Mark J. Mwandosya Profile picture
Mark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es Salaam
Apr 4, 2021 7 tweets 4 min read
Ushuhuda

Kwa muda wa zaidi ya mwezi mmoja nimekuwa nikiugua na kutibiwa ugonjwa wa #COVID19 unaotokana na virusi vya #Corona (SARS-CoV-2). Ni jinsi gani niliweza kuambukizwa ugonjwa huu kijijini kwetu Lufilyo, Busokelo, Mbeya, pamoja na kuzingatia tahadhari zote dhidi ya (1/7) maradhi haya ni kitendawili. Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai, zawadi ya Pasaka. Nawashukuru pia mke wangu Lucy Akiiki, watoto na wajukuu, familia za Kahigwa na Mwandosya, Madaktari na Wauguzi wangu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, na (2/7)