝙣𝙙𝙞 - 𝙏𝙝𝙧𝙚𝙖𝙙 (𝙐𝙕𝙄) Kila siku tunajishughulisha ili tutimize malengo yetu. Katika maisha kuna watu ambao wanafanikiwa katika mambo yao na kuna watu ambao hawafanikiwi. Tunajishughulisha kila siku kuyatimiza malengo hayo. Malengo yanaweza yakawa ni maswala ya Elimu, Kazi, Biashara, Uongozi nk.
Sep 26, 2020 • 19 tweets • 3 min read
𝑰𝑳𝑰 𝑾𝑨𝒁𝑶 𝑳𝑨𝑲𝑶 𝑳𝑨 𝑩𝑰𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑨 𝑳𝑰𝑭𝑨𝑵𝑰𝑲𝑰𝑾𝑬 𝑽𝑰𝑻𝑼 𝑽𝒀𝑨 𝑲𝑼𝒁𝑰𝑵𝑮𝑨𝑻𝑰𝑨: 𝑼𝒁𝑰 𝑷𝑨𝑹𝑻 2
Vitu vingine vya kuzingatia wakati unakuja na wazo lako la biashara. Yes unaweza fungua biashara kutokana na kitu unachokijua mfano Kinyozi ukafungua saluni yako au mpishi ukafungua restaurant yako. Kumbuka kwakua wewe ni mpishi mzuri sio kwamba utafahamu jinisi ya kuendesha restaurant yako vizuri. Kuna mambo mengi ya kuzingatia
Sep 26, 2020 • 22 tweets • 4 min read
𝑱𝑰𝑵𝑺𝑰 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑱𝑨 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝒁𝑶 𝒁𝑼𝑹𝑰 𝑳𝑨 𝑩𝑰𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑨. Ili kuweza kufanikiwa kwenye biashara unahitaji kuwa na wazo zuri la biashara. Je unajua jinsi ya kupata wazo hilo zuri la biashara? 𝑼𝒁𝑰, 𝑷𝑨𝑹𝑻 1 Watu wengi wamekuwa wakiniomba ushauri ni wazo gani zuri la biashara ambalo linaweza kuwapatia faida na mafanikio. Ukweli ni kwamba wazo ambalo ni bora kwa mtu fulani linaweza lisiwe bora kwako.
Aug 29, 2020 • 16 tweets • 3 min read
JINSI YA KUANZISHA BIASHARA UKIWA UMEAJIRIWA: Biashara yoyote iwe mpya au ya zamani ina changamoto zake especially kwenye mazingira yetu. 50% Ya biashara zote ndogo zinakufa katika mwaka wake wa kwanza kuanzishwa. UZI #ElimikaWikiendi Mtandao wa Investopedia ulitoa sababu ya biashara ndogo kufa, 1. Mtaji Mdogo, 2. Uendeshaji Mbovu, 3. Mpangilio Mbovu wa Biashara na Bidhaa yako au huduma yako haihitajiki sokoni (Hakuna wateja wanahitaji bidhaa zako). Pamoja na sababu zingine nyingi.
Aug 8, 2020 • 24 tweets • 5 min read
NJIA (Business Models) 10 ZA KUPATA PESA ONLINE. UZI Nimeshindwa kupata kiswahili cha Business Model (Mtanisaidia) Kwa uzoefu wangu watu wengi wanapotaka kuanza kufanya biashara Online or Offline. Hua wanafikiria njia moja au Mbili. #GillMadini Kununua Bidhaa kutoka sehemu fulani au Kutengeneza hio bidhaa na kuiuza dukani or ikizidi sana mtandaoni kupitia Instagram au Facebook wachache kwenye website. Leo nimewaletea Business Models zingine 10. Ambazo unaweza kutumia kupiga hela.
Jul 23, 2020 • 42 tweets • 7 min read
BIASHARA MTANDAONI: Kuna njia nyingi za kuanza kufanya biashara mtandaoni (Facebook, Twitter, Instagram). Watu wengi hua tunakwama ni wazo gani la biashara au bidhaa gani niuze itakua na wateja. Nimekuletea UZI huu ukusaidie njia fupi ya kupata bidhaa ya uhakika kuuza #GillMadini Kuna njia 2 ambazo ntazielezea kwa ufupi. 1. Kama tayari ushafahamu ni bidhaa gani utaenda kuuza mtandaoni 2. Hufahamu bidhaa au huduma gani uchague na kuuza mtandaoni.
Jul 11, 2020 • 21 tweets • 3 min read
"Namna Sahihi ya kuanzisha na kuendeleza biashara kwa mtaji mdogo mtandaoni." Nimejaribu kila naloweza kuandika points kwa kifupi ili hii topic iweze kueleweka lakini imeshindikana. Hivyo basi.. UZI (THREAD) #ElimikaWikiendi Kutokana na uzoefu wangu biashara nyingi za mtandaoni hazifaikiwi kwa sababu zinaendeshwa kwa mazoea au kwa kubahatisha. Ukifuata mfumo wa jinsi ya kuanzisha biashara kwa usahihi huwezi kulalamika hakuna wateja au bidhaa hainunuliwi.
May 2, 2020 • 5 tweets • 4 min read
#THREAD As a business person these are scary times.. So what to do? Yes biashara zetu zimekua slow, hazikui.. Tumeogopa kuanzisha kitu kipya but kwa upande mwingine kila janga linakuja na fursa zake.. Kwa kipindi hichi tumia muda wako kujiongezea ujuzi ambao utakusaidia either kukuza au kuanzisha biashara.. Hata Corona itakapoisha utatumia ujuzi huo.